polisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Acheni propaganda za miaka ya 1900

    Polisi Tanzania, kwenye bomu la kurusha kitu muhimu kuliko vyote ni Fuse. CIA wakitaka kuleta mabomu kwa ajili ya kuanzisha vita hawawezi kuleti bomu iliyonganishwa lote, Wataanza kuleta components moja moja, mfano hizo fuse zitakuja kama vyuma chakavu. Wakileta fuse, vijana watamaliza kazi...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  3. JamiiForums Tanzania Peleus Mshumbu alikamatwa na Polisi tangu Oktoba 26, lakini familia inazuiwa kumuona na polisi awatoi taarifa

    Anaitwa Peleus Mshumbu Justinian ni Mwinjilisti wa KKKT mtaa wa ndama Usharika wa Nyabwegira, tarehe 26 October 2025 alikamatwa na Police yeye na mke wake wakiwa nyumbani kwao Ndama. Baada ya kufikishwa kituo cha police Kayanga wilayani Karagwe alihojiwa kwa kuhubiri mahubiri yenye uchochezi...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi waweka namba hadharani za Wanaotumia WhatsApp kupanga kufanya uhalifu, sheria inasemaje?

    Sheria ya data protection inahusu watu gani? Nimeshangaa kuona Polisi Tanzania wakivunja sheria and za nchi na luhumu watu kabla ya mahakama kutoa hukumu. Kosa ni kuwa CHADEMA na kupinga maovu yanayoendelea Nchini iikiwemo polisi kuua watu, na Uchafuzi wanaouita uchaguzi. Ukipinga maovu ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mamia ya Polisi waomba kuacha kazi kutokana na kilichotokea wakati wa uchaguzi

    Taarifa za ndani kutoka jeshi la polisi, ni kwamba zaidi ya polisi 100 wameomba kuacha kazi ya Upolis with immediate effect. Shida kubwa ni walichokiona tarehe 29/10/2025 na hofu ya maandamano ya tarehe 09/12/2025. Jeshi linakataa kuwakubalia. Vikao vinafanyika na viongozi wa kisiasa juu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa unyama wa Oktoba 29, sijui wala kuamini kuwa polisi wetu ni binadamu kama sisi

    Hivi kweli polisi wetu ni binadamu au mashetani yenye sura za binadamu? Natamani nao walipwe hivyo hivyo na si kwa kungojea Mungu bali kuwalipizia kisasi bila kujali nani alihusika wala hakuhusika. Sijui kama hawa viumbe wanastahili kuishi hata sekunde moja.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Police Militarization: Sababu ya Jeshi letu kuzidiwa nguvu na Polisi

    Police militarization ni mchakato wa taasisi za polisi kuanza kufanana na jeshi kwa kutumia vifaa vya kivita, mbinu za kijeshi, na mienendo ya ukakamavu uliopitiliza katika kushughulikia masuala ya kiraia. Hali hii imezua mijadala duniani kuhusu usalama, haki za binadamu, na matumizi ya nguvu...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi Kanda Maalum DAR inamshikilia Charles Gisima kwa Tuhuma za Kuchochea uvunjifu wa amani

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 12/11/2025 majira ya saa 8:00 mchana eneo la Madale kwa Swai Kinondoni limekamata na linamhoji Charles Gisima Werema (miaka 47), mkazi wa Madale Flamingo Kinondoni kwa tuhuma za kuhamasisha na kuchochea uvunjifu wa amani katika...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Video: Mama aelezea mwanae alichukuliwa na gari la Polisi lakini amezunguka vituoni na hospitali hajampata

    Kupitia ripoti ya DW ikimuhoji Mama kwa jina Elizabeth Makule, ameelezea namna mwanae alichukuliwa na gari la Polisi ikiwa baada ya kupigwa risasi mguuni katika vurugu zilizotokea Oktoba 29, Mama huyo amesema tayari amefika katika vituo mbalimbali vya Polisi na hospitali lakini hajamuona mwanae...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Uhalisia ni Polisi Walishindwa kulinda Mali za Raia kipindi cha Maandamano

    Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao. Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao. Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji? Kwanini Polisi waliiua watu?
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wadaiwa kuvamia nyumbani kwa mlinzi wa Lissu na kutokomea naye kusikojulikana

    Usiku wa kuamkia Leo, "Polisi wanaodaiwa kuvaa kiraia, walivamia nyumbani kwa Mlinzi wa Mhe. Lissu, ndugu Charles Hangaya (huyu niliyemuwekea alama) maeneo ya Bunju A kisha wakaondoka nae mpaka sasa haijulikani wamempeleka wapi." - Ameandika Hilda kupitia ukarasa wake wa X
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama una ndugu polisi ujue hata yeye alishiriki kuua watanzania

    Mwatusingizia wazenji. Mwaenda kusingizia wayuganda. Wakati polisi wenyu watanzania ndio walioua watu wengi. Huyo ndugu yako polisi unayemuona ni miongoni mwao walioshiriki kuua watu. Siye twawaangalia mnavyoneng'eneka. Mwauana wenyewe kwa wenyewe kwa unyumbu wenyu. Mwabisha sio. Nawaulizeni...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kama Ikulu, Polisi na Idara zote za Serikali zinafunga “comments”, basi Umma umeshinda

    Kama kuanzia huyo “Rais” mwenyewe na Ikulu yake wakichapisha chochote mtandaoni wanafunga comments, maana yake Umma umeshinda. Jeshi la Polisi, Idara, viongozi binafsi na taasisi zote ambazo zinalalamikiwa kwa dhulma na maovu pia wanafunga comments, kuanzia Msemaji wa Serikali hadi akina...
  15. JamiiForums Tanzania Chukueni orodha ya waandamanaji wote ili wasiwe na sifa ya kuajiriwa na kuwa Watumishi wa umma

    Tunaomba kuwaondolea sifa ya kuajiliwa waandamaji wote waliobainika kuleta vurugu tarehe 29/10/2025. Hivyo basi utumishi chukueni orodha za waandamanaji kutoka Polisi then zitunzeni kwenye data zenu ili wote walioshawishi/ KUSHIRIKI wizi na uharibifu wa miundombinu na Mali za watu binafsi na...
  16. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni polisi na unapinga mauwaji yanayoendelea acha kazi chuki na ubaguzi mnaoujenga kwa watu mtakuja kujuta

    Kama wewe ni polisi na unapinga mauwaji yanayoendelea acha kazi chuki na ubaguzi mnaoujenga kwa watu mtakuja kujuta.
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha: Askari Magereza aliyepigwa risasi na Polisi Oktoba 30, 2025 Mazizini DAR

    kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali. Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Sijasikia polisi wakiwatafuta wauwaji, badala yake wanatafutwa waandamaji na viongozi wa upinzani

    JF Nieleweshwe, au katiba inawapa mamlaka polisi Kuua .? Hawa waliofanya haya mauaji sijasikia sehem yoyote kuwa wanatafutwa ( tena wengine hawakuwa hata na uniform za polisi ), Lakini Wambura, Mkunda, Mombo na vikosi vyao wako kimya kuhangaika na waandamaji na viongozi wa siasi. Tuna jeshi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nashauri list ya polisi ya Mnyika et al wakimbie nchi and fight from abroad

    Should not accept to dead heros. Kimbia nenda nchi yoyote ambayo ni demokratic mengine yatafuatia. Definitely mapambano yanaendelea
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Ili kuiaibisha Serikali, Polisi na Mahakama, watuhumiwa wote wa Uhaini wakiri makosa yao

    Sitaeleza sana maana naamini kwa ufupi naweza kueleweka. Hawa vijana wa Kitanzania wa kiume na kike zaidi ya 200 wanaoshitakiwa kwa UHAINI, nawashauri wote kwa umoja wao wakiri mashitaka yao yote. Naamini Serikali imejipanga kuwaozesha jela kwa kesi ndeeefu halafu mambo yakipoa utasikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…