polisi

  1. JamiiForums Tanzania Tokea tuanze kupelekana polisi kila timu inapata matokeo inayostahili

    Yanga inahujumiwa?
  2. JamiiForums Tanzania Unyama uliofanywa na vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Mzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya Uchaguzi wa Oktoba 2020. Majeraha hayo yametokana na kipigo na mateso aliofanyiwa na vyombo vya Ulinzi wanaolipwa kwa kodi ya Wananchi akiwemo Mzee Ameir ambae hajawakosea jambo lolote kachukuliwa kwake wakampeleka...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu kwa Umma, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro atakutana na mwenzake wa Msumbiji leo Mkoani Mtwara

    Wakuu hao wa Polisi Watakutana kwenye Kikao Kazi cha Ujirani Mwema baina ya Tanzania & Msumbiji Kikao hicho muhimu kitafanyika Mkoani Mtwara.
  4. JamiiForums Tanzania Nabii Bushiri na Mkewe wajisalimisha kwa Polisi wa Malawi baada ya kukimbia kesi ya utakatishaji fedha Afrika Kusini

    Fugitive Malawian preacher turns himself in to police Malawian preacher Shepherd Bushiri and his wife Mary have handed themselves over to police in their home country after skipping bail in South Africa. The couple turned themselves in Malawi's capital, Lilongwe, on Wednesday morning...
  5. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam asema bei ya saruji imeanza kushuka na baadhi ya wauzaji waliokuwa wakilangua wanahojiwa Polisi

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge amesema bei ya rejareja saruji imeanza kushuka na baadhi ya wauzaji waliokuwa wakilangua wanahojiwa Polisi. Ameviagiza vyombo vya ulinzi kuendelea kuwakamata walanguzi wanaoendelea kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu. Juzi Waziri Mkuu, Kassim...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

    Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Naibu Kamishina wa Polisi, Dhahiri Kidavashali afariki dunia

    Kama kawaida ya mipango ya Mungu. Kamanda Athuman Kidavashali aliyekuwa kamishina wa Polisi Makao Makuu amefariki. Poleni sana Makamanda wote. Kifo hakina huruma kinambeba kila mtu awe mwalimu, polisi, mkulima, Rais, waziri na yeyote yule. ========== Mkuu wa Jeshi la polisi,(IGP Simon...
  8. JamiiForums Tanzania Kuelekea mabadiliko ya kweli: Naomba kulifahamu Jeshi la Polisi Tanzania

    Habari za saizi, Wanajukwaa naombeni mnijulishe mambo kadhaa juu ya @tanpoltz kwa kulinganisha na majeshi mengne ya Polisi huko katika dunia ya kwanza Tuanze na mambo yafuatayo: 1. Nini maana ya jeshi la Polisi? 2. Yapi majukum ya Polisi? 3. Upi ni wajibu wa Polisi? 4. Mgawanyo wa majukumu au...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askofu afariki baada ya kurushiwa mabomu ya kutoa machozi na polisi Kenya

    Bishop, Rev Stephen Ng'anga who hosted the Deputy President William Ruto in Kenol Muranga county in October has died. According to the church leadership the Bishop died from Pneumonia. The conditioned was triggered and worsened after the bishop inhaled tear gas fumes when the police were...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 350 wanashikiliwa Magerezani na kwenye vituo vya Polisi nchini Tanzania kwa sababu za Uchaguzi wa 2020

    Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi . Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa...
  11. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Polisi hatuna taarifa kuwa Tundu Lissu ametishiwa kuuawa

    POLISI HATUNA TAARIFA KUWA LISSU AMETISHIWA KUUAWA Jeshi la Polisi limesema halina taarifa ya madai yaliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa ametishiwa kuuawa na watu ambao hawajajitambulisha. Akizungumza na Gazeti ya Mwananchi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Jeshi la Polisi halichukui hatua kwa madai mazito aliyotoa Tundu Lissu ya kutishiwa kuuawa?

    Tumesikia madai mazito aliyotoa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu ya kutishiwa kuuawa, hadi ikamlazimu kukimbilia ubalozi Wa Ujerumani na kuomba hifadhi Ameendelea kudai kuwa alipigiwa simu na watu wawili siku ya Jumamosi ya tarehe 31/10/2020 na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tumeitikia wito wa kuripoti Polisi lakini hatujui zoezi hili litaisha lini, tumetimiza wajibu!

    Mwenyekiti wa CHADEMA mh.Mbowe jana aliripoti kituo cha polisi cha Oysterbay pamoja na watuhumiwa wenzake akiwemo Godbless Lema na Boniface Jacob. Mbowe aliwaambia waandishi wa habari kuwa wao wametimiza wajibu wao wa kuripoti polisi ila kujua kinachoendelea waulizeni polisi. Mbowe amesema...
  14. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe akamatwa na Polisi baada ya kwenda kuwaona viongozi wa vyama vya upinzani waliokamatwa na Polisi

    Kiongozi wa Chama, cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na kushikiliwa na Jeshi La Polisi baada ya kufika Kituo cha Polisi Oysterbay kuwaona Viongozi wa Vyama vya Upinzani waliokamatwa tangu Juzi kwa ajili ya kuandaa maandamano ya amani ya kudai Uchaguzi mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
  15. JamiiForums Tanzania Job Ndugai achukua fomu kugombea Uspika

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili. Ndugai ambaye amekuwa katika nafasi hiyo katika Bunge la 11 amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo na kuirejesha leo katika ofisi makao makuu...
  16. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanasheria Mkuu asema walioua Waandamanaji bado hawajulikani na ni mapema kusema kwamba waliohusika ni Polisi na Wanajeshi

    Mwanasheria Mkuu nchini Nigeria amesema kwamba watu waliowapiga risasi na kuua waandamanaji nchini humo hawajulikani na kwamba huenda watu waliofunika nyuso zao na kuvalia sare za kijeshi ndio waliohusika. Abubakar Malami amesema kwamba ni mapema sana kusema iwapo polisi walihusika katika tendo...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

    Kiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo. Sijui sheria zinasemaje ila nahisi jambo hili litazua hisia sana kutoka kwa pande...
  18. JamiiForums Tanzania Upinzani mmecheza karata nzuri kuhakikisha wote mnakamatwa na polisi ndani ya kipindi kifupi tu baada ya uchaguzi

    Karata mlioicheza sasa itazaa matunda, ilikuwa ni ngumu kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi uliofanyika Tanzania mwaka huu uligubikwa na kasoro nyingi, ukizingatia waafrika wote waliokuja kuangalia na kuripoti ulivo kuwa walisema uko huru na haki. Lakin sasa kwa hali inavoendelea...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    UPDATE "Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM. ===== Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali na Polisi sasa waanze kujibu uzuri madai na tuhuma zinazorushwa mitandaoni na Vyombo vya Habari vya kimataifa

    Mitandao ya kijamii ni eneo pana na lenye kuweza kuwekwa picha mbambali za video iwe za miaka ya nyuma, miaka hii au hivi karibuni. Kwasababu la kiusalama inawezekana kabisa kuzuia mitandao isiwezeshe video za namna hii kutumika kueneza uchochezi na uvunjifu wa amani katika nchi yetu bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…