polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huyu ni nani anayetoa siku 3 Polepole awe ameachiwa?

    Kila siku wanaibuka watu wapya kuililia haki kwenye nchi yetu Tanzania. Naomba kumfahamu huyu mzalendo anaemlilia Polepole jembe letu. Ni nani huyu? Katoa amri sio ombi. Mungu bless Tanzania. Tunaweza tusitoke ila mwanga upo.
  2. JamiiForums Tanzania Mo29-Oktoba29 Tunatoka siku 3!

    Number 3 is a magical number 🔥 Bafo siku 3 na nina imani kila mtanzania amejiandaa ni mwendo wa #OktobaTunatoka #MO29 is a movement 💪🏽
  3. R

    JamiiForums Tanzania Narudia: Polepole, you made a very big mistake, a very big One!

    Sasa ona sterling amekufa na "movie" imeishia hapo. Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda...... Kumbe uko kwa Mtogole Machozi yangu yanakulilia! Pumzika kwa Amani huko uliko...kwa Mungu au kwa Lolimu au Lefema! You made a very regrettable mistake!
  4. JamiiForums Tanzania Kwa war strategist tunasema hii wiki ndo ilikuwa fursa nzuri kwa Polepole na Tesha.

    Mie mwanafunzi wa Sun Tzu, military general maarufu sana kutoka China. Katika kitabu chake cha “The art of War”, Sun Tzu anasema: “Attack when the enemy is unprepared” . shambulia wakati adui hategemei/hajajiandaa. “Avoid wars with lengthy campaigns” epuka vita inayodumu muda mrefu Kama...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi inayoendelea kwa kuwaweka think tank wao pembeni?

    .
  6. JamiiForums Tanzania HAKUTAKUA na Cha Maridhiano, Wahuni Wakubwa msokua na Haya !! Maridhiano, Mzee Kibao ameuwa Kikatili, Mdude, Soka, Polepole, hawajulikani walipo

    Yaan Njia mlioichagua ndio njia yenu, na sisi tutakwenda hivohivo na nyinyi. Ukweli ni kwamba ni Ama Tuwafikishe katika Sheria au Mtuue wote mtumalize !!. Na sio upuuzi na upumbavu wenu ulokoswa Aibu na kudhani mnatuhadaa. Yaan Familia ya Kibao ,Iridhiane na nyinyi kitu gan?? Familia ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Heche kufuata njia ya Mdude na Polepole

    Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole. Mafwele kapewa maagizo mazito sana . Hutaki acha, sitoi codes.
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 OKTOBA 29 tunatoka

    INUKA TANZANIA! 🇹🇿 AMKA TANZANIA! TANZANIA HURU! SAMIA LAZIMA AENDE! ACHA UTEKAJI MIMI MTANZANIA! POLE POLE BURE! TUNDU LISU BURE! HAKUNA MAREKEBISHO HAKUNA UCHAGUZI! #Oktoba29Tunatoka 📍 Watanzania lazima wainuke na kupigania uhuru wao, dhuluma lazima iishe 💪🏿
  9. JamiiForums Tanzania Augustino Polepole: Mafwele Oktoba 14 saa tatu usiku uliwatuma vijana wako wakaruka ukuta. siku ile nilikuwa na wadusua

    Kaka yake Humphery Polepole Agustino amendelea kuzungumza tangu kutekwa kwa mdogo wake ambapo hadi sasa zimepita siku 14. Miongoni mwa yale aliyoyasema ni kuhusu Ridhiwani Kikwete kudai kwamba anafahamu alipo Polepole Agustino akaendelea kusema ushahidi wote upo na kauli hiyo aliitoa Mbeya...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi yetu ya ajabu kweli yaani Polepole ndo kasahaulika kama akina Mdude na Saanane!!!

    Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo. Tuliwasikia akina Gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani...
  11. JamiiForums Tanzania Polepole angeokotwa kabla Octoba 29 akiwa na kimfuko chake cha karanga na taulo akiwa dhaifu mwenye depression tungefurahi

    Maombi kwa awaye yote. Mwenye nguvu. Yangetokea maajabu kwa ndugu Polepole mfano wa yanayo watokea makasisi sijui mapadre wa Katoliki ya kupotea kisha kuokotwa siku kadhaa wakiwa hai huku wana msongo wa mawazo (depression) taifa lingepona. Chuki na hasira zingepoa. Visasi visingetarajiwa siku...
  12. JamiiForums Tanzania Tujichoreni tatoo ya Polepole kumuenzi

    Wakubwa na wadogo, vijana na wazee, watoto na wakubwa na wanawake kwa wanaume inakuaje asee watu wangu wa nguvu. Moja kwa moja kwenye mada. Kama kwicha cha mada hapo juu tujichoreni tatoo mwilini kama kumuenzi balozi Humphrey Polepole. Popote mwilini. Mimi tayari niko kwenye maandalizi ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Lema GodBless, usiwe kama Polepole, if needs to be , kimbia nchi for your safety!

    Usiwe shujaa aliyekufa. Usiwe kama Polepole. Unaweza kuleta mabadiriko tarajiwa ukiwa nje ya nchi! All angles of "independence" struggle are acceptable depending on the prevailing security situations in the country . DO THE NEEDFUL Epuka kuwa kama Polepole!
  14. JamiiForums Tanzania Jana niliionea huruma sana familia ya Polepole

    Jana kuna barua ilikuwa ina-surface mtandaoni iliongelea mambo mengi ila sehemu iliyonifikirisha sana ni pale waliposema mazingira ya siasa nchini yapo vizuri nikaachia kusoma pale sikuendelea tena sababu nilisikia uchungu mkubwa sana Nikajiuliza familia ya polepole inajisikiaje inaposoma ile...
  15. JamiiForums Tanzania Matukio ya Polepole na wengine yananikumbusha A Grain of Wheat, novel iliyoandikwa na Ngũgĩ wa Thiong’o,

    Ni suala la muda tu mbegu itamea na tutavuna tusichoke
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA / MISS SARUNGI anzisheni Mfuko wa Harambee Kwa MAMA POLEPOLE , Ndani yake ubebe na Wahanga wengineo ! Mlifanyeni hili haraka kabla ya MO29

    Palipo na Hazina ya MTU ndio Moyo wake ulipo Nafaham tunao Wahanga wengi sana mamia Kwa maelfu. Lakini ni lazima tuweke UPEKEE katika Uchaguzi wa Jina la Mfuko. Mh Polepole alikua Mwana CCM, Mbunge, Mjumbe wa Tume ya Katiba ya Jaji Warioba, Katibu Muenezi wa CCM, na BALOZI Nchini Cuba...
  17. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kutoweka kwa Polepole kutolewa Oktoba 24, 2025

    Kesi ya jinai namba 24514 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake wanane imeendelea tena leo, Alhamisi Oktoba 16.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...
  18. JamiiForums Tanzania Leo ilikua Nyerere day Je tunayaishi yale Nyerere alikua anatamani yafanyike hakashidwa akasema Tujisahihishe

    Nyerere day leo lakini ni kweli tunaishi yale Nyerere alitamani? Huyu mzee alitamani kuona nchi ina kizazi Jeuri cha kuhoji sio kizazi cha bwana ndio mkubwa. Tunataka vijana waasi dhidi ya Mifumo kandamizi Ubwana na Ufisadi. Wanaogopa mabadiliko ni wale walioshiba wezi mafisadi lakini Maskini...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Serikali haijui alipo Humphrey Polepole, ndio maana Polisi inafanya uchunguzi

    Mahojiano ya Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa alipozungumza na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025. Kuhusu Polepole nini kauli ya Serikali Jeshi la Polisi limeshatangaza kutaka aende akatoe maelezo juu ya kauli...
  20. JamiiForums Tanzania Mwambieni Gerson Msigwa wakati wake unakuja. Polepole alikuwa na vyeo vikubwa kumshinda lakini leo ni kama panya buku sembuse yeye mshika maiki?

    Mwacheni aropoke si ndio kazi yake. Lakini abakize akiba ya maneno. Cheo chake ni kidogo sana. Hana mizizi na hana ushawishi wowote kwa watawala na wananchi. Asijisahau tofauti yake na Polepole ni wakati tuu. Tena yeye atapotea na hakuna wakumuulizia zaidi ya familia yake. Na bado.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…