polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tumwamini Nani? Hayati Magufuli au Polepole?

    Tumwamini Nani? Hayati Magufuli au Polepole?
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sijaona Kada wa CCM mwenye uwezo wa kujibizana na Polepole

    Hii ipo wazi kabisa. Hata Steven Wassira na ujanja wake wa kupangua hoja amekwama. Mfano Wassira anakiri kuwa ni kweli katiba ya JMT imekiukwa maana rais Samia ametumika zaidi ya miaka 3. Hili la utamaduni wa kumuachia aendelee ni kinyume na katiba ya JMT. Mkuu wa mkoa wa Dar kuropoka kuwa...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kura za ubunge CCM ni faraja kwa Polepole, legasi ya JPM inazidi kuishi

    Mpaka sasa idadi kubwa ya wabunge waliopitishwa na wajumbe CCM kuwa wabunge 2025-2030 ni walewale waliokuwa wanakubalika au waliopitishwa na Magufuli kuwa wabunge mwaka 2020, mabadiliko ni madogo sana lakini nayo mengi inaonekana ni ya watu waliopata kibali cha JPM kama Masanja Kadogosa...
  5. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kumbe 2015 Warioba angelikuwa rais wa JMT na 2025 angalimwachia Polepole. JK atamtupa Burundi na SHS akamtupa dogo Cuba. Siri kaitoa mwenyewe dogo

    Jana Humphrey Polepole ameweka wazi kile anachokililia ambapo hapo mwanzo hakikueleweka na wengi tukadhani labda akili zimemfyatuka. Polepole ametoa siri ya mpango wa mtandao wao wa kuchukua kiti cha urais wa mwaka 2015 na 2025. Mtandao huo unahusisha vigogo kadhaa kwenye serikali ya JMT na...
  6. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Polepole umechelewa sana, mtandao upo Hadi kata ya makutupora

    Kaka mkubwa nakuandikia usiku wa Leo. Umetumikia Taifa sana ngazi zote mpaka ubalozi huko Cuba na Nchi za carribiane. Umechelewa sana kufanya maamzi kaka mkubwa,Leo unashindana na Wana mtandao ambao tayari wana mizizi nchi nzima. Unawezaje kushinda hii nguvu ya wahuni na ukawa Salama kaka...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM

    Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM. CCM sio nchi ni brand na Chama. Ushauri Popepole huwezi kufanikiwa kwasababu mawazo yako ni kupigania chombo ambacho sio cha kidemokrasia. Huwezi kupingana na wana CCM ambao chama chenyewe ni chama cha kifalme...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Polepole kasema nyuma yake wapo kina Mzee Warioba

    Humphrey PolePole ni kama vile alikuwa akiwahutubia vijana wa bodaboda ambao wengi wao hawakuwepo wakati wa Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete na namna walifanikiwa kuwa Marais wa Tanzania. Pia alifanikiwa kutuambia kuwa nyuma yake wako pia akina Mzee Warioba na wazee wenzake wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sasa Polepole tumeanza kuelewana, Spana ya jana dhidi ya "wanamtandao" imegonga kwenyewe

    Sasa bwana Polepole umeanza kuongea vitu serious. Zile episode zako mbili za mwanzo zilikuwa hazijaniimpress hata kidogo maana ulikuwa unaongea vitu vypesivyepesi. Ila tu nilikuwa naenjoy unavyovurugana na wanaCCM wenzako, lakini nilikuwa bado sijashawishika kuona unaongea vitu vya maana. Kwa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Polepole Amuonya Chalamila. Asema Amemtukana Rais

    Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi. Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, hoja za Polepole zinajibika?

    Jana Pole pole ameingia sehemu ya tatu ya mafunuo yake ya ccm kwa wananchi wa Tanganyika.. Ni wazi kabisa anainyonga ccm kikatili mno... Na hii ndio faraja ya Watanganyika... Kisu kimekaribia kabisa mfupa .. Na katika hatua hii muhimu ametoa muda ajibiwe kwa weledi na viongozi wa kaliba yake...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

    Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na...
  13. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Nasubiria Polepole atuambie Mbowe na kundi la Wanamtandao wanajuana ama lah

    Nasubiri kusikia kwa Mh polepole. Hapo ndio tutajua kwanini Mh Magufuli alimshughulikia sana Mbowe na sasa Mbowe anataka kuikacha Chadema kwa manufaa ya nani?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kigogo aliyetaka kumshauri wa Rais amenyimwa nafasi ya kukutana na Rais

    Polepole amesema kuwa amekutana na mshauri mmoja ambaye anampenda sana Rais Samia, na kwamba wakati wote wa majadiliano yake, yeye Polepole alipotaka kuzielekeza lawama zake kwa Samia, huyo mshauri alikataa kabisa na kusema kuwa Rais Samia ni mtu mzuri sana ila kuna watu waovu ndio...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Polepole akumbusha Wosia wa Hayati Nyerere Akiwa Hospitalini, Kuwa Tusikubali Nchi Yetu Itekwe, Tutajuta. Nchi Inaelekea Kutekwa

    Polepole, leo kwenye wasilisho lake live, ameeleza mambo mengi mazito juu ya hatari ambayo Taifa linapitia. Katika kufikisha ujumbe wake, ameelezea majadiliano mbalimbali aliyoyafanya na watu mbalimbali wenye uzalendo wa hali ya juu kama Mzee Warioba, Butiku na hayati Mkapa hapo mwaka 2015. Na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Msidanhanyike: Nchimbi kaongea baada ya Polepole kusema wakati wa Magufuli chama kilikemea utekaji

    Sijasikiliza hiyo clip yote ya Nchimbi, ila kwa mtazamo wangu, kaongea hayo ikiwa ni kuitikia ushauri wa Polepole kuwa chama chao(CCM) kilipswa na kinapaswa .kukemea utekaji kama ambavyo chama enzi za Magufuli kilikemea utekaji ingawa mimi huo ukemeaji naona ulikuwa ukemeqji wa kinafiki tu...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Polepole ina Codes nyingi sana. Ametaja waliokuwa wanamhujumu Magufuli na wanaoendelea kumhujumu Samia

    Anaongea kama Gwajima kwa falsafa. Ukimsikiliza between the words ndo utagundua kuna maana nzito sana. Mfano amegusia kifo cha Magufuli na wahusika. Amewataja baadhi. Ametaja waliokuwa wanamhujumu Magufuli na wanaoendelea kumhujumu Samia. Hili genge la mtandao nia genge la kuchinjiliwa mbali...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kipindi cha Magufuli ulikuwa ukitazama picha yake ukajisikia kwenye mafaili ujamaliza kusaini ambapo nidhamu ilikuwa kubwa

    Kipindi cha Magufuli ulikuwa ukitazama picha yake ukajisikia kwenye mafaili ujamaliza kusaini ambapo nidhamu ilikuwa kubwa, kama ulikuwa ujasikiliza watu utakimbia kusikiliza watu
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Inatetemesha na kuogopesha : Mh Polepole asema yanayoendelea Nchini ukiwemo Utekaji na maumivu mengineyo yanatoka Kundi la Wanamtandao!!

    Wakuu Mambo mazito sana !!. Nchi kumbe imetekwa na Wanamtandao
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Polepole asema Mwaka 2010 , Familia ya Kikwete ndio iliyosambaza Fomu zake na Sio Chamaz, kwakua Serikali yake iliharibu mambo mengi sana

    Hivo Chama kikasusa suala la Kumsaidia Mgombea Kusambaza Fomu zake !!. Mambo yanazidi kua ya moto sana https://youtu.be/TS67F-3yfqM
Back
Top Bottom