polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM tunapoelekea kubadili awamu

    Humphrey Polepole amesema kwa utamaduni, desturi na katiba ya Chama cha Mapinduzi, Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu akampromote kuwa Rais, tunapokwenda kubadilisha awamu tunakwenda kusema tumewaletea hawa, tutakimbia kwa...
  2. Shetemba

    JamiiForums Tanzania Polepole tunakupata mitaa Gani Facebook, YouTube,au insta?

    Che Polepole tunakupata mitaa Gani Facebook, YouTube,au insta maana tuna ugwadu saa mbili ndiyo hiyo ishafika
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Polepole aapa kutorudi nyuma hadi mchakato wa Wagombea Urais CCM kuanza Upya. Amuonya anayezima Mtandao

    Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana . Uwezo wake kupangilia Hoja. Uwezo wake wa kuthubutu. Uwezo wake wa kuchambua mambo. Uwezo wake wa maono. Uwezo wake wa Ushawishi...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Huu msitu unaoitwa Hamphrey Polepole ni mzito ,una wanyama wakali mno. CCM msiuchukulie poa na msiudharau! Una Kila aina ya wanyama na wadudu!!

    Kujiuzuru kwa Hamphrey sio kwamba ni ajali au imetokea tu kama mvua za masika la !! Kuna mkakati mzito kutoka ndani na nje ya nchi , Polepole mpaka anaamua kujiuzuru ni kwamba ni yeye ndio amewekwa mbele na Kuna makubaliano maalumu na malengo maalumu! Polepole sio kichaa Yuko sirias na ana...
  5. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Polepole anavuruga amani ya nchi. Anavyotaka kuzungumza kesho, anataka kusema nini?

    Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini. Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

    NITAZUNGUMZA NA UMMA 31 JULAI 2025 SAA 2:00 USIKU Mungu akipenda Tarehe 31 Julai 2025 siku ya Alhamisi saa 2:00 Usiku nitazungumza na umma na nitashirikisha wanahabari ambao baada ya maelezo yangu awamu ya pili watakuwa na nafasi ya kunihoji maswali mbali mbali kwa kadiri watakavyoona wao...
  7. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima & Polepole watajificha mpaka lini?

    Watoke hadharan wahojiwe nn kinawaficha? Kama wanahofia usalama wao mahabusu zipo salama kabisa. Wanapata hifadhi
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole anageuka mbogo anapoulizwa maswali: Kinachomtesa ni kiapo chake cha utumishi wa umma, si barua

    Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress. mimi ninamshauri aombe...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Polepole tunaomba maoni yako kwa kinachofanyika leo

    Huoni wamekupiga chenga ya mwili? Kwamba majina yatatumwa Dodoma na si lazima walioshinda kura za maoni ndio wapigiwe kura. They can come with their names ...particularly Menyekiti,katibu...It seems wameona machawa yao wametupwa wanatafuta namna ya kuya salvage1 Tunaomba maoni yako....
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Wewe unayenihoji mie sikusema wakati wa awamu ya 5, wewe ulisema awamu ipi?

    Balozi Humphrey Polepole awacharukia wanaohoji kwanini anayoyasema sasa ikiwemo masuala ya utekaji hakuyasema awamu ya tano, Je wao wamewahi kusema kwenye awamu ipi? Ametolea mifano kadhaa ambayo chama cha mapinduzi kipindi cha John Magufuli walikemea utekaji na mauwaji ikiwemo yaliyotokea...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Aliwaambia anaomba kuwa Rais?

    Humphrey Polepole ameendelea na msimamo wake wa kueleza ni kwa namna gani utaratibu wa kupata mgombea wa Urais kupitia chama hicho ulivyokiukwa. Polepole amehoji kuwa waliobadili gia angani na kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea, Je aliwaambia kama anataka Urais? aliwahi kutamka? Amehoji pia je...
  12. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania Haya yote yanayoendelea ni matokeo ya akina Polepole na utawala wa JPM - Tujifunze kupigia kelele viongozi kufuata sheria

    Haijalishi unampenda vipi Hayati JPM, lakini ameacha shida kubwa iliyoanza katika utawala wake. Tatizo shida ya sisi Watanzania huwa tunafurahi na hatujali pale sheria, katiba ikivunjwa na mtu tunayedai anatimiza matakwa ya wananchi. Tena tunasema kwamba kufuata utaratibu na sheria...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Nimejiuzulu ili kuonesha kutofurahishwa na mwenendo wa serikali pamoja na chama

    Humphrey Polepole akifanyiwa mahojiano na Aloyce Nyanda ameeleza kuwa kujiuzulu kwake ni kama njia ya kupinga ama kuonesha kwake kutoridhishwa na mwenendo wa serikali na chama.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

    https://youtu.be/HHq7hqvxQSY?si=dLD-aa4aBpswt59T
  15. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Ukweli mgumu kwa nchi

    Sikiliza Huu ujumbe kwa Nchi https://youtu.be/qQHFX3DBj-k?si=4YEiO6KBXBJgn-0O
  16. M

    JamiiForums Tanzania BUTIAMA: Joseph Butiku asema hakukubaliana na Uamuzi wa Hamprey Polepole

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa inapotosha uhalisia. Soma hapa Msikilize huyu Mzee ambaye Kwa record zake nyingi amejipambanua kwa ukweli na kuwa mtu wa kuaminika, Joseph Butiku ni Mzsee Msemakweli na Uelewa mpana. Msikilize,
  17. Dialogist

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Shule Ya Uongozi Ya Polepole Mwaka 2021.. Sikiliza Upate Kujua Jambo

    Sema Huyu MpoleMpole Kuna Kipindi Alikua Anaongea Nondo Sana. Japo Hazina Uthibitisho Wa Kimantiki, Hivyo Zinabaki Kua Ni Habari Fikirika Tu
  18. W

    JamiiForums Tanzania Maliki Marupu amememjibu Dkt Malisa amemwambia akasome Katiba vizuri

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa . Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Polepole na uzalendo mpya! Ana uchungu na katiba ya CCM kuliko ya nchi?

    NDUGU POLEPOLE NA UZALENDO MPYA! ANA UCHUNGU NA KATIBA YA CCM KULIKO YA NCHI. Sote tunajua Uzalendo maana yake ni mapenzi ya mtu kwa nchi yake. Lakini Balozi Polepole amekuja na tafsiri nyingine tofauti , Polepole amekuwepo nyakati zote Katiba ya nchi ikivunjwa tena Kwa ushabiki mkubwa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Maliki Marupu: Kujibizana na Polepole ni kumpa Umaarufu asiostahili

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi mwaka 2015, Maliki Marupu, amemjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho. Katika majibu yake, Marupu amesisitiza kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hupatikana...
Back
Top Bottom