polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Traore Mwanajeshi aliyeamua Kulinda Rasilimali za Nchi yake !! JWTZ kikatiba Ina WAJIBU huo, shuhudia za Polepole ,nalitegemea Jeshi lichukue Hatua !

    Inawezekana kabisa Watu wameridhika kwakua wanaishi vizuri kupitia Wana mtandao. KOSA kubwa tunalolifanya kama Nchi ni kutokuwaza THAMANI YA RASILIMALI ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO !!. Katika Wakati ambao Thaman ya Rasimali zetu itakua juuu zaidi, ndio wakati ambao Serikali itakua Haina chochote...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Polepole zisipuuzwe, yawezakuwa Tundu Lisu ameandikishwa pia kwenye Daftari la Mpiga kura, je itakuwaje?

    Salaam, Ikiwa tuhuma za Polepole Zina ukweli, basi chama kifanye utafiiti wake, maana wananchi wa kawaida ambao hawakujiandikisha, wameanza uchunguzi wao binafsi kumthibitishia tuhuma hizi. Nawashauri CDM nao wafanye utafiti, isijekuwa Lissu mtuhumiwa wa uhaini naye ameandikishwa kutiki...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Viongozi wa kidini mnakubalije kwenda kwenye uchaguzi mnaojua ni kiini macho?

    "Viongozi wa kijamii, viongozi wa kidini, dini zote. Wazee wetu kama wapo mnakubalije kwenda kwenye uchaguzi mnaojua ni kiini macho? Kwa mfano viongozi wa kidini au na nyie ni sehemu ya ukiini macho huu. Hivi mnapokwenda sirini kumuomba Mungu, mnaamini kuna uchaguzi? Mnaamini ACT ni chama...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mpinzani wa kweli wa CCM ni CHADEMA, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi Tundu Lissu yupo jela

    Mpinzani wa CCM wa kweli, ukiacha wakati wanakichakachua ni chama hiki cha CHADEMA, wafanye watakavyoweza viongozi waruhusiwe, wafanye kazi ni haki yao. Kiongozi wao yuko jela, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako na kiongozi wake kuu Bw. Tundu Lissu yupo jela. Hii...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Watanzania msikubali kwenda kwenye uchaguzi mpaka madai ya msingi yafanyiwe kazi

    "Chama chetu kimetekwa, lakini bado tunaendelea kuwatia moyo hasahasa mwenyekiti wetu afanye mageuzi makubwa ya Chama cha Mapinduzi, atuondolee kundi la wanamtandao kisha atuwekee mchakato mpya kwa kupata wagombea wapya wa Chama Cha Mapinduzi. Wahuni wamejimilikisha chama, wamewashika viongozi...
  6. JamiiForums Tanzania Polepole ni mhuni kama wahuni anaowatuhumu uhuni au tunafanyiwa machezo?

    Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa. Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni' anaojitahidi kuwaanika mbele ya umma ni wale wale aliokuwa nao kabla ya kuona kitumbua chake kikiingia...
  7. JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

    Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well...
  8. JamiiForums Tanzania Polepole: Mungu akituvusha, turekebishe viongozi wastaafu washtakiwe

    Humphrey Polepole amesema "Mungu akituvusha, turekebishe sheria ya viongozi wastaafu washtakiwe iondoke, hawa watu waanze kujibu tuhuma na matumizi mabaya ya madaraka wakati wako madarani"
  9. JamiiForums Tanzania Polepole - kwa mazingira haya tukatae uhuni Tanzania

    Link Down Below https://www.youtube.com/watch?v=tcNQ0ZEdV8c Rostam Aziz anamiliki hisa katika kampuni kadhaa zinazojihusisha na uchimbaji madini ya makaa ya mawe, hasa kampuni yake ya Taifa Mining and Civils ambayo ilinunua hisa za kutosha katika Mgodi mkubwa kabisa nchini wa TANCOAL, kutoka...
  10. JamiiForums Tanzania Matusi ili yanoge mpaka usiku hapa Polepole ukileta mada usiku naona CCM wanachanganyikiwa

    Kuna mzee mmoja idara nyeti anakwambia usiku wanapata shida sana kuhusu Polepole sababu spana za usiku zinanguvu kuliko mchana. Wengine wanashinda Bar na ofisi na mbwa kutafuta wataokoa vipi uchi wao. DMZ ndio sheria. ONGEZO: kuna msululu wa vifo wambao sitaki kujua ila wananchi msipo shupaza...
  11. K

    JamiiForums Tanzania HAYA YA POLEPOLE KUWA MIFUMO YA NIDA, INEC NA CCM INASOMANA. JE NI YA KWELI?.

    Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura. Nawasilisha.
  12. JamiiForums Tanzania INEC yamjibu Polepole, yasisitiza uhuru wa mifumo yake ya uchaguzi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imekanusha vikali madai yaliyotolewa naaliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ambaye pia ni kada Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyejitokeza hivi karibuni kukosoa mamlaka. Polepole, katika mazungumzo yake yaliyofanyika usiku wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole Scandal inaweza kuwa na mwelekeo wa Watergate Scandal ya Washington Post?

    Ndugu Polepole ana hekima kubwa sana hata Mimi sina,alianza kuongea kama mwezi umepita kaeleza kwa kina kaonana na wasaidizi wa Rais wote kawaambia yoote,kaonana na Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa wote,kawaambia yoote,kamwandikia Mh Rais barua hajapata majibu yoyote na yoote aliyowaambia...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuhuma za Polepole zimenikumbusha hotuba ya Lissu ya kufunga kampeni 2020

    Wakati akifunga kampeni za CHADEMA (siku moja kabla ya uchaguzi) kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe; Lissu alisema kuwa matokeo ya uchaguzi wa urais yameshapikwa. Akadai kwamba amedokezwa na watu walio ndani ya mfumo kuwa Magufuli atapata kura milioni 12 na wengine wataambulia kura...
  15. JamiiForums Tanzania Proved: kumbe ni AI bwana si polepole, chadema kama mnaweza kuamini hata Midori basi viongozi wakuu wa chadema wajitathimini.

    Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya. Inakuwaje chadema inakuwa na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania With reference ya hii message kutoka ccm,nadhani ndugu polepole yuko sahihi kuhusu integration ya mifumo ya ccm,nida na inec.

    Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya. Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Je? Polepole anatumiwa na kanisa kuwachafua viongozi wetu?

    Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu? Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe? Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua...
  18. JamiiForums Tanzania Njia ya Haki ni njia ya Ndugu Polepole na njia ya Ndugu Polepole ni njia yetu sote

    Anayepita njia ya haki tutamfuata na kumsikiliza,kwa maana njia ya haki ni njia ya Mungu,kwa anayoyaongea Ndugu Polepole ni haki ya Watanzania ambayo imeporwa hivyo basi tutamuunga mkono Ndugu Polepole kwenye njia ya haki.
  19. JamiiForums Tanzania Bila kumsikiliza Ndugu Polepole siku haiishi

    Ishakuwa tabu tena bila kumsikiliza Ndugu Polepole,siku yangu haijaisha naona kama sijala chakula naona kama vile sijapewa faraja naona kama vile jua halijaangaza,hata usingizi hauji,Mungu akulinde Ndugu Polepole,njia yako ni njia yangu.
  20. JamiiForums Tanzania Mamalaka kumjibu polepole kwa sasa ni sawa na kuzima moto kwa mafuta ya taa haya sasa NEC Jibuni na hili

    GT Sitaandika sana sikilizeni wenyewe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…