Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu
Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well...
Humphrey Polepole amesema "Mungu akituvusha, turekebishe sheria ya viongozi wastaafu washtakiwe iondoke, hawa watu waanze kujibu tuhuma na matumizi mabaya ya madaraka wakati wako madarani"
Link Down Below
https://www.youtube.com/watch?v=tcNQ0ZEdV8c
Rostam Aziz anamiliki hisa katika kampuni kadhaa zinazojihusisha na uchimbaji madini ya makaa ya mawe, hasa kampuni yake ya Taifa Mining and Civils ambayo ilinunua hisa za kutosha katika Mgodi mkubwa kabisa nchini wa TANCOAL, kutoka...
Kuna mzee mmoja idara nyeti anakwambia usiku wanapata shida sana kuhusu Polepole sababu spana za usiku zinanguvu kuliko mchana.
Wengine wanashinda Bar na ofisi na mbwa kutafuta wataokoa vipi uchi wao.
DMZ ndio sheria.
ONGEZO:
kuna msululu wa vifo wambao sitaki kujua ila wananchi msipo shupaza...
Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura.
Nawasilisha.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imekanusha vikali madai yaliyotolewa naaliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ambaye pia ni kada Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyejitokeza hivi karibuni kukosoa mamlaka.
Polepole, katika mazungumzo yake yaliyofanyika usiku wa...
Ndugu Polepole ana hekima kubwa sana hata Mimi sina,alianza kuongea kama mwezi umepita kaeleza kwa kina kaonana na wasaidizi wa Rais wote kawaambia yoote,kaonana na Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa wote,kawaambia yoote,kamwandikia Mh Rais barua hajapata majibu yoyote na yoote aliyowaambia...
Wakati akifunga kampeni za CHADEMA (siku moja kabla ya uchaguzi) kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe; Lissu alisema kuwa matokeo ya uchaguzi wa urais yameshapikwa.
Akadai kwamba amedokezwa na watu walio ndani ya mfumo kuwa Magufuli atapata kura milioni 12 na wengine wataambulia kura...
Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya.
Inakuwaje chadema inakuwa na...
Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya.
Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua...
Anayepita njia ya haki tutamfuata na kumsikiliza,kwa maana njia ya haki ni njia ya Mungu,kwa anayoyaongea Ndugu Polepole ni haki ya Watanzania ambayo imeporwa hivyo basi tutamuunga mkono Ndugu Polepole kwenye njia ya haki.
Ishakuwa tabu tena bila kumsikiliza Ndugu Polepole,siku yangu haijaisha naona kama sijala chakula naona kama vile sijapewa faraja naona kama vile jua halijaangaza,hata usingizi hauji,Mungu akulinde Ndugu Polepole,njia yako ni njia yangu.
Mtu wa ndani kabisa ambae kila mtanzanzania anajua alishakuwa Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM. Hivyo ni dhahiri alishashiriki uovu aliouweka wazi
Alafu wanaibuka viongozi wa Inec na Nida wanasema apuuzwe.
Ni wazi kuwq anafahamu na ana uhakika kuww mfumo wa Inec unaingiliwa na watu wenye nia ovu
Wasaaalamu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole???
Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna...
Baada ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kuendelea kutoa kauli kuhusu mwelekeo wa kisiasa nchini, Mwanachama wa CCM na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Asasi za Kiraia mkoani Morogoro, Maliki Marupu, amemjibu vikali Polepole na kumtuhumu kwa upotoshaji.
Akizungumza na...
Nimeshindwa jinsi ya kuupata ule uzi niliweka hapa miaka kama mitatu imepita. Kwamba procurement officer wa mizigo alikuwa Sabaya.
Ndio maana alijiamini sana ndugu Sabaya.
Haya sasa, na inasemekana Harakaraka yuko waya mkali. Anakula booster kila siku
TZ
Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ( ndio sababu ilikua kubwa )
Kwa maana ya kwamba kama hukujiandikisha kupiga kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.