polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania INEC yamjibu Polepole, yasisitiza uhuru wa mifumo yake ya uchaguzi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imekanusha vikali madai yaliyotolewa naaliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ambaye pia ni kada Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyejitokeza hivi karibuni kukosoa mamlaka. Polepole, katika mazungumzo yake yaliyofanyika usiku wa...
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole Scandal inaweza kuwa na mwelekeo wa Watergate Scandal ya Washington Post?

    Ndugu Polepole ana hekima kubwa sana hata Mimi sina,alianza kuongea kama mwezi umepita kaeleza kwa kina kaonana na wasaidizi wa Rais wote kawaambia yoote,kaonana na Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa wote,kawaambia yoote,kamwandikia Mh Rais barua hajapata majibu yoyote na yoote aliyowaambia...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuhuma za Polepole zimenikumbusha hotuba ya Lissu ya kufunga kampeni 2020

    Wakati akifunga kampeni za CHADEMA (siku moja kabla ya uchaguzi) kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe; Lissu alisema kuwa matokeo ya uchaguzi wa urais yameshapikwa. Akadai kwamba amedokezwa na watu walio ndani ya mfumo kuwa Magufuli atapata kura milioni 12 na wengine wataambulia kura...
  4. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Proved: kumbe ni AI bwana si polepole, chadema kama mnaweza kuamini hata Midori basi viongozi wakuu wa chadema wajitathimini.

    Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya. Inakuwaje chadema inakuwa na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania With reference ya hii message kutoka ccm,nadhani ndugu polepole yuko sahihi kuhusu integration ya mifumo ya ccm,nida na inec.

    Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya. Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Je? Polepole anatumiwa na kanisa kuwachafua viongozi wetu?

    Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu? Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe? Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua...
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Njia ya Haki ni njia ya Ndugu Polepole na njia ya Ndugu Polepole ni njia yetu sote

    Anayepita njia ya haki tutamfuata na kumsikiliza,kwa maana njia ya haki ni njia ya Mungu,kwa anayoyaongea Ndugu Polepole ni haki ya Watanzania ambayo imeporwa hivyo basi tutamuunga mkono Ndugu Polepole kwenye njia ya haki.
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Bila kumsikiliza Ndugu Polepole siku haiishi

    Ishakuwa tabu tena bila kumsikiliza Ndugu Polepole,siku yangu haijaisha naona kama sijala chakula naona kama vile sijapewa faraja naona kama vile jua halijaangaza,hata usingizi hauji,Mungu akulinde Ndugu Polepole,njia yako ni njia yangu.
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mamalaka kumjibu polepole kwa sasa ni sawa na kuzima moto kwa mafuta ya taa haya sasa NEC Jibuni na hili

    GT Sitaandika sana sikilizeni wenyewe
  10. bro alex

    JamiiForums Tanzania Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

    Arusha miaka kadhaa nyuma ilikua ngome ya chadema Leo hii ni ccm damudamu Fullstop, kwishaaaa
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawawezi kupuuza alichokisema Polepole juu ya mifumo ya INEC kuchakachuliwa maana hata yeye alishashiriki haya maovu

    Mtu wa ndani kabisa ambae kila mtanzanzania anajua alishakuwa Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM. Hivyo ni dhahiri alishashiriki uovu aliouweka wazi Alafu wanaibuka viongozi wa Inec na Nida wanasema apuuzwe. Ni wazi kuwq anafahamu na ana uhakika kuww mfumo wa Inec unaingiliwa na watu wenye nia ovu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Media za Bongo mnaandikaje utetezi wa INEC na NIDA wakati hamkutuhabarisha kilichosemwa na Balozi Polepole?

    Wasaaalamu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole??? Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maliki Marupu: Polepole alitoa madai ya uongo kuhusu wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

    Baada ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kuendelea kutoa kauli kuhusu mwelekeo wa kisiasa nchini, Mwanachama wa CCM na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Asasi za Kiraia mkoani Morogoro, Maliki Marupu, amemjibu vikali Polepole na kumtuhumu kwa upotoshaji. Akizungumza na...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuandika hapa kwamba Polepole alikuwa anamtumia Sabaya kuleta "mizigo" kutoka Manyara, naona sasa mwanga unafunguka

    Nimeshindwa jinsi ya kuupata ule uzi niliweka hapa miaka kama mitatu imepita. Kwamba procurement officer wa mizigo alikuwa Sabaya. Ndio maana alijiamini sana ndugu Sabaya. Haya sasa, na inasemekana Harakaraka yuko waya mkali. Anakula booster kila siku
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kitaalam, alichomaanisha Polepole ni hiki

    TZ Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ( ndio sababu ilikua kubwa ) Kwa maana ya kwamba kama hukujiandikisha kupiga kura...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Namchukia sana Balozi Humphrey Polepole. Ananigombanisha na Chama sana

    Nimekosa imani kwa Chama Cha Mapinduzi. Naona kimejaa majambazi, wahuni na malaya wa kiitikadi. Namchukia sana Kikwete na genge lake la Wahuni akina Rostam kwa mujibu wa Polepole. Sipendi kuwachukia watu hawa. Napaswa niendelee kuwachukulia kama ni role models wangu. Kuwa ni watu wanaotumia...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Polepole kazungumza, J.Makamba Je!

    Nilianza kumfahamu (au kumjuwa?), kijana Januari Makamba kupitia kwenye jukwaa hili hili la JF, kwa kusoma barua yake aliyoipa kichwa cha habari cha "Coming to America". Andiko lake lile lilinivutia, kwa vile maelezo yake yalionyesha kuwa kijana mwenye uzalendo wa nchi yetu Tanzania. Historia...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama anayosema Polepole ni Kweli, inamaanisha tunaongozwa na serikali yenye wahalifu na haramu

    Hamjambo! Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa. Kusema CCM ni majizi ya Kura huku chama hicho ndio kinaunda serikali ni kujaribu kueleza kuwa Tanzania serikali yake ni matokeo ya...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Naomba haya maswali yajibiwe na INEC na NIDA kama kweli Polepole kasema uongo vinginevyo Inatia mashaka

    Nilimsikiliza vizuri Polepole aliposema mifumo ya CHAMA inasomana na Taarifa za NIDA na Tume ya UCHAGUZI Baadae Tumesikia majibu ya kukanushwa Taarifa hiyo kutoka INEC na NIDA! WAMEKANUSHA kwamba hiyo mifumo haisomani! Majibu haya ndiyo yamenishitua kabisa kuliko hata TUHUMA za POLEPOLE...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mafufu: Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine

    Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine. Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Back
Top Bottom