polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Polepole, hawa watu wakiendelea kushupaza shingo kuhusu huo mfumo wa wizi wa kura, toka tena hadharani ueleze unavyofanya kazi na uwataje wahusika

    Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda kubwa kutaka kuaminisha watu kuwa ulichoongea hakiwezekani na ni uongo ingawa hawatakubali uchunguzi...
  2. Carlos The Jackal

    GE2025 Polepole: Mwinyi alipigiwa Kura za Hasira, kumjibu Mwanamtandao alomtuma Binti awapigie Wajumbe Kumchagua Waziri Rashidi kugombea Urais Zanzibar

    Wakuu mambo ni MAZITO sana sana. Kumbe Mwinyi mwaka 2020 asingekuwa Rais. Licha ya Juhudi za Magufuli kwenye Kikao Cha Halmashauri Kuu kuwauliza kama Wajumbe wa MTU wao , baada ya Magufuli kugundua kua Walitaka Shamsa Vuai Nahodha awe Rais, na Wajumbe wote kukana kuwa hawana Mgombea. Jioni...
  3. Sifi Leo

    Kama ccm wangekubali KUMWAGA oil, je polepole angeyasema haya ya mfumo(dukuzi)?

    Jibuni swali langu? Je ccm ingekubali KUMWAGA oil haya yanasemwa yangedemwa na Pole pole?
  4. M

    Hitimisho langu kutoka Press za Polepole ni kuwa sasa Dola inapambana na Serikali

    Baada ya kumsikiliza Polepole nimegundua kuwa ni kama vile Serikali (Rais) ilikuwa inajitahidi kuiteka Dola na kujaribu kuikumbatia au kuizunguka. Dola imeng'amua hilo na sasa Dola imeamua kupambana na serikali na ikibidi kuiangusha serikali, kuiua au kuisambaratisha kabisa. Ndani ya muda...
  5. D

    Nashuku sana watanzania kwa kumpuuza Polepole na mafisadi wenzie

    Imebaki kundi dogo la ambao angalau wana uhakika wa kesho yao ndo wanamfatilia Polepole ila sisi walala hoi tumempuuza Polepole na mafisadi wenzie
  6. toriyama

    GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda...
  7. Carlos The Jackal

    Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

    Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi. Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO. NIDA mmetukosea sana Watanzania...
  8. Samia atosha tukutane2030

    Kwa miaka 5 Polepole alizunguka nchi mzima kuinadi CCM na Magufuli, upinzani walikatazwa kufanya siasa 2020 bado wakapora uchaguzi

    Swali kwa Polepole: Unaposema mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna viinimacho, mwaka 2019 na 2020 kulikuwa na nini? Hamjaandaa mabox mawili moja mkawapa walimu na watendaji wajaze kura usiku? Mliogopa nini kama kwa miaka 5 mliweza kufanya siasa peke yenu huku wapinzani hata kwenye vikao vya...
  9. S

    Kati ya Lissu aliesema "tutakinukisha" na wanaotuhumiwa kuingiilia mifumo ya uchaguzi kwa mujibu wa Polepole, nani anapaswa kushitakiwa kwa uhaini?

    Baada ya Polepole kutoa tuhuma nzito za mifumo ya uchaguzi kuingiliwa huku akitaka uchunguzi huru utaohusisha vyama vyote ufanyike ili umma ujiridhishe kama alichosema ni kweli au laa, nimejikuta na hili swali hapa chini: Kama Lissu anashitakiwa kwa tuhuma za kusema atakinukisha kuvuruga...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Polepole: Naishi kwa kificho, wananitafuta sana. Kwahiyo mimi kuongea ndio mnitafute?

    Polepole: Naishi kwa kificho, sio siri wananitafuta sana. Kwahiyo mimi kuongea huru ndio mnitafute?
  11. B

    GE2025 Polepole asema kuna mtu alitumwa kupiga simu kulazimisha wanaomtaka awe Rais 2020, walishindwa. Ni nani huyo?

    Polepole anasema kwa uchaguzi 2020 kundi la mtandao lilikuwa na mgombea wao, walikuwa wanamtaka Shamsi Nyahoza. Wakati kamati kuu wote walisema hawana mgombea, siku ya jioni kuna mtu alikuwa anapiga simu, binti, alikuwa anapiga simu akitaka mgombea wa zanzibar aliyemtaka yeye na aliyemtuma...
  12. B

    GE2025 Polepole: Majaliwa, Mpango hawaendelei, wewe nani hadi ulazimishe?

    Polepole kaanza na kumuwasha mama moja kwa moja! Kauliza kama Majaliwa haendelei na mambo za kugombea, Mpango naye vile vile, sasa yeye nani anayelazimisha kuendelea wakati watu hawamtaki? Team chawa siwaoni, njooni bana mmsaidie kutoa majibu kwa kiboko wa wahuni🤣🤣😂😂
  13. USSR

    Namfatilia polepole naona anarudia yale yale tu .VPN X Kwa Godbless lema

    Jamaa hana jipya wala hakua la maana ni michosho tu na kelele za kutaka ccm irudie mchakato wa uteuzi USSR
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Polepole: Mwaka huu hakuna uchaguzi, ni CCM VS CCM, CCM na ACT-Wazalendo ni kitu kimoja!

    Humphrey Polepole, amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu hauna ushindani wa kweli, kwa kile alichodai kuwa kinachoonekana ni “CCM dhidi ya CCM.” Polepole ameeleza kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na chama cha upinzani ACT-Wazalendo haviwezi kuonekana kama wapinzani wa dhati, akisisitiza kuwa vyama...
  15. Kimbesa11

    Polepole anafanyia press lakini wafuasi wa CHADEMA hawalali wanakesha na simu kumsikiliza

    Polepole anafanyia press kwenye vyoo vya wazungu lakini bado wafuasi wa chadema hawalali, Sasa sjajua ni ugonjwa wa wafuasi wa chadema au ni athari za mdudu ujinga, wanakesha wanaskiliza non busness press ambazo HAZINA return yyte, ni useless press. Nazidi kuwashangaa Hawa wafuasi wa CHADEMA...
  16. and 998 others

    Polepole atafutiwe buyu la asali akae kimya

    Huyu jamaa amegewe Ile michango ya madon pale mlimani city abuye akae kimya. Watu wana bills za kulipa unaleta ujuaji!
  17. Nyankurungu2020

    Polepole ana uchungu mkubwa namna wahuni wanavyohusika na hujuma ili waibe mali za umma kwa uhuru

    Nimeambiwa na mzee mmoja kuwa Polepole anajua mengi. Jinamizi limekuwa likimsumbua juu ya hujuma alizofanyia Thomas Sankara wa Tanzania Tusubiri. Maana kila kitu kitawekwa wazi
  18. Pascal Mayalla

    Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Wanabodi, Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake! Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。 Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
  19. MkuuXyz

    Polepole kapigwa sapana?

    Wadau Mbona Pole Pole hapatikani LIVE FACEBOOK/YOUTUBE, kuna Mwenye Updates zozote ? Au Kapigwa Spana ??? Si alitangaza kuwa ataingia LIVE LEO 21.08.2025 SAA MBILI USIKU ?
  20. R

    GE2025 Polepole, uliahidi kutohama chama, endelea kutoboa mtumbwi ukiwa ndani

    Salaam! Tanzania nchi ya amani sana, yaani tumekutana hapa njiani, hatufahamiani, lakini tunajadili press ya Leo bila woga wowote. Tumejaribu kuulizana wapi hasa alitokea Mh Polepole, alizaliwa wapi, wazazi wake kina nani, ni mtu wa wapi, Kila mtu asema lake. Mtu mmoja hapa amedai kuwa...
Back
Top Bottom