polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

    Kauli ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kwamba mifumo ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeunganishwa na ile ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imewaibua wakuu wa taasisi hizo na kukanusha madai hayo. Wakuu hao...
  2. GE2025 Polepole: ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mradi wa kundi mtandao ambao wamewezesha

    ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mradi wa kundi mtandao ambao wamewezesha na wakamka, ndivyo hivyo Chaumma ni project ilikuwa inahusu ubwabwa leo hii inamgombea Amesema Polepele
  3. Polepole amuache Samia naye atembelee V8. Kila mtu na wakati wake

    Sabato Njema! Polepole wakati anatembelea V8 alitamba sana tena kwa bahati mbaya kabisa alishindwa kujizuia akajirekodi na kujigamba na kuwaringishia Watanzania hawaijui V8. Sasa amuache Samia na wenzake watembelee mipira, V8. Kulia kupokezana. Kiburi sio mauungwana. Na kiburi ndioanguko leo...
  4. J

    Badala ya kumjibu Kuna juhudi za kuharibu ushahidi wa tuhuma alizotoa Polepole dhidi ya INEC, CCM na NiDA?

    Baada ya hapo jana Ndg Pole pole kusema aliyoyasema, Inasemekana Leo mahali fulani watu wapatao 8 kutoka sehemu zilizotajwa na HP na wengine kutoka Idara moja. wamekutana. Katika mazungumzo yao ambayo yamenaswa moja kwa moja na inzi wangu, inadaiwa kuwa wanajadiliana jinsi ya kufanya ili...
  5. Anauliza Pole pole mbona CHAUMMA ilikuwa inazungumza ubwabwa tu mara ghafla imegeuka imekua na nguvu kubwa na uwezeshaji wa hali ya juu?

    Anahoji Polepole; Mbona CHAUMMA ilikuwa inazungumza ubwabwa tu mara ghafla imegeuka imekua na nguvu kubwa na uwezeshaji wa hali ya juu?
  6. Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

    Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa...
  7. Mataifa ya wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, ajira za kimataifa, network za biashara lakini huku wanakesha wanaskiliza press za Polepole

    Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮 Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii...
  8. J

    Ili tukubali uongo wa Polepole, CCM, INEC, NIDA jitokezeni hadharani

    Rungu la Polepole limerushwa na kuangukia CCM, NIDA na INEC. Kwamba watatu hawa ndio wapindishaji wa haki na maamuzi ya watanzania kwa viongozi wanaowataka kupitia sanduku la kura. Baada ya madai haya ya Polepole, mapema tu ukaanza mtifuano na majibizano humu. Wapo wanaopinga hoja za Polepole...
  9. Hivi kweli Wapinzani mnasikiliza uongo wa Polepole hadi usku wa manane? Basi tunahijaji reforms za ubongo wa wapinzani, hivi mnajielewa kweli?

    Nawashangaa sana hawa wanaojiita Upinzani, hivi Hawa wapinzani wetu ni wakulala wanaskiliza press za polepole Leo kweli? Nadhani ni kukosa hoja kwa Wananchi, lakini si kukesha eti mnamsikiliza polepole usku wa manane Leo... This is stupidity, inamaana mnasahau mapema hivi? Hata kama ni...
  10. C

    Polepole umetimiza wajibu wako

    Yaliyopita yamepita, umeomba msamaha. Tuangalie uliloliangazia macho na roho jana
  11. Nidhamu ya uoga, unafiki na kujipendekeza ndivyo haswa vinamtesa Hamphrey Polepole kisaikolojia na moyoni akiwa mafichoni

    Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi. Hivi sasa, historia ina...
  12. Mbona habari ya Polepole ya kuiba kura haipewei airtime? Ina maana media zote zimeshikiliwa na CCM?

    Kuanzia , JF na mitandao mingine yote habari ya Polepole ya CCM kuiba kura kwanini media hawataki kuiweka ili wananchi waipate .
  13. Msichokujua CHADEMA ni kwamba Polepole anapigania reforms za chama chake na wala hapiganii maslahi yenu, chukuweni tahadhari

    Ndio nimeona nilisema hili maana nimeona wanachadema kina MMM, Sativa na Sarungi wakiunga reli ya Polepole bila kujua kuwa jamaa anataka reform za chama Chake na siyo maslahi ya CHADEMA kwenye uchaguzi huu. Chukueni tahadhari sana huyu mtu siyo mtu mzuri na kumbuka sana enzi za Lowassa...
  14. Polepole: Chinua Achebe anaushauri wako ndani ya Things Fall Apart

    Kuhusu wito wako kwa watanzania kujiunga na mapambano yako dhidi ya Samia pamoja na unaloliita kundi la mtandao, Achebe anasimulia: “Its too late, said Obierika sadly. The white man has put a knife on the things that held us together, and we have fallen apart the centre cannot hold. Our own men...
  15. Watanzania mnisamehe simsamehi Polepole, nikimsamehe Lissu risasi itamtoka mgongoni? Ben Saanane, Mawazo, Azovory Gwanda watafufuka?

    Mimi staki dhambi, staki UNAFIKI kamwe siwezi msamehe Pole pole mpaka kihama huyu ni mtu aliyeshiriki.mauaji ya watanzania Ili ccm itawale Nisamehe Ili aende akawe baba wa mtoto wa Alphonso mawazo? Au akawe Baba wa mtoto wa Ben rabiu saa nane Au akamrudishie viungo vyake vya Tako Mh Tundulisu...
  16. Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

    Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na...
  17. I

    Polepole asipuuzwe;vyovyote iwavyo

    Licha ya kwamba sikubaliani na Comrade na mtandao wake walivyofanya uhuni kipindi cha utawala ule...ambapo mambo kadhaa yalijitokeza ikiwepo uporaji wa chaguzi, mauaji na upotezwaji wa raia wapinga serikali na chama dola nk! Pamoja na makosa waliyoyafanya utawala ule; kitu pekee kilichonivutia...
  18. M

    Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

    Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki. Huu ujumbe wa Polepole...
  19. CHADEMA tieni chumvi kwenye mchuzi wa Kiroboto kabla haujapoa

    Ni hayo tu, ndugu Kiloboto kashaweka ngozi Kwenye box, lishambulieni kwa nguvu zote.
  20. R

    Polepole, sasa hilo umeliweka wazi la the Trio- NIDA-CCM-INEC. The big question is WHAT NEXT KUZUIA UCHAGUZI

    Huu ndio uwe mjadala watu kuanzia leo, watu wenye nia njema na Tanganyika tujadili hili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…