Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.
Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu.
Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini.
Wengi walitajwa, na bila shaka chuma aliamua kusitisha ile operesheni.
Sasa hebu tuletee list ya wauza Sembe ili Jamii iwaepuke, iwaogope...
Habari za Sabato!
Nimemsikia Polepole kwa undani kabisa. Kitu anachokifanya sikukielewa mapema lakini kwa hotuba yake ya leo nimeona mbegu anayoipanda imelenga kuotea wapi na kuzaa kitu gani
Ni wazi wananchi wa nchi hii hawana chochote cha kufanya kinachotokana na kile anachosema Polepole...
Kwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B.
Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
Japo hajatubu kwa kushiriki kufinyanga demokrasia wakati wa jiwe lakini mengi anayoongea sasa yana maslahi ya taifa zaidi na sio maslahi ya chama kama ilivyokuwa mwanzo.
Kwa sasa Polepole ameanza kuitanguliza nchi mbele badala ya chama, huenda huu ukawa pia ni muelekeo wa kukitelekeza kabisa...
Pesa za Corona mwaka 2021 wewe Kikwete ulikuwa rais mstaafu na kuheshimu sana ila mimi ndiye niliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya utawala na Serikali ya mitaa ndio nilipitisha kwa mkono wangu pale bungeni Trilion 4 halafu hela ya Corona ilipokuja Trilion 1.3 mkatumia nje ya bajati kwa matumizi...
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za...
Polepole: Bwawa la Mwalimu Nyerere lilipaswa kukamilka 2021 lakini kulikuwepo na mchezo pale, yupo waziri pale aliporudi na mkandarasi alikuwa anazungumza naye moja kwa moja anaruka mpaka mshauri tuliomuweka wenyewe. Na pale kuna mgogoro na tutadaiwa deni mkubwa sana
Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."
Polepole: Kosa moja Magufuli alilolifanya ni kutaka kufanya maridhiano na watu ambao hapaswi kuridhiana nao, mafisadi, wezi ni moja kosa kubwa sana alilifanya Magufuli akaamini wataridhia na ni watu ambao walipigana sana mwaka 2020.
1. Ndugu H. Polepole ameanza kwa kuelezea kifo cha Marehemu Raisi J.P.M kilichotokea 2021. Huku akisema Magufuli alianza kuugua baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Rostam kule Morogoro kisha wiki mbili baadae umauti ukamkuta.
2. Namna ambavyo marehemu Bernard Membe alivyosuka mipango yote...
Mimi baada ya kuona wajinga ni wengi sana wamejaa kwenye kapu nikaamua kutoka nje ya kapu.
Nilikuwa najua Watanzania wengi ni wajinga lakini sikujua kuwa ni wengi kwa kiasi hichi.
Kitendo cha Watanzania wapenda mabadiliko kuanza kuwategea sikio la matumaini Gwajima na Polepole kilitosha kujua...
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6...
Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko.
Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho.
Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu.
Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu.
Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania...
Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM.
Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni...
Kwa ufafanuzi wa JK na KWA hoja za wazungumzaji wote zilijaribu kumtenga mama na chochote kilichofanyika kabla hajashika usukani wa kitaifa.
Wanasema Alikuta Uchumi Umeshuka.
Alikuta Vyombo vya habari na uhuru wa habari umekandamizwa sana.
Etc
Nilichokielewa, CCM mtu akiwa Rais chochote kibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.