polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

    Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko. Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho. Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu. Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu. Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania...
  2. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mnaokesha kuangalia video mnemba za Polepole, mmeamkaje kwa ile nyomi ya uzinduzi wa kampeni za CCM

    Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM. Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania KWA hotuba za Jana, Naungana na JK Mama amalizie mitano yake. Polepole hakijui Chama chao.

    Kwa ufafanuzi wa JK na KWA hoja za wazungumzaji wote zilijaribu kumtenga mama na chochote kilichofanyika kabla hajashika usukani wa kitaifa. Wanasema Alikuta Uchumi Umeshuka. Alikuta Vyombo vya habari na uhuru wa habari umekandamizwa sana. Etc Nilichokielewa, CCM mtu akiwa Rais chochote kibaya...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Polepole CCM ilifanya jitihada kubwa kumdhalilisha

    Wakati ule walipomtoa katika Ile kazi ya Katibu Mwenezi. Wakampeleka kwenye Kamati ya Maadili for no clear reason. Baadaye CCM wakaamua kwamba they will rehabilitate him . Wakampeleka Malawi kuwa balozi halafu Cuba. Ile ilikuwa change of heart for CCM. Kwa Polepole ilikuwa restoration and...
  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwenye siasa utekelezaji wa Ilani ya chama unaongea maelfu ya maneno kwa Wananchi kuliko usambazaji wa chuki, wivu, upotoshaji na uongo kwa jamii.

    Tunashida kwenye ufanyaji wa siasa hatuna siasa za hoja, tunasiasa za kujengeana chuki na kupotosha watu, hatuna siasa za kwanini chama X na si chama Y Nashangaa kuona mtu mzima kabisa anafamilia eti anaamini watu watakipigia chama kingine kwasabu ya upotoshaji wake hii HAIPO huu ni ujinga wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Angalizo la Polepole la Wahuni kuwa kila mahali linaonekana kutoeleweka bado. Hata upinzani, Sauti ya Tanzania, TLS, nk, ni dhahiri kuwa nako wapo!

    Ama kwa hakika hakuna kulipo salama! Kasikika Mwabukusi: 1. Kudogosha taarifa ya Polepole kuwa mifumo INEC na NIDA kusomana ni jambo la kawaida. Sina hakika alisahau kuwa kwa mujibu wa Polepole kulikuwa na mfumo wa tatu uliotajwa pale. Haikuwa siri, kulikuwa na mfumo wa CCM uliotajwa pamoja na...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, apewe dawa, anaropoka tu!

    Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, anapaswa apewe dawa, amekuwa mtu anayeongea mambo hovyo hovyo, ni mtu ambaye anaongea mambo bila kutafakari ni mtu ambaye anaropoka tu!, hana facts wala ushahidi wowote. Kwahiyo mimi naona ni mtu ambaye amejawa...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Gwajima na Polepole, Chadema kesho CCM wanaanza kampeni rasmi

    Wanaukumbi. Gwajima na Polepole ni project ya mtu mmoja na script writter ni mtu mmoja ndiyo maana hawaishi kurudia rudia kuongea vitu vilevile kila siku kwa kuwa hawana ajenda ya kusema na kuongea. Siku 10 zilizopita alisema atarudi na kuongea mambo mazito sana na watu hawataamini. Hivi...
  9. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Polepole, hadithi ya shetani anayejibadili kuwa Malaika ilipomfalia kufanya hivyo

    Umewahi kujiuliza kama iwapo matakwa ya ndugu Humphrey Polepole yangetekelezwa angesema anayoyasema sasa mitandaoni kupambana na Rais Samia? Siamini hilo. Haijalishi kama ni kweli au ya uongo, nina hakika tusingeyajua yote haya nina hakika maana asingekuwa na haja ya kulipa kisasi. Falsafa ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Polepole yuko Sahihi. TUME inataka kumpa Mwalimu kura kadhaa za Bure

    Kuna mpango wa ovyo wa Kumpa Salum Mwalimu kura kadhaa za kubumba huyu mtu ili wapate wabunge wa viti maalum kadhaa na wabunge wa ovyo ovyo Ndugu Watanzania sio Siri tena kwa namna yoyote Mpina angekuwa ana kura nyingi sana kuliko huyu mgombea wa Chauma na pengine angemzidi mgombea wao kwenye...
  11. Full charge

    JamiiForums Tanzania Polepole atueleze kuhusiana na watu au kikundi cha watu wasiojulikana almaarufu kama watekaji

    Habari wadau,binafsi nimemskiliza sana bwana Haphley Pole pole juu ya mambo yanayoendelea nchini kuhusiana na utawala uliopita na huu wa sasa wa Samia. Bila kumpinga wala kumkubali jamaa atueleze kuhusiana na watu au kikundi cha watu wasiojulikana almaarufu kama watekaji (wauaji). Hamphley...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Polepole amshauri Rais Samia Kujaza Fomu za Maadili za viongozi na Mali zao ! Ashangaa kama Magufuli alikua anajaza , kwann Samia hajazi?

    Mwisho , ataja utakatishaji wa PESA KAMA matokeo ya Samia kutokwenda Kujaza Fomu hizo !!!
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Matusi ili yanoge mpaka usiku hapa Polepole ukileta mada usiku naona CCM wanachanganyikiwa:Muendelezo

    Mda mzuri wa kuwachanganya watawala weusi nguvu za giza ni zile mada unaleta usiku.Wazungu na waarabu na wa asia ukifatilia walivyokuja afrika waliingia usiku au kuna pambazuka na ili ndio watu weusi kushtuliwa usiku. DMZ ni code ya kijasusi
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mama wewe pumzika hautakiwi kugombea, lakini naona umeshupaza shingo, usitake Mungu akasirike juu yako

    Polepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nimpongeze sana Monalisa Ndala umeonyesha uzalendo na chama chako na Mungu atakulinda wasikufanyie ubaya

    Nimpongeze sana Monalisa Ndala umeonyesha uzalendo na chama chako na na sisi tunakuombea kwa Mungu atakulinda wasikufanyie ubaya wasikutishe lakini kuwa makini kwa sababu wameumia sana kwa sababu kitendo kile kimefanikiwa
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna jamaa anaonga usd 3000 kwenye harusi hii code niliwahi kusema

    Unajua hapa tukisema ila naanza kuwaeleza ile harusi ya jamaa ambaye leo mnasikia wasanii wamekuwa bega kwa bega na wahuni ili kuonesha wote mnamafanikio. Niliambiwa na wivu mpaka kufutwa uzi.
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko nje anawatafuta kutudhuru

    Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko nje anawatafuta awadhuru na wasaii sana, Ni magengeni ya kihuni, ya kiuhalifu na yanahusiano na vyombo vyetu kwa nafasi fulani wapo baadhi ya watu wamekosa uaminifu
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nilivyosema vya CCM hivyo ni vidogo, nilikuwa ni mwage hadharani mambo yanahujumu maslai ya taifa letu

    Samahani kwa taarifa ya ghafla tukutane kutoka muda si mrefu mpaka saa 6:00 usiku leo. Tuzungumze kidogo mustakabali wa Taifa letu. Mungu wa Mbinguni Aliyehai Awabariki ! ===================Updates.......... Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa Aliyoyasema Polepole kuhusu Nchi kupigwa Almasi Huu hapa

    Baadhi ya Wazalendo wameanza kufukua vielelezo kwa lengo la kuthibitisha aliyoyasema ndugu Humphrey Polepole kuhusu Nchi Kutafunwa. Na sisi bila hiyana na labda kwa manufaa ya wanajf wapya na wale wasahaulifu na wengine kote Duniani tumeamua kusogeza vielelezo hivyo hadharani. Toa Maoni yako
  20. B

    JamiiForums Tanzania TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."

    Palikuwa na uzi humu: Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi? Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia. Ikumbukwe anayeweza...
Back
Top Bottom