Habari ndugu, tunauza vitanda vya beach pamoja na hotelini, vitanda hivi ni imara na vinadum mana tunatumia mbao za plastiki ambazo haziozi, haziliwi na wadudu, wala mchwa, mbao ni imara sana zinafaa ata sehem zenye majimaji, vitanda hivi ni vzr sana , tunapatikana dar es salaam na zanzibar...