pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tangu TAMISEMI waseme wamepata kibali Cha kuajiri kada ya Afya na Walimu tangu mwezi wa pili mwaka huu sijui shida huwa nini?

    Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi ya pili inatafutwa kwa kila namna hata kwa magoli ya offside

    Humu kulikuwa na wimbo wa waamuzi kuwabeba timu fulani ili kubeba ubingwa, lakini waimba wimbo huo hawaonekani pale timu yao ya Simba ikibebwa na waamuzi na kupata matokeo. Leo Simba imepata point 3 kwa goli la offside, wakati Freddy Michael funga funga anapokea mpira alikuwa katika eneo la...
  3. JamiiForums Tanzania Nimekosa amani ya moyo ni Wiki ya pili sasa

    Habari za jioni wanaJF, kwanza nitangulie kusema sina mgogoro wowote wa kifamilia, kuhusu kazi sio mwajiriwa ni mchakalikaji wa mtaani, sina madeni ya kutisha ambayo may be yanaweza kunipa stress, ingawa nina hofu ya kutofikia lengo ifikapo 30 june mwaka huu hali ambayo nahisi itaniathiri sana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Azam Fc nafasi ya pili ni ya kwao iwapo wataamua kushinda vishawishi vya simba

    Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu. Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunaisaka nafasi ya pili kwa udi na uvumba na tukishaipata TFF ,mtutaeleza kwanini Yanga imefungiwa na FIFA kusajili vinginevyo itakuwa kama Sigara

    Sisi sasa hivi tumeweka kiporo hoja ya Yanga kufungiwa kusajili kutokana na kumchezea mfumo, lakini tutakapomaliza nafasi ya pili mtatueleza ilikuwaje kuwaje hadi mkafungiwa, tumeshaandaa wanasheria kabisa wa kushughulikia hoja hiyo na wametuhakikishia ushindi upo dhidi ya uhuni katika soka hapa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usahili afisa kilimo daraja la pili kwa Dar unafanyikia wapi tarehe 12/05/2023

    Naomba kujua usahili kada ya afisa kilimo kwa Dar unafanyikia wapi tar 12/05/202411
  7. JamiiForums Tanzania Waambien Azam,huwez kua unataka kumaliza nafasi ya pili halaf unacheza kwa kumdharau mpinzani

    Habara mwanajukwaa la michezo. Kiukweli nianze kwa kusema maneno mafupi tu Azam haistahili kucheza Champions League msimu ujao..Mi shabiki wa mpira naufahamu mpira vizur. Jana baada ya ile Half time nilienda kwa mshikaji wangu wa M-Pesa nikata kuweka 50k ila akasema kwa sababu ya protocal zake...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Afisa utumishi daraja la pili

    Jamani nisaidieni, nini cha kuzingatia kwenye interview ya Afisa utumishi?
  9. JamiiForums Tanzania Huyu ndio Alikuwa Profesa Kabudi wa Kweli. Hili Toleo la Pili ni Utata

    Hapo zamani za kale alikuwepo Profesa mahiri na msema kweli. Aliwahi kuzungumza ukweli kuhusu Tanganyika na kuwa ipatikane sasa kwa hiari isisubiri kama yule Rais wa Romania.
  10. JamiiForums Tanzania Masoud Djuma: Sio rahisi kucheza na kupata matokeo dhidi ya timu inayotafuta nafasi ya pili

    Kocha wa Tabora United Masoud Juma akihojiwa mara baada ya match na 5imba aka Ubuntu Botho amesema sio rahisi kupata matokeo na timu inayotafuta nafasi ya pili,amesema hayo baada ya timu yake kunyimwa goli halali mnamo dakika ya 77 ya mchezo. Source: Kwa hisani ya Tatu Malogo.
  11. JamiiForums Tanzania Vita ya nafasi ya pili imepamba moto haswa

    Mechi baina ya Simba dhidi ya Azam ndio itakayotoa mwanga ni timu ipi inaweza kucheza klabu bingwa msimu ujao. Azam wakiwa wameshuka dimbani mara 25 wakijikusanyia alama 57 wanapigana vita dhidi ya Simba ambayo imecheza michezo 24 wakiwa na point 53. Timu hizo zitakutana wenyewe kwa wenyewe...
  12. JamiiForums Tanzania Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siawaoni nafasi ya pili NBC PL

    Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siwaoni nafasi ya pili nbcpl msimu huu 2023/2024 Simba watacheza leo mchezo wao mwingine wa ligi kuu ya NBCPL na ikitokea kupoteza mchezo wa leo atakuwa na wakati mgumu wa kumaliza nafasi ya pili msimuu huu. kwahiyo Kocha Mgunda anakazi kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Sikuona makosa ya Kennedy Juma kwenye goli la pili la Namungo

    Naona kila mmoja anamnyoshea kidole Kennedy Juma kuwa ndio aliyefanya makosa kwernye lile goli. Pengine Kennedy ana nyota mbaya ya kutopendwa na wanasimba lakini kwa goli la jana halikuwa kosa la Kennedy Juma bali ni la kipa Ayoub. Kipa alitoka golini kwake kufuata mpira pasipo mawasiliano...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Jengo la Abiria Stendi Kuu ya Magufuli halina umeme siku ya pili, Watu wapo gizani

    Naomba ujumbe huu mfupi tu uwafikie wanaohusika kuwa hapa kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal), upande wa jengo la abiria na sehemu nyingine kadhaa hakuna umeme. Leo ni siku ya pili sasa hali bado ni tete, hakuna umeme na usiku usalam wa abiria unakuwa shakani...
  15. JamiiForums Tanzania Bora Episode au mke wa pili na watatu!

    Wanawake wa mjini tupunguze series za wanaume, unajikuta una mwanaume wa 15 bado unawaza kuolewa. Hawa vijana wa mjini hawaoi bora umkamate lizee hapo uwe mke wa pili au watatu kuliko kuhesabu series na episode za vijana wa pinga ndoa. Bora nimkamate mzee niwe second wife au third au muendelee...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa. Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa vita vya pili kuna jambo moja nimegundua. Jambo lenyewe ni kuwa katika maadui wanao zungumziwa sana...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

    Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya, Kwa machache nayoyajua: alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua...
  18. JamiiForums Tanzania Je, nitakuwa nimekosea nikisema Wanyama pori watambuliwe kwenye katiba yetu kama watu daraja la pili?

    Baada ya serikali ya Mh. Kikwete kwa kushirikiana na jumuia za Kimataifa kupambana na ujangili sasa nchi ina tembo wa kutosha. Sehemu nyingi za kusini mwa Tanzania walikozingukwa na hifadhi ya Selous tembo wamekuwa wengi. Tukichukulia mfano wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma na Wilaya ya...
  19. JamiiForums Tanzania Je, unadhani kwanini jana Mamelodi Sundowns FC katika Mechi yao ya Ligi Kuu wamechezesha Wacheaji Chaguo la Pili tu?

    Unaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo hata hivyo Walishinda Goli 1 kwa 0. Mamelodi Sundowns FC watauwa Mtu na inaonyesha hawatanii na...
  20. JamiiForums Tanzania Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

    Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho. Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ? Naomba kufahamishwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…