pilau

Pilaf (US spelling), or pilau (UK spelling) is a rice dish, or in some regions, a wheat dish, whose recipe usually involves cooking in stock or broth, adding spices, and other ingredients such as vegetables or meat, and employing some technique for achieving cooked grains that do not adhere.At the time of the Abbasid Caliphate, such methods of cooking rice at first spread through a vast territory from India to Spain, and eventually to a wider world. The Spanish paella, and the Central Asian pilau or pulao, and biryani, evolved from such dishes.
Pilaf and similar dishes are common to Balkan, Caribbean, South Caucasian, Central Asian, East African, Eastern European, Latin American, Middle Eastern, and South Asian cuisines. It is a staple food and a popular dish in Afghanistan, Armenia, Azerbaijan, Bangladesh, China (notably in Xinjiang), Cyprus, Georgia, Greece (notably in Crete), India, Iraq (notably in Kurdistan), Iran, Israel, Kazakhstan, Kenya , Kyrgyzstan, Nepal, Pakistan, Romania, Russia, Sri Lanka, Tanzania (notably in Zanzibar), Tajikistan, Turkey, Turkmenistan, Uganda, and Uzbekistan.

View More On Wikipedia.org
  1. comrade_kipepe

    Nimeacha pilau ndani nikijua naenda kukutana na Berger/pizza

    Cha ku suprise nimeenda kukutana na ugali ndondo
  2. nakwede97

    Pilau na nyama 😋

    Haya wapendwa kher ya mwaka mpya mwaka uwe wenye baraka na rehema kwenye familia zenu na kazi zenu . Leo nikasema nijipikilishe kapilau kangu na nyama
  3. Troll JF

    Kuleni Pilau na Mfurahie Noeli watanzania. Hakuna Nywi nywi wala Nywi nywi nywi

    Hali ya jiji ni shwari kabisa watu wako busy na kufurahia moja ya Siku kuu kubwa Duniani yaani X-mass hakika Tanzania itaendelea kuwa mfano wa nchi ya amani. Hii pia ni aibu nyingine kwa Wazandiki, Waratibu, waanzilishi, waunga mkono Chokochoko kutaka kuiharibu Tanzania. Vibaraka wa...
  4. ngara23

    Profesor Janabi asisitiza kuzingatia ulaji sahihi kipindi cha sikukuu, hasa kuepuka pilau na nyama

    Mkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya Pia ameshauri watu kuacha kutumia soda na beer 🍺 siku hiyo Badala yake ameshauri watu wale matunda, mboga za Majani na maji mengi
  5. Mwachiluwi

    Tupike pilau la kuku na njegere

    Hell kwanza poleni na misuko suko ya uchaguzi mlio poteza wapendwa wenu poleni sana Hivi ndio viungo vyetu tulivyo tumia Weka sufuri jikoni mimi leo nilitamani tu kupikia jiko la mkaa so nikatengeneza mafiga nikaanza kupika Kwanza weka mafuta kwenye sufuria acha yapate moto kabisa Baada...
  6. nakwede97

    Pilau la nyama

    Jana nikajitutumua nipike pilau eeh waah ni simple sana hakuna makolokolo mengi chap Kwa haraka Hivi ni viungo vyangu Kuna mchele nyamavitunguu vitatu vikibwa chumvi vitunguu saumu pamoja na pilau masala picha zinajieleza Kila kitu
  7. IsDinah

    Jinsi ya kupika dagaa watamu

    Sasa tuandae pishi letu ili tuingie jikoni kupika chap kwa muda wa dakika 10 baada ya hapo, tunakula sotojo letu. Anza kwa kukata kata vichwa vya dagaa, wengine huwa mnaunga dagaa bila kukata vichwa ni sawa pia ila mimi napendelea kukata vichwa kwa sababu inasaidia kupunguza mchanga. Baada ya...
  8. Mwachiluwi

    Tupike pilau la nazi

    Mwakata! Ughonile! Twambombo Leo nilikuwa na hamu ya pilau so nikasema nitafute nazi ili nipike pilau la nazi Kuanza nikaanza kukaanga nyama na mafuta kidogo tu uku nikiwa nime changanya na kitunguu swahumu Baada ya hapo nika chukua pilau masala na birian masala nika zichanganya pamoja ili...
  9. matunduizi

    Kwa nini sikukuu ya wafanyakazi watu hawapiki pilau na kunywa vinywaji wakati kazi na Sio dini ndio huwapa kipato?

    Kazi hata kama unalipwa kidogo, ndio inayokuingizia kipato. Sikukuu ya meimosi ulipaswa kutumia kama fursa ya kumshukuru Mungu KWA kukupatia Kazi ambazo wenzako wanazutafuta Hadi damu. Sikukuu za Dini ilitakiwa watu wale kidogo tu na watumie muda mwingi kutubu na kitafakari. Ila hii ni...
  10. Koffi Annan

    Pilau la Kibunge Magetoni

    Leo nimeamka asubuhi nikaona nitoe kitu geto kama Mwachiluwi Nilienda dukani kununua mahitaji na mengine yalikuwepo ndani Nikachemsha nyama wakati inaiva nikaandaa viungo kama vinavyoonekana hapo chini Nyama haikua nzuri sana sababu sio fresh ila pilau lazima linoge, Msela geto la jirani...
  11. Mwachiluwi

    Pilau la njegere

    Hello Leo bhna tupike pamoja pilau la njegere Kwanza niliandaa vitu vyangu mapema kabisa Nikaanza na kuweka mafuta kwenye sufuria baada ya hapo nikaweka kitunguu swahumu Baada ya hapo nikaweka nyama iliochemshwa nikaweka Kisha nikaweka kiungo cha pilau Nikachanganya ipasavyo kisha...
  12. Mwachiluwi

    Pilau kachumbari na matunda

    Lamomy aliniomba nipike pilau ila mambo yakaingilia leo nikapata nafasi kwanza nialianza kuanda viungo pamoja na kitunguu swahumu, hoho,karoti na kitunguu maji Wakati uho nilikuwa nimekata nyama ndogo ndogo ikiwa inachemka ilikuwa nusu na robo uswahili wanaita robo tatu Nikawa nasubir...
  13. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika pilau la samaki

    I hope mko poa Wale wasiotumia nyama nyekundu na wapenz wa samaki pitien hapa Sikunyingine tujifunze kupika pilau la samaki 😀😀 Mahitaji Samaki Mchele Unga wa pilau/pilau masala Binzari nyembamba Giligilani ya majani Mafuta ya kupikia Vitunguu swaumu na vitunguu maji Chumvi na viazi...
  14. T

    Nikule pilau kwani mi ni zubeida mluhya ni kukula ugali

    Otikiiii 😂😂😂😂🤣
  15. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika pilau tamu la Nazi

    Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze MAHITAJI 1)Mchele kilo moja. 2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu 3)kitunguumaji,kata kata wastani 4)kitunguu swaumu kilichosagwa4)viaz mviringo vya wastani...
  16. KING MIDAS

    Daku langu la Leo bila pilau ya Aboubakar nitasikitika sana

    Swalama ndugu zanguni? Huyu mwamba anapika sana pilau, sijui kwa sasa yuko wapi? Mwanzo alikuwa soko la Kibasila Kariakoo. Soko lilipovunjwa kupisha mradi wa Reli ya SGR akahamia Suwata. Sasa Suwata pamevunjwa sijui kahamia wapi huyu mjuzi wa mapilau nyama na kachumbari iliyochangamka?
  17. Ghost MVP

    Nani aliyesema kila Pilau linakuwa na Viazi?

    Nani aliweka Standard ya vitu hivi -Pilau lazima liwe na Viazi -Supu na chapati mbili -Chips na Mayai mawili? Mdau ongezea Kingine.
  18. Kaka yake shetani

    Pilau na biriani zinakosewa heshima sana ukilinganisha kipindi cha zamani

    Miaka 90 kushuka chini swala la pilau na biriani mpaka kuwe na sherehe au sikukuu ndio chakula kinapikwa. Watu walikuwa wapo tayari kukaa na njaa ili wale sana chakula hiko. Kwa sasa imekuwa fujo kila ijumaa ni fujo yani ukienda kwenye harusi walaji wa pilau hawapo kabisa na unaweza usipakuliwe.
  19. Kamanda Asiyechoka

    Upumbavu uliotamalaki, nimetapika pilau lote la jana

  20. Vincenzo Jr

    Nape ni mdau wa pilau, amefollow ukurasa wa ngono

    Mheshimiwa anafungia VPN kumbe nae huwa anaangalia video za Pilau 😂😂😂 credit by spana konk
Back
Top Bottom