pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bei ya injini ya mpya pikipiki fekon, kinglion au sanlg

    Jamani naomba kuuliza Bei ya injini mpya ya pikipiki fekon, kinglion au sanlg
  2. M

    JamiiForums Tanzania Usajili wa pikipiki

    Wakubwa kwema ,, naombeni mnisaidie namna ya kusajili pikipiki maana mwezi uliopita nilinunua pikipiki aina ya kinglion kama tatu hivi nikawapa vijana sasa sikupewa kadi kwa maana ya kwamba saiz mfumo wa kusajili kwa jina la kampuni hawafanyi saiz , hivyo mteja ndiyo anatakiwa anaacha Tin number...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki /frame ya pikipiki Honda trail 110

    Salaam wakuu!! Nina shida ya pikipiki au frame ya pikipiki Honda Trail 110 katika hali yoyote mahala popote ili mradi iwe na kadi na kuwe na usafiri wa kufika DSM
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki ya kuchaji used

    Wakuu habari, nahitaji pikipiki ya kuchaji used weka Bei na waqasiliano na pcha ya pkipki
  5. P

    JamiiForums Tanzania DEREVA PIKIPIKI

    Anaitajika Dereva pikipiki (1) 1. Awe na leseni 2. Awe anaishi banana , majumba sita, kitunda , kibeberu, kivule, mwanagati. 3. Malipo ya mwezi: 200,000 4. Ela ya chakula 2,500 5. Awe analielewa na kulijua Jiji la Dar es salaam vizuri. Mawasilino: mazingirapacha@gmail.com AU...
  6. JamiiForums Tanzania Mavunde Azindua SACCOS ya Waendesha Pikipiki na Bajaji Dodoma

    MAVUNDE AZINDUA SACCOS YA WAENDESHA PIKIPIKI NA BAJAJ DODOMA. ▪️Atoa rai SACCOS kuwainua Vijana kupitia mkopo wa Asilimia 10 ▪️Ataka Vijana wamiliki vyombo vyao vya usafiri ▪️Wampongeza Rais Samia kwa ujenzi wa ofisi ya Waendesha Pikipiki na Bajaj Dodoma(UMAPIDO) Dodoma Mbunge wa Jimbo la...
  7. JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya boxes inauwza, laki saba

    Wakuu kwa anayehitaji usafiri boda inauzwa, laki saba inahija matengenezo kidogo document zote zipo. Karibuni ipo temeke, buza.
  8. JamiiForums Tanzania Njoo uchukue BOXER X 125 "DRD"

    Pikipiki makini ya kupiga kazi hii hapa. BOXER X 125 "DRD" 🔥🔥🔥 Unaipata kwa 1,880,000/= Tu Napatikana Mbezi Beach, Dar es Salaam na kama uko mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. CALL/WHATSAPP 0683535699
  9. JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki - TVS STAR 125 "EHD" 🔥🔥🔥

    Karibu ujipatie pikipiki hii new condition TVS STAR 125 "EHD" 🔥🔥🔥 Unaipata kwa 1,850,000/= Tu Napatikana Mbezi Beach, DAR. CALL/WHATSAPP 0683535699
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii ikimuonesha mwanamke akiendesha pikipiki kwenye barabara ya zege isiyokauka ni halisi

    Mdau shiriki kuthibitisha Video inayomuonesha mwanamke anayeendesha pikipiki katika barabara inayoendelea kujengwa kwa zege kama ni halisi au imetengenezwa.
  11. JamiiForums Tanzania Ukipita karibu na kituo cha bodaboda ukiwatazama tu wanawasha pikipiki

    Baadhi ya Bodaboda wa Bongo ni miyeyusho sana. Ukiwa katika pitapita zako karibu na kituo chao,ukiinua kichwa kutazama upande wao, bam! ,Wamewasha pikipiki zao zote,chapu kukufuata, kabla hata hujawaita ,ukiwaambia nipo around sihitaji usafiri,tena chapu kwa haraka pikipiki zao zinarudishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Geita Gold Mining Limited watoa msaada wa pikipiki 15 kwa jeshi la polisi kuimarisha usalama

    Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mining Limited (GGML) umetoa msaada wa pikipiki 15 kwa Jeshi la Polisi kwa lengo la kusaidia shughuli za doria na operesheni mbalimbali zinazolenga kuimarisha usalama wa raia na mali zao. Akipokea Pikipiki hizo kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...
  13. JamiiForums Tanzania Wachina wamegundua pikipiki inayotumia pombe kali badala ya mafuta

    Tukisema afrika bado tunaitaji No reform No election mnaleta matamasha ya raisi.Haya waziri wajafo,mchengerwa na mwiguru uchumi mtauweza. https://www.youtube.com/shorts/zorydKgciQY?app=desktop
  14. P

    JamiiForums Tanzania DEREVA PIKIPIKI

    Anaitajika Dereva pikipiki (1) 1. Awe na leseni 2. Awe anaishi banana , majumba sita, kitunda , kibeberu, kivule, mwanagati. 3. Malipo ya mwezi:150,000 4. Ela ya chakula 2,500 5. Awe analielewa na kulijua Jiji la Dar es salaam vizuri. Mawasilino: mazingirapacha@gmail.com AU...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbe pikipiki sio nzito kuna sehemu boda kajichanganya tumepewa adhabu tuibebe

    Leo ndio nimejua kuwapikipiki kumbe sio nzito kabisa aisee tumebeba Mimi na boda boda mahali tumepita boda kajichanganya kusimama boda imezima basi tumebeba juu juu aisee ni nyepesi sanaaaaaa I love my country
  16. JamiiForums Tanzania Nichukue pikipiki gani kati ya hizi tatu?

    Wakuu, baada ya kufanya utafiti na kukusanya maoni toka kwa watumiaji wengine kabla ya kununua, nimepata pikipiki tatu ambazo zinashindana kwa vigezo ninavyovihitaji mimi. Vigezo hivyo ni: 1. Uwezo wa kutumia mafuta kidogo kwa safari za km 50 kila siku. 2. Ubora wa injini (sitegemei kumwona...
  17. JamiiForums Tanzania Nahitahi pikipiki ya hesabu au mkataba

    Poleni na kazi wakuu, Mimi kijana nahitaji pikipiki ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari kufanya biashara ya pikipiki mimi niko tayari. Nipo LINDI Tajiri akiwa Lindi au Mtwara itakua bora zaidi MAWASILIANO 0714441827
  18. JamiiForums Tanzania Pikipiki gani inanifaa kwa matanuzi ya hapa na pale katika maisha?

    Habari wadau, sina uhakika kama jukwaa hili linafaa kwa hoja yangu hivyo natanguliza samahani kwa atakayekwazika. Nimefikiria na kuamua niishi mbali na kituo cha kazi na niwe nakuja na usafiri wangu binafsi kuliko kukaa karibu na kituo cha kazi. Baada ya kufikiri sana, nimekuja na wazo la...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu nahitaji kujua bei ya pikipiki Boxer BM 150 HD

    Kwa mlioko dar es Salaam naombeni mnisaidie kufahamu bei ya hizi pikipiki mpya hasa BM 150 HD ile ambao mud guard yake ya mbele haijanyanyuka
  20. JamiiForums Tanzania Kama Bajaji moja ni 10M, unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja. Je, pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi inaweza rudisha pesa haraka?

    Kama Bajaji moja ni 10M means unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja. Kuwa na pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi hapo inaweza rudisha pesa yako kwa Haraka.??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…