Wakubwa kwema ,, naombeni mnisaidie namna ya kusajili pikipiki maana mwezi uliopita nilinunua pikipiki aina ya kinglion kama tatu hivi nikawapa vijana sasa sikupewa kadi kwa maana ya kwamba saiz mfumo wa kusajili kwa jina la kampuni hawafanyi saiz , hivyo mteja ndiyo anatakiwa anaacha Tin number...