pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama Umeona Maafisa Ugani Wenye Vishkwambi, Pikipiki na Vipima Udongo, Njoo Hapa

    Kati ya mwezi Machi na June Waziri wa Kilimo aling'ara sana na kuimarisha huduma za Kilimo Vijijini. Wengi tulimsifia kuwa anaupiga mwingi na yeye ndiye mfano kwa mawaziri wengine. Moja ya mikakati yake ilikuwa ni kuwa wezesha Maafisa Ugani na vitendea kazi kama Pikipiki, Vishkwambi na Vipima...
  2. JamiiForums Tanzania Anayejua Kubadili Plate number ya pikipiki

    Habari wakuu, Nimenunua pikipiki ina plate number nyeupe, Sasa mimi matumizi yangu ni binafsi nataka niweke plate number ya njano, je naanzia wapi kubadili na gharama zake zikoje? Card ya pikipiki ipo. Naomba msaada kwa mwenye uelewa .
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nina pikipiki aina ya "Power Star", nina tatizo ya kupata vipuli vyake

    Nina pikipiki aina ya "Power Star", nina tatizo ya kupata vipuli vyake, mfano accelerator wire, spare za vipuli vya engine n.k kuna mtu anaweza kunisaidia naweza kupata wapi
  4. JamiiForums Tanzania Ajali Wazo Hill: Daladala la Mbezi Tegeta Nyuki limeparamia bajaji na pikipiki

    BREAKING NEWS: Daladala inayofanya safari zake kati ya Mbezi na Tegeta kibaoni imefeli breki katika barabara yenye mteremko mkali ya Wazo Hill. Inaelezwa kuwa daladala hiyo imevamia Bajaji pamoja na Pikipiki kadhaa. Taarifa zaidi zitakujia hivi punde. East Africa TV
  5. JamiiForums Tanzania Ni wapi mahali sahihi kwa mujibu wa taratibu kuwekwa plate number za pikipiki?

    Peace be with you all, Wakuu kumekua na mitindo au style nyingi za pikipiki zikija na madoido ya mahali tofauti tofauti pa ufungwaji wa plate numbe kama nyuma, mbele, juu ya carry bar kwa piki piki kubwa kama baja, XL na XLR. Sasa kuna piki piki ameagiza jamaa yangu yenyewe haina sehemu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
  7. JamiiForums Tanzania Ajira: Natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Used Tvs /boxer / Toyo / Sanya inahitajika

    Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya Bajeti: laki saba Saba Kila Moja Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane. Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu Karibu
  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA BOXER CC 125 (ina mwezi unaenda mwezi wa Pili) BM X

    Hii pikipiki nilininunua TAR 5 mwezi wa 9 nita attach risiti ya Manunuzi. Pikipiki sina namna naweza ielezea, "ni mpya" Naiuza sio kwa shida hivyo mteja apatikane asipatikane yote kheri. Sababu ya Kuiuza ni kutokana na ngekewa ambayo imenitokea bila kutarajia, sikua nimetarajia kabisa kupata...
  10. JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara za pikipiki za umeme za kuchaji?

    Nimeona wengi waliozinunua wanaziuza tena... Nikapata maswali kidogo. Shida ni nini tena? Faida ipo kuwa sasa badala ya kununua Petrol utakuwa una charge. Nyingi kwa maelezo ni kuwa una charge masaa 5 unatembea kms 60. Lakini nikajiuliza inatumia Units ngapi kuicharge hayo masaa matano? Maana...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya mkataba

    Kwema wandugu....! Mbele yenu ni kijana wa miaka 24 na form six leaver miaka minne nyuma natumia jukwaa hili la jf kuomba msada jinsi ya kupata pikipiki ya mkataba kwani Niko katika jiji la Amoc makala na nikiwa nimekata tamaa na mafanikio na kazi nayoifanya...Incase ya dhamana sina chochote...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua chuo cha udereva wa pikipiki na kupata leseni

    Habari wana JF, Naomba kujulishwa mambo yafuatayo kwa wanaofahamu. 1. Chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa pikipiki Dar es salaam (Specifically wilaya ya Temeke). 2. Jinsi ya Kupata Leseni ya Kuendesha Pikipiki na Gharama zake. 3. Jinsi ya Kubadili Plate number kutoka Nyeupe kuwa njano...
  13. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazosababishwa na pikipiki (boda) kwa jiji la Dar es Salaam

    Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es Salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani inakopesha pikipiki?

    Kwa anejua kampuni inayokopesha pikipiki
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi wakamata Kilo 390 za Mirungi, 70 za Bangi na Pikipiki 11 za wizi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38...
  16. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa pikipiki haojue express

    Habarini wakuu. Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa kuhusu pikipiki hii; 1. Uimara wa chasis yake na body kwa ujumla 2. Upatikanaji wa spare zake
  17. B

    JamiiForums Tanzania Pikipiki inakunywa sana mafuta

    Wakuu nina pikipiki yangu skymark winner inakunywa mafuta kama jini, naombeni ushauri.
  18. JamiiForums Tanzania Hii ndio mashine ya kuzalisha matairi ya pikipiki kwa kutumia takataka, Tz hazijafika bado?

    Kwakuwa mahitaji ya tairi za pikipiki na makubwa nchini Tz, Ke, bado hatuna hii mashine? Video ina maelezo
  19. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mtoto wa miaka 14 anayemiliki kiwanda cha kuzalisha breki za pikipiki, tunaweza kuiga kwa hapa Tz?

    Mahitaji ya ‘brake shoe’ za pikipiki ni kubwa mno, tunaweza kuokoa mabilioni yanayotumika kuziagiza toka nje ya nchi na kutatuabtatizo la ajira kwa kuwapa vijana mazingira mazuri ya kufanya ‘start ups’, tozo ni kikwazo kikubwa kwa wajasiriamiali. Tuone kama tuna la kujifunza kwa huyu mtoto...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni lini SIDO wataunda mashine hii ya kuzalisha ‘Sprocket’ za pikipiki?

    Soko la ‘Sprocket’ za pikipiki ni kubwa sana Tanzania, na uzalishaji wake ni rahisi na unawezekanika kwa teknolojia rahisi sana. Je, ni lini SIDO wataanza kuunda na kusambaza mashine na ujuzi huu kwa maendeleo ya taifa letu? Sehemu ya tozo itumike kwenye R & D badala ya kujenga Ikulu hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…