picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha inaogopesha: Aanguka na kukalia nondo iliyoinga mwilini

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 64 raia wa China alidungwa na nondo ya chuma baada ya kuanguka juu yake kutoka urefu wa takribani futi sita. Wenzake kazini walisema aliteleza alipokuwa akifanya kazi juu ya jukwaa. Mwanaume huyo kutoka Chenzhou, katika Mkoa wa Hunan katikati mwa China...
  2. JamiiForums Tanzania Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi

    Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi.
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: ACT Wazalendo, ilikutana na Tume ya Jaji Chande na wakaomba isipigwe picha?

    Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu...
  4. JamiiForums Tanzania SERIKALI IMEAJIRI LOBBY GROUP YA MAREKANI KUREKEBISHA PICHA – HUKU SIYO KUIUZA NCHI?

    Hili jambo la FARA hili mmh ni kama Serikali imeamua kununua "kipaza sauti" kule Washington D.C ili sauti yake isikike tofauti na inavyosikika sasa hivi.😂 1. Kwanini Marekani na kwanini Tom Graves? Washington D.C. inatawaliwa na kitu kinaitwa "Lobbying Engine." Siasa za Marekani, hususan chini...
  5. JamiiForums Tanzania Tripod + selfie stick yenye taa (LED light) inauzwa

    📸 Piga picha na kurekodi video kitaalamu kwa simu yako 💡 Ina taa kali (LED) – bora kwa TikTok, YouTube, Live, Zoom & selfies 📱 Inashika simu zote (Android & iPhone) 🔄 Inazunguka – wima na mlalo 🦵 Miguu imara (tripod) + selfie stick inayorefuka 🎒 Nyepesi, rahisi kubeba ✅ Inafaa kwa: ✔️ Content...
  6. JamiiForums Tanzania Pata picha eti hawa ndo wabeba maono wa Serikali ya Tanzania

    GT Sina ugomvi na watu wa Pwani lakini ni watu wavivu sana. Na serikali ikijaza watu wa aina kwenye uongozi usitegemee chochote cha maana kitafanyika.. Mfano. 1. Mchengerwa 2. RITZ 3..Awesu 4.Jafo 5. Ulega Etc Nchi hii ili iweze kusonga mbele upstairs wanatakiwa wawepo. 1. Wachaga 2. Wahaya...
  7. JamiiForums Tanzania Picha ya uyoga unaosadikika kuwa na sumu

  8. M

    JamiiForums Tanzania Sipatii picha waraka wa TEC wa pasaka utakuwaje

    Ndugu zangu kutokana na kilichotokea october 29, siupatii picha waraka wakina padri kitima utakuaje aisee
  9. JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii si ya Tanzania ni kutoka nchini Nepal

    Wakuu nimekutana na hii picha yenye mandhari ya kuvutia sana. Navutiwa sana kuishi maeneo yenye utulivu na mvuto kama huu. WanaJamiiCheck naomba mnisaidie kujua hapa ni wapi?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Samia na Makonda wametoka mbali! Una maoni gani?

    Nini maoni yako?
  11. JamiiForums Tanzania Maandamano Iran katika picha!!

    Wananchi wa Iran wanaingia wiki ya pili katika maandamano yao ya kutaka kuung'oa utawala wa kinabavu wa Ayatollah Ali Khamanei!!!
  12. JamiiForums Tanzania Nimemuonea huruma sana Mchina aliyeenguliwa wakati wa kupiga picha

    Ilipofika muda wa kupiga picha kuna wengine walikuwa kando wakawa wanajisogeza kwenda kujumuika kwenye picha akiwemo yule mshereheshaji wa mradi (sina hakika kuna aliyekuwa akiwaita au laa). Wote hao wamekuja kwa kuchelewa kidogo lakini hawajakutana na kizuizi. Ajabu ni kwamba kuna watu kama...
  13. JamiiForums Tanzania AI na ushahidi wa picha

    Kupitia AI, Picha zinaelekea kutokua ushahidi wa kutosha mahakamani hata kutoka kwa mtu mwingine tu. Kipindi cha nyuma ukisema ulikuwepo sehemu fulani au ulishuhudia tukio fulani, halafu ukaonyesha na picha bhasi utaaminika mia kwa mia. Ila kwasasa, picha ambazo zingeweza kutumika kama...
  14. JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Picha na Video zilizochapishwa mtandaoni kumuhusu Rais Maduro baada ya kukamatwa na Marekani zinapotosha uhalisia

    Baada ya Januar 03, 2026 Rais wa Marekani Donal Trump kutangaza kuwa vikosi vya jeshi lake vimemkamata Rais wa Venezuela Nicolous Maduro kumeibuka picha na video nyingi kuuhusu Rais huyo akiwa anakamatwa ama akiwa katika mikono ya wanajeshi wa Marekani.
  15. JamiiForums Tanzania Responded Prof. Mkenda: Wanaopiga picha Shule zenye matatizo ya Miundombinu hawana nia mbaya, Watendaji wawajibike

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa wanaopiga picha shule zenye changamoto ya Miundombinu na kuzirusha kwenye Mitandao ya Kijamii hawana nia mbaya hata kama nia yao ni mbaya ila anachukulia hiyo ni njia ya Utoaji wa taarifa ili ifanyiwe Prof. Mkenda ameyasema...
  16. JamiiForums Tanzania Nadhani hakuna mtu anayetaka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji

    Katika Hali ya kawaida hakuna mtu mwenye akili timamu atataka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji ukiona hivyo ujue wewe ni msafi na muuwaji anataka kujisafisha kupitia wewe.
  17. JamiiForums Tanzania Wasanii Shilole na Wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu

    Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu. Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
  18. JamiiForums Tanzania JF MIND GAMES: Hii ni picha ya nini.?

    Tafadhari usitumie AI, chekecha bongo
  19. JamiiForums Tanzania Trump aonesha picha ya Maduro akiwa chini ya ulinzi

  20. JamiiForums Tanzania Azam Sports Wamefuta Picha zote za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu

    Azam Sports Wamefuata Picha za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu. Mara ya kwanza walipost hii, kabla ya kufuta picha zote zinazomuonesha Tundu Lissu Katika Mchezo wa ngumi uliokiwa Ukirushwa Azam TV, Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo, alivaa t-shirt yenye picha ya Mwenyekiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…