picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Sehemu za starehe kupiga picha ovyo nusu iharibu mahusiano yangu.

    Naam , it is a good day to stay alive. Kama kichwa cha habari kisemavyo, Kuna katabia fulani hivi page za insta esp clubs na big bars wanapiga picha na video za wateja bila hata kumshirikisha mteja . So by the time it was christmas 2023 my crush alitaka kwenda outing na mm na waubani...
  2. Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

    Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye. Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...
  3. Hili linaweza kuwa suluhisho la kulea watoto wa kubambikiziwa?

    Habari za uzima wakuu? Nikiwa naelekea katika harakati jumatatu njema kabisa, nikakutana na hii kitu hapa. Hii ni HOME DNA TESTS KIT, kama ambavyo wanawake wanaweza kujipima mimba na wanaume wameletewa hii. Kwani Nchini Tanzania zimefika hizi au Ndio kupima kwa kila mtu mmoja mmoja na...
  4. Kama wewe ni maskini ni vyema utambue mapema kuwa rasilimali za nchi hii hazikuhusu, ndio maana Sheria kali za kulinda rasilimali ziko kwaajili yako

    Hello! Kama wewe maskini please, please, please usizisogelee hizi rasilimali za taifa . Ni hatari zaidi ya kutupia kitimoto kwenye kusanyiko la Eid. Utauliwa na vijana wa TAWA, TANAPA, au TFS na ukinusurika nao utaozea jela. Ni ushauri tu.
  5. Picha: Daraja la Bilioni 7.2 Kibiti

    Kwa kweli hata sijui nianzie wapi kuongea, au basi.. ===== Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Taznania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Daraja la Mbuchi linalounganisha kata hizo ambao umegharimu shilingi bilioni 72.
  6. Aina ya silaha walizonazo Houthi zinaogopesha na majaribio ya kuzitumia inatoa picha ya azimio lao la vita

    Baada ya jaribio la wiki iliyopita kuteka meli na kuipeleka kwenye maeneo yao kushindwa na kusababisha vifo vya askari 10 wa Houth kumewakasirisha sana wanamgambo hao na serikali ya Iran. Iran imeamua kuingiza meli yake ya kivita katikati ya meli nyengine za kivita zinazojidai kuilinda bahari...
  7. Msaada kutengeneza picha mbao.

    Wakuu habari.... nimekuja kwenu kuomba msaada kwa mwenye ufahamu na ujuzi wa kutengeneza picha mbao anipe tips, potential info na utaalam juu ya hii issue
  8. DOKEZO Polisi tunaomba msaada. Tunahisi dada yetu ameuawa na mume wake ambaye ni Polisi, inasikitisha sana!

    Kutoka kwenye mtandao wa X, Akaunti ya Lisa Ildephonce (@LIldephoce) “Tarehe 23/1/2023 Tulipata msiba wa dada angu alifariki katika mazingira ya kutatanisha aliolewa na kijana anaitwa Josephat Aron ambaye ni Police pale Ufundi (Kilwa Road) cheo Kopro Kifo chake kilitupa mashaka kutokana na...
  9. Tukio gani la Kimchezo hutalisahau mwaka 2023? Tupia picha tulione

    Tukiwa tunaelekea kumaliza Mwaka wa 2023 nawakaribisha wanamichezo wote wa Jukwaa hili tukaribie hapa. Naomba Tuweke Matukio ya Kimchezo katika picha ambayo yametokea kwa Mwaka huu 2023 ambapo tukio hilo hutalisahau. Tukio linaweza kuwa la Football, Boxing, Tennis, Basketball, nk, we tupia tu...
  10. M

    Picha: Wananchi wa kijijini wakisherehekea sikukuu kwa furaha kuliko wa Dar

  11. K

    Kwanini seriksli inakataza kupiga picha yeyote pale Kigongongo ferry/ Magufuli bridge? Wanaficha nini?

    Wadau nimeshangaa kuona watu wanaopiga picha linalojengwa pale kigongo busisi wanakamata na kunyanyaswa sana. Je shida nini? Kwanini tulipe Kodi lakini kupiga picha ya kitu kinachojengwa na Kodi zetu tunakataliwa? Wanafjchanini? Au kwa kuwa wanajenga kinyume na quality ya mwanzo ili wapige...
  12. Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

    Juzi niliandika Uzi hapa nikisema Mtoto wa kike anakuwaga mzuri sana kwa baba akiwa bado hajavunga ungo ila akisha vunja ungo anakuwa an alien to her daddy. Watoto wadogo waliniponda lakini watu wazima walikubaliana na nilicho kiandika. Hazijapita hata siku mbili tumeyaona ya mtoto wa Madee...
  13. Picha: IDF wameua makamanda wanne wa HAMAS, wamesalia watatu ambao wameamrishwa wajisalimishe

    Hawa hapa wameshawahishwa kwa mabikira.... The IDF has successfully targeted four out of seven senior Hamas brigade commanders, the Israeli military's Arabic spokesperson Avichay Adraee wrote Thursday on X. "The IDF continued to dismantle Hamas's Gaza brigades," Adraee wrote...
  14. Picha: Hivi mpaka sasa bado kuna wanandoa ambao hutenganisha chumba chao kuwa vyumba viwili kwa kutumia mashuka makubwa?

    Hizi mambo mara ya mwisho kuziona ilikuwa ni 2008. Nimeshtuka sana pale nilipocheki chumba cha mfanyakazi mwenzangu Ona sasa!
  15. Paul Makonda, watanzania wanyonge wanahitaji ziara zako. Maana zinampatia Rais Samia picha kamili ya matatizo yanayowasibu.

    Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili. Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo. Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe? Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero. Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
  16. Paul Makonda, watanzania wanyonge wanahitaji ziara zako. Maana zinampatia Rais Samia picha kamili ya matatizo yanayowasibu.

    Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili. Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo. Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe? Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero. Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
  17. Wanooeneza Picha na Habari za uongo kuhusu Kijana Joshua aliyeuawa na Hamas wanafaidika Nini?

    Nimeshangaaa kuona baadhi ya watu wanashea habari na picha za uongo kuwa kijana molel alijiunga na jeshi la isael, watu Hawa wasio na akili wamekuwa wakituma picha zilizoeditiwa kiasi Cha Mimi kuzifanyia uchunguzi nikabaini Ni upotoshaji, lakini nikajiuliza wanapata faida gani kufanya hivyo? Au...
  18. Picha: Hivi hili suala kuwahusu walimu lina ukweli ndani yake?

    Endapo Mpwayungu Village atapita hapa. Atasononeka sana, aisee!
  19. N

    Wanawake wajawazito wanajifungulia sakafuni Hospitali ya Buzurugwa

    Nimeona comment nyingi wanawake wanasema wanaporwa simu wanapoenda labor huko hospitali za serikali. Wanawapora simu sababu hii, hawataki watanzania waone kuwa in 2023 bado wanawake wanazalia sakafuni.. Hii ni hospitali ya Buzurugwa. Wamama wanapeana zamu kuzaa sakafuni. Na hii ndo situation...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…