picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hivi huyu kweli siyo Boss wa Hamas Ismail Haniyeh kapiga picha karibu na Mwijaku alivyoenda kuhiji?

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Hii picha ya Mwijaku aliyoipiga akiwa Mecca kwenye ibada ya Hija inamuenesha karibu yake akiwa na mtu anafanana kabisa na Boss wa kundi la kigaidi Hamas Ismail Haniyeh upande wa kulia. Mwijaku ni msomi mhamasishaji na mchekeshaji maarufu sana nchini.
  2. L

    Tazama picha hii Ya Luhaga Mpina kwa umakini halafu uniambie muandishi alitaka kutoa ujumbe gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii. Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
  3. Picha: Ukishakuwa Rais hata kuna mambo ya Kidini yanapindishwa

    Namwona ndugu rais akiwa ibadani na huku wadau mbalimbali wakiendelea na swala. Leo ni siku ya kuchinja.
  4. Maktaba Imepokea Picha Kutoka Mbali Katika Historia ya TANU Moshi Mjini

    Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau. Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
  5. Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  6. Picha: Kitanda cha Chawa

    Anaupiga mwingi, kazi ziendeleeee!
  7. R

    Rais Samia kemea haya ya matumizi mabaya ya fedha za umma angalau kidogo

    Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
  8. Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

    Wakuu habari Kichwa cha habar cha husika
  9. TECH: Kuna mtu niliwahi kumtumia picha ya ku-view once cha ajabu akanifowardia hiyo picha

    Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung. Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani. Kuna jamaa angu anatumia samsung nilimtumia picha ya view once yy hakuweza kuis screenshot wala kuihifadhi! hapo...
  10. Picha: Miradi ya maana Dubai

    Usijiulize kwanini wa bongo wengi sana kwa sasa nchi yao ya future kwenye biashara ni Dubai city Ona midude hiyo.
  11. Picha ya Siku: Nature Vs Artificial

  12. T

    PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

    Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia. Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa, Hapa chini nimeambatanisha dawa zote nilizopewa nazotumia kutoka kwa madaktari lakini hakuna ahueni Post in thread 'Fangasi za pumbu...
  13. U

    Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko?

    Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko? Wadau hamjamboni nyote? Leo tena nimekuja na nukuu ya kiswahili na kiingereza ya Nabii mke wa Kanisa la Waadventista Wasabato Elen G. White inayoashiria kuwa "kupiga picha ni ibada...
  14. Z

    Katazo la upigaji picha

    Mwenendo wa taasisi za serikali na hata sekta binafsi zinavyokataza wananchi kupiga picha ama kuchukua video maeneo yenye kasoro ama kurekodi utendaji wa watumishi wa umma usio endana na maadili , lengo hasa la katazo hili huwa nini? Unaweza ukaenda kwa mfano, muhimbili utakutana kabisa na...
  15. Picha zimefutika kwenye locked folder la google photos. Nawezaje kuzipata?

    Habari wakuu, nilisave picha zangu kwenye locked folder la google photo, cha ajabu lile folder limefutika na halina picha hata moja. Je, kuna uwezekano wa kuzipata?
  16. Picha: Unajua mimi ni nani?

    "Kuwa Makini kijana nitakupotezaa"
  17. Picha ya baadhi ya wanyama wakiwa tumboni kwa mama zao

    Kuna tembo, fisi, farasi, dolphin, mbwa
  18. Picha Kali

    Hii ni miongoni mwa picha ninazo zipenda sana kwenye simu yangu.
  19. U

    Msemaji Yanga kazidisha utani. Hebu tazama picha na maelezo

    Wadau hamjamboni nyote? Msemaji yanga kazidisha utani Soma alichoandika ๐Ÿ.๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ข๐ ๐ฐ๐š ๐Ÿ“ ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š. "๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ข๐ง๐š๐ฉ๐ข๐ ๐š ๐Ÿ“ ๐ญ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฆ๐›๐จ๐ฏ๐ฎ" ๐Ÿ.๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ข๐ ๐ฐ๐š ๐ง๐ฃ๐ž & ๐ง๐๐š๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š "๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐š ๐ฆ๐ž๐œ๐ก๐ข" ๐Ÿ‘. ๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐Ÿ๐ข๐ค๐š ๐ซ๐จ๐›๐จ ๐Ÿ๐š๐ข๐ง๐š๐ฅ๐ข ๐‚๐€๐… ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š "๐Š๐ฎ๐ฅ๐ž ๐‚๐€๐… ๐ก๐š๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐›๐ž๐›๐š๐ง๐š" ๐Ÿ’. ๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ž๐ฐ๐š ๐ฉ๐ž๐ง๐š๐ญ๐ข ๐Ÿ–...
  20. Picha: Wafuatao ni samaki tunaowapata sana hasa ukanda huu wa Lindi beach

    Mnaoishi bara Poleni sio kidogo endeleeni kutunyima protein ya nyamaPori, senene na kumbikumbi. Tunaokaa pwani ya Bahari Hindi tunaendelea kufaidi sea food. Kibua-huyu najua maarufu sana hasa Kwa dar Changu-huyu Lindi na Mtwara Kwa wingi Lupapa Chewa - huyu wa supu kabisa moja ya samaki mwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ