Picha Kali

Meni alonso

New Member
Jun 8, 2019
2
1
Hii ni miongoni mwa picha ninazo zipenda sana kwenye simu yangu.

PXL_20240527_090938486.jpg
 
Vp kiongozi iv kampuni gani mzuri naweza nikanunua machine hii nataka nianzishe biashara ya kukata miti na mbao
Kama unataka machine kazikazi ya kupigia kazi muda mrefu,basi tafuta katika majina haya mawili,husqvarna au stihl.Hiyo unayoiona hapo ni stihl.
 
Back
Top Bottom