picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tafakari na picha

    Hata sisi mazingira yale hatukuyaelewa Britanicca
  2. JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha hii ni ya Betty Kaunda, mke wa Rais wa kwanza wa Zambia

    Wakuu ==== 'Picha imepigwa 1995 pale Zambia Mama Betty Kaunda alijua kupendeza kuliko uyo kibungo Wako' mwenye ukweli wa hizi taarifa naomba msaada.
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

    Wakuu Hivi mmepita huko X hivi karibuni Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi. Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na pia hii weekend yote hana any official meeting au schedule, kitu ambacho sio cha kawaida Lakini...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii ni Picha ya Sadio Mané akiwa na mkewe na watoto mapacha

    Wakuu wa JamiiCheck naomba msaada wa kuthibitisha picha hii maana imesambaa sana mtandaoni, nashindwa kutofautisha kama ni halisi au AI generated.
  5. JamiiForums Tanzania KWELI Kati ya picha hizi, moja ni halisi na nyingine imehaririwa kwa Akili Unde

    Mdau shiriki kuthibitisha kati ya picha hizi mbili, ipi ni halisi? Bainisha tofauti tano zilizopo katika picha hizi.
  6. JamiiForums Tanzania Picha ya Marafiki wa Lowassa

    Edward Lowassa alikuwa ni mwanasiasa ambaye alikuwa na marafiki kutoka vyama vyote vya siasa. Lowassa alikuwa na marafiki ndani ya CCM na nje ya CCM. Lowassa aliwafanya mahasimu wa kisiasa kukaa pamoja. Jee nje ya urafiki wao na Lowassa , Freeman Mbowe, Zitto Kabwe,Hussein Bashe na Rostam...
  7. JamiiForums Tanzania Hii picha za Hayati Magufuli msibani kwa Kijazi ilizungumza mengi sana

    Jua lilikuwa limefichwa na mawingu mazito siku ile ya mazishi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. John Kijazi. Uwanja wa mazishi ulikuwa kimya, ukitawaliwa na sauti za ndege wachache waliokuwa wakiranda angani, kana kwamba nao walihisi huzuni ya siku hiyo. Viongozi na wananchi walikusanyika, wakivalia...
  8. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hii Ndio Maana Halisi ya Usishindane na aliyebarikiwa na kupewa Kibali na Mungu

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza ukashindana na yeyote yule hapa Duniani katika jambo lolote lile. lakini kamwe huwezi kushindana na kumshinda Mtu aliyepewa kibali na Mungu katika Jambo fulani. Huwezi kushindana na Mbarikiwa wa Mungu.Huwezi kushindana na kusudi la Mungu. Huwezi kuuzuia wakati wa...
  9. JamiiForums Tanzania PICHA: Sasa nimeelewa kwanini CHADEMA walikataa Kata Kata.

    Hata kama ungekuwa ni wewe lazima ungefanya walichofanya CHADEMA.
  10. JamiiForums Tanzania Habari kwa Picha

    Mimi sio muumini wa Siasa lakini izi picha za mama Abduli zinafikirisha sana
  11. JamiiForums Tanzania Eti hii ishu Mwanaume kuweka picha yake kwenye screen saver Imeakaaje

    Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi? Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mbona picha ya kwanza hakuna friendly/ cordial environment kati yao? Ya pili/tatu zipo more friendly/cordial kuliko ya kwanza

    Leo nimefika Ikulu ya Chamwino kuwasilisha majumuisho ya wadau mbalimbali, ambapo tulipata nafasi adhimu ya kuzungumza na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwasikisha kwa Mukhtasari kuhusu masuala makuu ya kitaifa yanayohusu: 1. Utawala Bora na Demokrasia – tukisisitiza...
  13. JamiiForums Tanzania Rai yangu ni picha za majeruhi hoi na kukatwa viungo kutokana na ajali za boda zisambazwe kwa hawa madereva boda boda labda wanaweza kubadirika.

    Yani boda boda na kujitoa ufahamu..:👇🏻
  14. JamiiForums Tanzania Picha rasmi ya kampeni ya Mama Samia hii hapa, lakini kwa nini mtu wa makeup umuwekee miwanja mingi hivi?

    Makeup imezidi mpaka mama amepoteza uhalisia wake. Siyo sahihi kwa mgombea Urais kujibandika ma makeup mengi hivi mpaka apoteze uhalisia.
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
  16. JamiiForums Tanzania PICHA: Watoto wa Arnold Wamelelewa tofauti, mmoja kalelewa na baba yake mwingine na mama yake. Ona tofauti hapa

    Uzi tayari. Hitimisho: Single maza ndio chanzo cha kupoteza masculinity ya watoto wa kiume.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Haya ndio magari ya washua wa miaka ya 1970,80,na mwanzoni mwa 90!!!

    Hizi gari zilikuwa sio mchezo jamani!! Babako akiwa na hiyo daaa anajulika mkoa mzima!!! " Yule Mzee mwenye 404 nyeusi" namjuaa!!!!?kitambo mnooo
  18. Y

    JamiiForums Tanzania RC Mhe. Mwanamvua Mrindoko: Hii ndio Picha ya Rais Samia Mkoa wa Katavi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema kuwa Mkoa umefanikiwa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara kuu na za ndani (km 526.85), madaraja mawili ya Kavuu na Msadya, shule mpya 129, shule maalumu mbili, vyuo vya VETA viwili, miradi ya maji 28...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aiwasha KATAVI

    Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema Mkoa umeunganishwa na Gridi ya Taifa ya Umeme na umewashwa umeme katika Wilaya za Mlele, Nsimbo, na Tanganyika, mradi ukiwa na gharama ya Shilingi 116 Bilioni, ukiwahusisha ujenzi wa njia ya 132KV kutoka Tabora hadi Katavi...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Picha Bora Kuelekea Oktoba 29

    Hawa vijana ni hazina kubwa Kwa Taifa letu, Tuwalinde Kwa gharama yoyote Kwa faida ya Leo na baadae.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…