picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Kituo cha Hope Chanel huyu mpiga picha wenu katika makambi ya Kirumba anakosea sana

    Nitasema matukio machache yasiyo ya kiweledi ninayoyashuhudia kwenye runinga mubashara. Jumatatu alikuza picha ya wadada walioonekana wamesuka dreads na aliwekeza muda mwingi kuwamulika. Kwa mujibu wa mafundisho ya kisabato,hawakubali wanawake kusuka nywele. Alifanya hivyo ili iweje...
  2. C

    Hope chanell ya wasabato,mpiga picha anayerusha picha mubashara katika makambi ya Kirumba ni muhuni

    Kama wewe ndiye mpiga picha au ndugu yake,mtaniwia radhi kwa lugha kali jinsi hii. Nimeona ukichagua picha za watu unaodhani hawaendani na mafundisho ya wasabato unazikuza ili watu waone vizuri. Ninafuatilia tangu Jana na nimeona kuna baadhi ya wadada wakiwa wamesuka dreads za maana ukiwasogeza...
  3. M

    Angalizo kwa wana JF, usiweke video wala picha yoyote ya wanaomkataa mama waziwazi ili kuwalinda, ila kiufupi, watanzania hawamtaki

    Jamani, Kunakupotezwa, si unajua tena ugali wa mtu, hata kama unga kaiiba, mboga kaiba, ila ukimwaga chakula chake, hasira huja zenyewe Tusiweke video za wanaomkataa hadharani kipenzi cha wanasisiemu wenye nyadhifa za uteuzi! Nazungumza nyadhifa za uteuzi kwa sababu, hao ndiyo watamlinda...
  4. Ushiriki wa Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo: Je, Inatoa Picha Gani ya Kisiasa?

    Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa...
  5. Hii ndio picha Yako rasmi, endelea kurinha, tunakucheka kwa dharau

  6. Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi. "Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
  7. Mpiga picha nzuri anahitajika

    Habari, nahitaji mpiga picha mzuri aje ofisini kwetu kuwapiga picha staff wakiwa kwenye uniform .Hizo picha zinahitajika na ofisi zitumike kwenye marketing. Idadi ya picha ni nne tu Tupo mikocheni 0679464974
  8. Katuni hii ya CCM inakupa picha gani?

  9. Katuni hii ya Samia na Polepole inakupa picha gani ?

  10. T

    Ebu fikiria hizo kelele Zingezo pigwa kama Huyo Muafrika Angeanza chini kwenye picha

    Na bado tungepiga kelele kwanini wamuwe kichwani mdomoni na wanajua kabisa huyo ni Mamba🤣😁
  11. Tetesi: Pamoja na Mchungaji Msigwa kubeba picha ya Samia na kuukana Msalaba bado kakatwa

    Tunajua kwamba Mch Msigwa alichukua kozi ya week tatu kusomea uchungaji. Tunafahamu tena pasipo shaka elimu ya Msigwa juu ya theology ni ndogo sana na ikitokea akaenda katika makanisa ya kueleweka labda atapewa nafasi ya kufundisha watoto wadogo kuimba na kucheza. Kwa hakika Mch Msigwa hawezi...
  12. Picha: Tani Boy kaharibu

    Kaambiwa weka gari pale kaweka mtaloni😂
  13. Affordable Servant Quota Design Ya Vyumba 3. PICHA ZA SITE DOWN

    Sio kila mtu huanza na nyumba kubwa — wengine hujenga ndoto kidogo kidogo. Hii servant quota design ni ndogo, affordable na imebeba kila kitu unahitaji: Master bedroom (self-contained) Chumba cha pili (self) Chumba cha tatu kinatumia public toilet Sebule ya kustarehe, dining, na jiko Hii ni...
  14. Picha: Iran yaonyesha namna inaweza kutumia nyuklia kuifuta Israel, hivyo inapaswa kupigwa kila inapojaribu kupata nyuklia

    Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi. Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
  15. PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

    Asalaam alykhum. Tumsifu Kristu. Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa. Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa Zanzibar, nikiwa napelekwa kupumzika kule Pwani mchangani kufika eneo moja la jeshi karibu na chuo cha...
  16. Mtoto wa nyoka ni nyoka. Tazama picha.

    Watoto walimsalimia baba akiwa gerezani. Baba Alivyotoka, akajikuta anarudi tena gerezani ila mara hii kumsalimia mwanae.
  17. Hii picha imenifikirisha sana

    Huyu wa kushoto amekaribishwa na huyu wa kulia katika nchi yake bila shurti ya maelekezo ya kufuata utamaduni wake na itikadi yake na baada ya muda atafanya maandamano kushinikiza tamaduni yake ifatwe ingawa yupo ugenini na kwa bahati yake nzuri atasikilizwa. ILA, Huyu wa kulia akienda kwenye...
  18. Nimeona hii picha nikakumbuka wale jamaa wa OYA

    Aisee kausha damu sio cha mtoto🤣🤣
  19. Mkeo kumtumia kaka yake picha ya damu ya blidi,je ni sahihi?

    Mkeo ana tatizo la kutokwa damu muda mrefu sana,Siku ya siku ya anakwambia ameamua kumtumia picha ya damu kakaake ili ajue madhila anayopitia, Huamini unaamua kuchukua simu yake ili ujionee mwenyewe kweli unakutana na picha sambamba na ujumbe unaosema "Hii ndio hali ninayopitia dada yako kwa...
  20. Simba SC mlituambia kuwa Elie Mpanzu ana Miaka 22 sasa ila leo katupia Picha yake akiwa na Mwanae mkubwa wa Kiume na Wajukuu Wawili

    Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika Propaganda (Kudanganya) Mashabiki. Mlisema kuwa Mchezaji Elie Mpanzu ndiyo Kwanza sijui ana Umri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…