petroli

Anonima Petroli Italiana or simply api (in lower case) is a large oil company in Italy. It is a provider of crude oil for the petrochemical industry and a distributor of petroleum products. It is the most important subsidiary of the holding company Gruppo api (api Group), which also includes api Raffineria di Ancona SpA, api Energia SpA, Festival SpA, apioil Ltd, api GmbH and api Services Ltd. It is headquartered in Rome, Italy.

View More On Wikipedia.org
  1. Bana Balume

    Mnaorusha cheche kwenye petroli ikiwaka tusikimbiane

    Kuna watu wengi wanaona sifa kubeza na kutoa dhihaka kwa kuwa kilichotakiwa kutokea 9 Dec haikuwa kama ilivyotarajiwa lakini hawajui kuwa wanachofanya ni kurusha cheche kwenye ghala la petroli na ikitokea imewaka this time itakuwa mbaya zaidi maana watu wametulia lakini eleweni bado wana hasira...
  2. Keynez

    Mmejiandaaje kwa nyumba nyingi zilizohifadhi madumu ya petroli kutokana na hofu ya maandamani D9?

    Kuelekea D9, siyo tu watu wameamua kuhifadhi vyakula majumbani mwao, ila pia wengi wamehifadhi pia madumu ya petrol kwa ajili ya bodaboda, bajaji na magari yao. Natumai mmejiandaa yale yaliyotokea London mwaka 1666 yasijekutokea Dar es Salaam.
  3. Clean Energies Group

    Mashine ya kubadilisha Hewa ya Kabonidayoksaidi Kuwa Petroli Yagunduliwa

    Teknolojia mpya imeibuka duniani ambayo inabadilisha hewa ya kabonidayoksaidi (CO₂) kuwa mafuta kama petroli na dizeli. Hili ni jambo la kihistoria kwa sababu linageuza gesi chafu inayoongeza ongezeko la joto duniani kuwa bidhaa yenye thamani inayotumika katika sekta ya usafirishaji na viwanda...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Mwanza: Watu 1,000 wanusurika kifo baada ya stoo ya kuhifadhia mafuta ya petroli kulipuka

    Watu 1,000 wamenusurika kifo baada ya stoo ya kuhifadhia mafuta ya petroli kulipuka na kuteketea kwa moto katika Kisiwa cha Benzi, Kata ya Kayenze, wilayani Ilemela mkoani Mwanza. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza, ACF Elisa Mugisha, amesema tukio hilo limetokea...
  5. mwanamwana

    Bei ya Petroli yashuka bei

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za petroli zitakazotumika hapa nchini kuanzia Jumatano Agosti 6, 2025, zikionesha kupungua kwa bei ya petroli kwa shilingi 34 kwa mafuta yaliyopokelewa bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara mtawalia...
  6. Papillon 1906

    Aliebuni mashine ya kuchakata plastiki kuwa petroli atoweka

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Julian Brown aka Nature jab mzaliwa wa Atlanta adai kugundua mashine inayoweza kubadilisha taka za plastiki kuwa petroli na diesel safi hajaonekana mtandaoni zaidi ya wiki tatu. Chapisho lake la mwisho katika mtandao alisema yupo kwenye hatari. Chanzo...
  7. Mganguzi

    Njiti ya kiberiti imetupwa kwenye petroli. Sasa ni Bishop Gwajima for president! Nenda baba, nenda

    Huenda ni mpango wa Mungu mtawala anapoanza kuwagawa watu mapema na kutoa vitisho, huenda ni Mungu kamtumia Gwajima kuyasema Yale ili maji na mafuta yajitenge!! Sasa gwajima asiingie ubaridi kabisa kabisa !! Kwa chama chochote ni gwajima pekee anaeweza kuleta balaa la mpambano wa kweli kabisa...
  8. PendoLyimo

    Dkt. Biteko alitaka shirika la maendeleo ya petroli kuongeza kasi ya uendelezaji vitalu vya mafuta na gesi asilia

    📌 Asema lengo ni kuendelea kuwa na uhakika wa usalama wa nishati nchini 📌 Azindua Mkakati wa Kwanza wa Muda mrefu wa Shirika (2025-2050) 📌 Asisitiza Jamii zinazozunguka miradi ya Mafuta na Gesi Asilia kutopuuzwa 📌 Apongeza Bodi na Menejimenti ya TPDC kwa kuipambanua Tanzania kama kitovu cha...
  9. A

    Nini sababu ya kuadimika kwa Petroli mkoani Kilimnjaro?

    Lao jioni nimepita kwenye vituo vinne vya mafuta Ili kuongeza petroli kwenye gari langu bila mafanikio! Kila kituo nilichopita wamedai hakuna mafuta. Je inawezekana kuna uhaba wa mafuta ya magari nchini au ni ujanja ujanja wa wenye vituo kuficha mafuta wakisubiri bei kupanda?
  10. Just Pray

    Ewura yatangaza bei za mafuta mwezi Aprili, Dar Petroli yapanda hadi 3,037

    Bei ya mafuta imeendelea kuongezeka kwa miezi miwili mfululizo huku kwa watumiaji wa petroli wakilazimika kuzama zaidi mfukoni. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatano Aprili 2, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura). Bei ya mafuta ya petroIi Aprili hii...
  11. Just Pray

    Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli yaongeza jitihada kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi na sekta ya elimu nchini

    Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeendelea kutekeleza programu mbalimbali zinazolenga kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi asilia na sekta ya elimu nchini. Miongoni mwa programu hizo ni pamoja na kutoa fursa kwa wadau wa sekta ya elimu kutembelea miundombinu ya uzalishaji...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Rais Dr. Samia, Tanzania Inaweza Kuzalisha Petroli, Dizeli, Jet Fuel, Methanol, Amonia na Urea Kutoka Kwenye Gesi – Tutauza Haraka Sana

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima, taadhima, na unyenyekevu mkubwa, ninakutakia afya njema, hekima, na mafanikio katika kuiongoza nchi yetu kuelekea maendeleo endelevu. Tunathamini sana juhudi zako za kuboresha sekta ya nishati, viwanda, na...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Dk. Hussein Mwinyi: Nchi za EAC anzisheni Mifuko ya Maendeleo ya Petroli

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Dk. Hussein Mwinyi, amezihamasisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Mifuko ya Maendeleo ya Petroli, (Petroleum Fund), ambayo itasaidia katika utafiti, ubunifu, mafunzo na uendelezaji wa Sekta ya Mafuta kwa ujumla. Dk. Mwinyi...
  14. Just Pray

    Geita: Mtoto achomwa na petroli kwa sababu ya kuiba Tsh. 800/=

    Mtoto anayesoma Darasa la Tatu katika shule ya Msingi Kasota (9) Mkazi wa kijiji cha kasota Kata ya Bugulula Halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani humo amejeruhiwa kwa kumwagiwa mafuta ya Petrol na kuwashwa moto mwilini mwake na Mama yake mzazi kwa kosa la kuiba Pesa. Akizungumzia tukio hilo...
  15. Just Pray

    Mbeya: Amchoma mtoto kwa petroli na kumsababishia majeraha kisa Elfu kumi

    Jeshi la polisi mkoani Mbeya linamshikilia Juma Afyusisye (38) dereva Bodaboda mkazi wa iwambi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili mwanafunzi wa kiume wa darasa la pili wa shule ya msingi Iwambi mkazi wa Iwambi Jijini Mbeya kwa kumchoma moto Taarifa iliyotolewa jana...
  16. Mtoa Taarifa

    Mwaka 2020 Tsh. 10,000 ilinunua Petroli lita 5.3, leo Oktoba unaondoka na Lita 3 tu za Mafuta kituoni

    Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini kwa kipindi cha Miaka 10 (2014-2024 zinaonesha miaka ya 2015, 2016, 2017 na 2020 pekee ndio ilishuhudia Bei za chini za Mafuta nchini Tanzania kulinganisha na miaka mingine Kwa mujibu wa takimu za EWURA, kwa kipindi cha miaka mitatu (2022, 2023, 2024) bei ya...
  17. Waufukweni

    Bei ya Petroli, Dizeli Oktoba sasa kitonga, sababu za kushuka zatajwa

    Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Oktoba 2024 imeshuka nchini, ikilinganishwa na Septemba, huku sababu kadhaa zikitajwa, ikiwamo kushuka kwa gharama za soko la Uarabuni. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei za mafuta kuanzia leo...
  18. Waufukweni

    TANZIA Mwanariadha Rebecca Cheptegei aliyechomwa moto na mpenzi wake kutoka Kenya afariki dunia

    Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto nyumbani kwake nchini Kenya. Katika tukio hilo la kikatili, Cheptegei aliungua...
  19. Jaji Mfawidhi

    Kufika 2025 petroli lita itakuwa 7,000/=?

    Tusitegemee mafuta kushuka, bunge la bajeti ni bunge la kuongeza kodi, Tutegemee kuongezeka kwa kodi , huku bei za mafuta kupanda, sasa mwezi huu wa saba, na mwakani mwezi wa saba mafuta yatafika 7000. Stay tune.
  20. Stephano Mgendanyi

    Serikali Inafanya Tathimini ya Uwezekano wa Kupanga Bei Moja ya Bidhaa za Petroli Nchi Nzima

    SERIKALI INAFANYA TATHMINI YA UWEZEKANO WA KUPANGA BEI MOJA YA BIDHAA ZA PETROLI NCHI NZIMA Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema Serikali kupitia EWURA inafanya tathmini ya uwezekano wa kupanga bei moja ya bidhaa za petroli nchi nzima. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Aprili 3,2024...
Back
Top Bottom