Mtia nia wa Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, leo 31 Julai 2025 amemjibu moja ya mjumbe aaliyemuuliza swali "endapo akishindwa atahama chama?" Msigwa amejibu swali hilo wakati akiomba kura za maoni kutola kwa wajumbe wa Kata ya Mtwivila.
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Simon Msigwa, ameomba kura za maoni kutoka kwa wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kupata ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu.
Mchungaji Msigwa...
Aliyekuwa kada wa CHADEMA Peter Msigwa amepenya kwenye hatua ya awali katika jimbo la Iringa mjini. Miongoni mwa aliopita nao ni Jesca Msambatavangu mbunge anayemaliza muda wake hivi sasa.
Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini 2010 - 2020 Mchungaji Peter Msigwa amechukua fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini katika ofisi za CCM wilaya na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa mjini Hassan Makoba.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu Mchungaji Msigwa alisema kuwa...
Nani anaweza kujibu swali hili kwa ufasaha..?
Hivi mnaukumbuka moto wa Peter Msigwa aliyekuwa anapata promo ya CCM huku wakijiapiza kuwa wanaenda kuiua CHADEMA kwa kuondoka kwake..?
Huyu Peter Msigwa aliyevurumka kutoka CHADEMA kama moto wa kifuu tukadhani sasa anakwenda kuiunguza CHADEMA...
“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”
“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama...
Hongereni sana CCM kwa kufanya ziara ya kwenda mkoa wa Lindi kupangua hoja zote za kitoto zilizotolewa na Tundu Lissu katika wilaya ya Ruangwa, Nachingwea, Mtama, Kilwa.
Kule Nachingwea Bw.Lissu amechafua sana hali ya hewa, ametukana sana viongozi yeye na mwenzake Lema.
Lema amemchafua sana DC...
Kada wa CCM, Peter Msigwa baada yakumalizika kwa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi mjini Mbamba by, Ruvuma amevitaka vyama vya upinzani kunadi sera mbadala dhidi ya chama tawala, na kuacha kupinga kila kitu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
KWA NYOMI HILI LA CHADEMA IRINGA MJINI NI WAZI JIMBO HILI NI LA CHADEMA TENA NOV 2025.
My bother Peter Msigwa kazi ulioifanya ya kumwondoa Freeman Mbowe kwenye Uenyekiti CHADEMA ni njema sana ila sasa hii team Tundu Lissu na John Heche ina balaa zaidi ya ile ya Freeman Mbowe.
Watoto wa...
Wakuu,
Kada wa CCM Mch Peter Msigwa, amesema Kauli mbiu ya Chadema ya No reform No Election ni kauli butu kwani haiwezi kufanikiwa.
Msigwa amesema Reforms zimeshafanyika na uchaguzi uko pale pale na wananchi wanaendelea kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi watakao wapa maendeleo.
Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa mstaafu wa kanda ya Nyasa Chadema, akiambatana na Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Ndugu Amos Makalla amebainisha kuwa Chama chake cha zamani kinafaa kupuuzwa kutokana na kutokuwa na ajenda zinazogusa maisha ya wananchi na badala yake...
Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025.
Kashajitenga na CCM.
Je, Urafiki wake na Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ndo unamfanya alambe matapishi yake?
Mwingine...
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema alishiriki wazi kumpinga Freeman Mbowe wakati akiwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, akisisitiza kuwa hakufaa kuendelea kuongoza chama hicho.
Akizungumza katika mahojiano na kituo cha redio cha...
Kabla ya ushindi wa Tundu Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chadema akimbwaga Freeman Mbowe, mchungaji Peter Msigwa alikuwa na kasi ya kutisha kwenye kuishambulia Chadema.
Alikuwa anazunguka mikoani na kwenye vyombo vya habari akiwashawishi watanzania kuachana na Chadema kwani ni chama...
Msigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake.
Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya.
Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo, akiwa CHADEMA hawezi kuaminika kwa sababu atakuwa hana msimamo.
Kama ni kweli ulifanyiwa figisu kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa nikupe pole sana ndugu Msigwa. Yote kwa yote, wazo la kuhama kwako CHADEMA kwa maoni yangu ni kuwa ulifanya maamuzi ya haraka kutokana na Jazba ulizokuwa nazo. Ulistahili kuwa mvumilivu ili kulinda status yako kisiasa uliyoijenga...
Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA na sasa mwanachama wa CCM, ametupa dongo mtandaoni kwa Freeman Mbowe kufuatia kushindwa kwake katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA.
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Msigwa ameandika...
Mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwakuwa ndiye mtu anayeweza kukiletea changamoto Chama Cha Mapinduzi.
Pia, Soma:
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.