peter msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Sifi Leo

    Mama wakumbuke Wenje, Mchungaji Peter Msigwa na Jerry Muro

    Mama Hawa hawakurudi ccm kwamba wanaipenda nchi au wanataka siasa safi walikuja kufata vyeo vya udc au UuRC Mama wakumbuke Hawa watu walizunguka nchi nzima kuisema chadema ilivyo mbaya na Ili Hali haishiriki uchaguzi. Wenje aliongea mpaka kujikojolea jukwaa Mzee wasukuma ndani yeye ni ccm...
  2. R

    Jamani Peter Msigwa yuko wapi?

    Yulo wapi? Alibeba mapicha ya Samia, wakamshikisha mapicha. Yuko wapo? Kafia wapi? Au teuzi zijazo atakumnukwa? Nani ampishe?
  3. Sifi Leo

    Mlio karibu na Peter Msigwa na Wenje wambieni wavae sare za CCM za mama mitano Tena wapite barabarani waone kitakachojiri zaidi ya kuwachumu

    Je, Wenje na Peter Msigwa wakivaa nguo za CCM na kuvaa kale kakofia kalikoandikwa mama mitano Tena, tutawachumu au tutawapa zawadi gani? Mimi nitawachumu kwa busu la kenge. "Nyokorikoooooo" wewe je utawafanyaje?
  4. Fbn

    Peter Msigwa umepotelea wapi kwenye umaarufu wa kisiasa?

    Muda mfupi sana CCM walivyokutumia kama wamekuweka kabitini kabisa. Yani ulivyoingia ulikuwa unaisema CHADEMA mpaka ukakosa cha kuongea. Shukuru jina lako la mwisho kidogo anatembea msemaji wa serikali linafanya nisikusahau. Ila umepotea vibaya kwenye medani za siasa.
  5. R

    Where is Mchungaji Peter Msigwa

    Hivi aligombea ubunge? CCM walimpa jimbo? I have lost track of him!!! If not so, yuko wapi? Au bado anasubiri reshuffle ya DCs/RCs anaweza kuambulia
  6. The Father of All

    Wako wapi akina Peter Msigwa na wasaliti wenzake walioramba matapishi wakatapikwa na machawa?

    Ni muda mrefu sijamsikia Peter Msigwa aliyetimkia CCM kuramba matapishi yake akaishia kutapikwa kwa aibu na bila huruma? Najua wapo wengi. Kwanini tusiwaorodheshe hapa lao wajione au waambiwe tunavyoachukulia chawa hawa wachafu waramba makalio ya muuaji.
  7. Just Pray

    GE2025 Peter Msigwa: Tanzania ipo salama kwenye mikono ya CCM

    Mchungaji Peter Msigwa akiongea na wananchi wa jimbo la Ismani katika uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi zilizo fanyika katika viwanja vya Nanenane, Kata ya Itunundu, mkoani Iringa 25 Septemba 2025 amesema Tanzania ipo salama chini ya Chama Cha Mapinduzi. Pia Soma: GE2025 - Peter...
  8. Mindyou

    GE2025 Peter Msigwa: CCM kinaweza kuongoza nchi. Upinzani hawana sera

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mch. Peter Msigwa amewaomba wananchi kukichagua kwani ndicho chama chenye sera za ukombozi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi tofauti na vyama vya upinzani. Msigwa ameyasema hayo leo Septemba 23 wakati wa mkutano wa kampeni, Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM...
  9. S

    Pamoja na kuzunguka nchi nzima, lakini kumbe Peter Msigwa alikuwa anatumiwa na CCM kama karai tu

    Wenye thamni ndani ya CCM wameteuliwa kuwa wagombea hata kama waliangukia pua kwenye kura za maoni. Mwambieni Peter Msigwa kuwa CCM Ina wenyewe, na wenyewe siyo yeye.
  10. Allen Kilewella

    GE2025 Peter Msigwa ashindwa kura za maoni Iringa Mjini

    Alipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega.. Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza...
  11. Just Pray

    GE2025 Mjumbe CCM amuuliza Peter Msigwa kama atahama chama andapo atashindwa kura za maoni, Msigwa asema kuhama sio kosa la jinai, inategemeana na mazingira

    Mtia nia wa Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, leo 31 Julai 2025 amemjibu moja ya mjumbe aaliyemuuliza swali "endapo akishindwa atahama chama?" Msigwa amejibu swali hilo wakati akiomba kura za maoni kutola kwa wajumbe wa Kata ya Mtwivila.
  12. W

    GE2025 Peter Msigwa akiomba kura kwa wajumbe

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Simon Msigwa, ameomba kura za maoni kutoka kwa wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kupata ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu. Mchungaji Msigwa...
  13. W

    GE2025 Peter Msigwa apenya Iringa Mjini

    Aliyekuwa kada wa CHADEMA Peter Msigwa amepenya kwenye hatua ya awali katika jimbo la Iringa mjini. Miongoni mwa aliopita nao ni Jesca Msambatavangu mbunge anayemaliza muda wake hivi sasa.
  14. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Majibizano kati ya Mchungaji Peter Msigwa akisema Balozi Humphrey Polepole anatafuta huruma

  15. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa ameandika kwenye mtandao wa X kuwa Wana CCM wanapitia wakati mgumu

  16. Waufukweni

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa achukua Fomu kugombea Jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini 2010 - 2020 Mchungaji Peter Msigwa amechukua fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini katika ofisi za CCM wilaya na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa mjini Hassan Makoba. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu Mchungaji Msigwa alisema kuwa...
  17. The Palm Beach

    Moto wa G55 utaiua CHADEMA? Moto wa Peter Msigwa tuliyeambiwa anahamia CCM na CHADEMA ya Iringa yote na CHADEMA kufa kabisa uliishia wapi?

    Nani anaweza kujibu swali hili kwa ufasaha..? Hivi mnaukumbuka moto wa Peter Msigwa aliyekuwa anapata promo ya CCM huku wakijiapiza kuwa wanaenda kuiua CHADEMA kwa kuondoka kwake..? Huyu Peter Msigwa aliyevurumka kutoka CHADEMA kama moto wa kifuu tukadhani sasa anakwenda kuiunguza CHADEMA...
  18. Just Pray

    PreGE2025 Peter Msigwa: Nawashauri G55 waje CCM, hawana ushawishi kuendeleza siasa za mageuzi

    “Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo” “Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama...
  19. M

    PreGE2025 Amos Makala, Peter Msigwa na Abdul Kambaya kukiwasha mkoa wa Lindi kusafisha uchafu wote uliofanywa na Tundu Lissu

    Hongereni sana CCM kwa kufanya ziara ya kwenda mkoa wa Lindi kupangua hoja zote za kitoto zilizotolewa na Tundu Lissu katika wilaya ya Ruangwa, Nachingwea, Mtama, Kilwa. Kule Nachingwea Bw.Lissu amechafua sana hali ya hewa, ametukana sana viongozi yeye na mwenzake Lema. Lema amemchafua sana DC...
  20. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Peter Msigwa: Wapinzani tafuteni sera, acheni kupinga kila kitu

    Kada wa CCM, Peter Msigwa baada yakumalizika kwa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi mjini Mbamba by, Ruvuma amevitaka vyama vya upinzani kunadi sera mbadala dhidi ya chama tawala, na kuacha kupinga kila kitu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Back
Top Bottom