Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,155
- 4,568
Madeleka amendika katika ukurasa wake wa x;
Nataka nimwambie Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), ikiwa ndani ya SAA 24 kuanzia sasa, ATASHINDWA kuwapeleka MAHAKAMANI hao MASHETANI, kwa KISINGIZIO CHOCHOTE KILE, mimi PETER MADELEKA, nitafanya WAJIBU huo kwa FEDHA ZANGU. Hatuwezi kuwa taifa la KULINDA WAHALIFU.
Pia soma: Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
Waliofanya ushetani huo watakamatwa kwa UTARATIBU huu;
1. Huyo Mwanamke AMTAJE huyo MUME wa AFANDE aliyetembea nae
2. Mume wa AFANDE akishajulikana, TUTAMJUA AFANDE.
3. Baada ya hapo, afande ATAWATAJA hao MASHETANI WENZAKE.
4. Halafu MASHETANI wote WAKAMATWE.