pepo

  1. Tufunge na kuomba kufukuza pepo la mikopo linalowatesa kina mama, dada, wake, shangazi na wanawake wangine wengi

    Kina mama mna tatizo gani aisee? Mikopo.. mikopo.. mikopo. Kuna case kadhaa za kina mama kujiua kwa sababu ya kuzidiwa mikopo. Kuna cases za ndoa kuvunjika pia. Wanawake wengi mnakopa sana bila kufikiria mara mbili. Hali ni mbaya sana. Mitandaoni nimeona watu wengi wakilalamika kuona mama zao...
  2. Je Wajua Kuna Aina Mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika na Shetani wa Mbinguni ambao ni Pepo na Malaika na Shetani wa Duniani ambao ni Watu?.

    Wanabodi Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!. Malaika wa...
  3. F

    Je waumini wa dini zote mbinguni watachanganywa pepo moja, ama kutakuwa na Pepo tofauti kwa kila dini pepo yao peke yao ?

    Habari wadau. Naombeni msaada wa majibu. Je watu wa dini zote watakaotenda mema na kuingia peponi, watachanganywa pepo moja ama kila dini watakaa pepo yao peke yao. Je wataungana mbinguni kwenye pepo moja hata kama huku duniani hawataki kuungana ?
  4. Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

    Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac. Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok. Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho. Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za...
  5. The Voices From Within: Tundu Lissu ni Mpango wa Mungu, NRNE ni Mpango wa Shetani, ni li Pepo! Limemkumba Lissu!, Akiachana Nalo, Anatinga Ikulu 2025!

    Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。 Ulimwengu wa Mwilna Ulimwengu wa Roho Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho. Kusikia Sauti Hii ni thread...
  6. R

    Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  7. Pepo Mkali Yavunja Nyumba na Kujeruhi Watu katika Kijiji cha Lekurumuni, Wilaya ya Siha,Mkoa wa Kilimanjaro

    Jana, kijiji cha Lekurumuni kilikumbwa na upepo mkali ulioleta uharibifu mkubwa, ukiwaacha wananchi wakiwa katika hali ya hofu na wasiwasi. Upepo huo, ambao ulikumba wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, ulisababisha kuanguka kwa shule, makanisa, na nyumba za wananchi, huku watu kadhaa wakijeruhiwa...
  8. Makondeni, pepo ya dunia wengi wasiyoijua

    Waliokulia vijijini mashambani wanalijua hili... Waliokulia mijini kwenye uchafuzi wa kila aina na vurugu zote hawaijui ladha yake Ukisoma habari za peponi na vile kulivyo unaweza kukubalina nami kwamba makondeni ni pepo ya dunia Hakuna vurugu za miziki Hakuna honi Hakuna fujo za bodaboda...
  9. Kijana fahamu madhara ya punyeto na mtu anayejichua kwa muda mrefu

    Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana. Sababu kuu inayopelekea kujichua ni kutamani, wengi huangalia picha za utupu(xx) katika mitandao ya kijamii na baadaye fikra huathiriwa na...
  10. S

    Kama kuna pepo hakuna hata mmoja atakayeingia

    Habari zenu Wanajamiiforums. Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga. Wale wote wanaojazana kanisani sijaona, Wale wa misikitini sijaona. Wanadamu kama kuna pepo kwa kweli hatutoiona. Binadamu ni kiumbe dhaifu aliyejaa...
  11. U

    Je, pepo ya wanadamu wema ndiyo hiyo watakayoishi pia majini wema?

    Wadau hamjamboni nyote? Naombeni mtupe Aya tafadhali vinginevyo kaeni kimya Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Je, majini hao watapewa zawadi ya mabikira takriban 70 kama ilivyo kwa wanadamu?
  12. Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
  13. Mwaka mmoja tangu nihamie mitaa hii nimeamini jehanam na pepo vyote viko duniani

    Nimezaliwa mitaa yenye ustaarabu, nikakulia nje ya mji,nikaanza maisha uswazi na kwenye slums,nimewahi kuwa homeless kwa miezi kadhaa hapa nchini na nje ya nchi, nimeishi mikoani vijijini kabisa huko wilayani,itoshe kusema jehanam ipo hapa hapa duniani na pepo ipo hapa hapa duniani Stori za...
  14. Nahisi kutokuwa sawa kiroho. Pepo wachafu wameniingilia!

    Habari ndugu zangu! Nimebadilika sana, nahisi kutokuwa sawa kiroho! Nipo mbali na nyumbani tangu 2021, yaani huwa tu naenda kusalimia na kurudi. Nipo Dodoma kikazi na tangu nije huku nimeona nimebadilika sana! Hapo kabla nilikuwa mkimya sana nisiyependa kukaa sehemu zenye watu yaani kiufupi...
  15. Mola aniepushe na hili pepo la kupenda mke wa mtu

    Aisee, nyie acheni tu. Nimejizuia kumpenda nimeshindwa, lakini nimefanikiwa kwa 40%, kwenye hizo parcent nimejizuia kumsogelea karibu wala kumsemesha japo kwa salamu, ingawa macho yangu yanapokutana na yake kuna namna yanazungumza Mwanzoni mimi ndiye niliyekuwa napata shida, lakini kwa sasa...
  16. Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

    Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa. Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga. Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
  17. Pepo gani hili? Navutiwa kuwa na mahusiano na Wanawake walionizidi umri

    Wakuu habari za mda huu.. leo nimeshindwa kulala nikitafakari sana Mwanzani nilijua ni sifa kutembea na watu walioniacha umri. Ila sasa imekua too much wakuu maana imefikia kipindi mpaka wasichana wa rika langu siwaelewi.. Hii hali ya kutowaelewa hawa wa rika yangu imeanza baada ya kujiona...
  18. Diamond pumzika muziki kwa muda pepo mchafu apite!

    Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake Namshauri kwa upepo unaoendelea let him mute, kwa...
  19. PreGE2025 Rais Samia: Wameishiwa na wameshaona mbele mambo magumu kwao ndio maana wanaharibu amani

    Wakuu, Wote mnaotaka kuandamana hasa CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa; Amani na utulivu ndiyo inatufanya tucheke, tukae vizuri na tuangalie michezo, kukiharibika hayo yote hayapo. Niombe sana wale wanaokuja kuwashawishi kwa neno lolote lile kwa sababu yoyote ile kuharibu amani na utulivu wa eneo...
  20. Pepo la uaguzi ni nini/kitu gani

    Mwami Yesu asingizwe Habari wakuu I hope mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki, naomba kupata ufafanuzi wa swali langu kama lilivyo hapo juu kwenye heading. Nimeambatanisha na vifungu vifuatavyo:- Matendo 16:16 “Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…