pensheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wakumbukeni Wastaafu wa umma pia. Ongezeni Pensheni zao

    Napenda kumpongeza sana Rais Samia kwa maamuzi aliofikia ya kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa serikali Mungu akubariki. Aidha napenda kuwakumbusha kwamba kusahau ni kwa binadamu, wastaafu waliotumikia serikali na kujenga misingi yake, baadhi yao bado wako hai. Pesheni zao ni ndogo sana na...
  2. K

    OMBI: Wastaafu na sisi tunaomba tufikiriwe kwenye tunachopokea

    Leo nimesoma kupitia mtandao wa kijamii kuwa Rais ameongeza mshahara kwa watumishi wote wa umma kwa kuongeza 23% kwa kima cha chini. Ninauliza, Je na sisi Wazee wa pensheni tuko kwenye mfumo huo? Ichukuliwe kuwa maisha yamepanda kwa kila mtu na wengine ile pensheni ya mkupuo...
  3. Replica

    Waziri Ndalichako: Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ni Himilivu. Agoma kupokea taarifa kuhusu ripoti ya CAG

    Leo waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, Kazi, Ajira na wenye ulemavu akiwa Bungeni amekanusha mifuko ya hifadhi ya Jamii kutokuwa himilivu. Alipohojiwa na Esther Bulaya juu ya ripoti ya CAG kusema vinginevyo, ameendelea kushikilia msimamo wake kwa madai ripoti hiyo inaishia June 2021. Waziri...
  4. K

    Wastaafu tunamshukuru Rais Samia, pensheni inaingia kwa wakati

    Leo tarehe 24.3.2022 pensheni kwa Wastaafu tayari imeingia tofauti na nyakati za zamani. Kwa niaba ya Wastaafu ninakushukuru kwa Wastaafu kupata pensheni yao mapema. Tunakuombea afya njema ili uweze kuliongoza Taifa.
  5. x - mas

    USHAURI: Watumishi wakopeshwe pensheni yao kwa riba ndogo au bila riba badala ya kutegemea mikopo ya mabenki yenye riba kubwa

    Ukifikiria kiundani utagundua mtumishi anufaiki sana na mkopo anaokopa, wanufaika wakubwa wa mikopo kwa wafanyakazi ni mabenki/taasisi zinazohusika na ukopeshaji kupitia faida inayotokana na riba, mikopo inapelekea chanzo cha Maisha magumu kwa watumishi waliowengi huku ikiwaacha wakopeshaji wa...
  6. Mung Chris

    PSSSF Mfuko wa pensheni kwanini hampokei simu na hamjibu email

    Sio busara hata kidogo, leo imetulazimu watu kama wa 3 hivi kwenda ofisini kwao baada ya simu za meneja kutopokelewa juzi tuliandika sms na pamoja na kuwapa check namba watuangalizie pensheni na mafao yatakuwa tayari lini, tulipofika ofisini hawana majibu. Leo waziri Mkuu ametangaza bungeni...
  7. Mung Chris

    Wastaafu wa PSSSF mnaotarajia kustaafu mjipange msitegemee kulipwa haraka mafao na pensheni

    Niwasaidie tu wanao tegemea kustaafu kuanzia mwezi huu wa 9 na kuendelea, natumai ma tamko ya Mawaziri na Marais wawili aliyepita na aliyeko madarakani mlisikia kabisa wakisema na kusisitiza watu walipwe mapema akiwemo Waziri ambaye ni mbunge wa Jimbo la Peramiho. Hakuna utekelezwaji hadi leo...
  8. Mung Chris

    Serikali iwalipe watumishi mishahara mpaka hapo watakapokuwa tayari kuwalipa pensheni na PSSSF ndio dawa

    Kuna kitu hakiko sawa kwenye mifumo ya serikali, pamoja na bodi inayo shugulikia mikataba FCC kujidani na kuwashauri watu wasitoe mikataba ya unyonyaji na manyanyaso bado tunahitaji sheria zibadilishwe. Tarehe za kustaafu zikifika mtumishi aache kwenda kazini ila mshahara uendelee kulipwa ili...
  9. Mung Chris

    PSSSF malipo ya pensheni kwa awamu haifai mkiri tu kwamba hamna pesa

    Tatizo hili lili watokea wengi ma askari waliokuwa wanalipwa pensheni miaka ya nyuma awamu ya tano, kwa uzoefu tulijua pensheni hulipwa zote sasa hii habari imekuwa ni kikwazo sana kwa mtu anayetaka kufanya maendeleo ya haraka. Kwann PSSSF msitoe tangazo rasmi kuwa pesa hamna vizuri maan...
  10. DustBin

    SoC01 USHAURI: Matumizi sahihi ya Fedha za Pensheni kwa Wastaafu

    Fedha za pensheni ni malipo anayopewa mwajiriwa (mfanyakazi) baada ya kustaafu kazi/ajira yake. Huwa ni fedha nyingi ukilinganisha na fedha ambazo huyo mfanyakazi/mwajiriwa aliwahi kumiliki hapo kabla. Wastaafu wengi kutapeliwa Hivi karibuni kumezuka matukio mbalimbali yakiwahusisha wastaafu...
  11. Mung Chris

    Waziri Jenister Mhagama kumbuka ahadi yako kuhusu pensheni ya PSSSF kwa watumishi siku ya Sabasaba

    Tuna kukumbusha Mhe. Waziri Jenister Mhagama siku ya sabasaba ukiwa na mkurugenzi mtendaji wa PSSSF kwenye banda lao, mlisema kwa sasa mnafanyia kazi marekebisho ya malipo na maelekezo ya Mhe Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwalipa wastaafu. Walio staafu kuanzia mwezi 3 hadi sasa hawajalipwa, je ni...
  12. Mung Chris

    Waziri Simbachawene, Watumishi wako hawajalipwa pensheni kama mlivyoahidi

    Mhe. Waziri, Watumishi wako wana miezi 3 hawajalipwa nauli za kwenda majumbani kwao baada ya kustaafu. Watumishi wako wana miezi 4 toka wastaafu hawajalipwa Pensheni na mliahidi na Jenister Mhagama kuwa mtarahisisha malipo ya pensheni kuchukua muda mchache sana, pamoja na kujaza fomu zote na...
  13. Rebeca 83

    Wazee wote wapewe pensheni

    Hello JF, Leo nimejikuta nafikiria uzee na changamoto zake, hasa kwa wazee waliokua nje ya mfumo wa ajira rasmi kama mafundi, housegirls/ boys, wafanyabiashara ndogo ndogo n.k ni sehemu ningependa kuchunguza wanaishije katika uzee especially wale wa Dar es Salaam na Miji mingine mikubwa ambao...
  14. Mung Chris

    Je, PSSSF wameingia kwenye mkondo wa Siasa au hawana pesa?

    Nauliza swali hilo ni kwa sababu ndugu yangu aliwasilisha nyaraka za kustaafu miezi 3 kabla ya kustaafu rasmi na walizipokea wakasema kila kitu kimekamilika. Sasa ameshastaafu ana miezi 5 sasa ukizingatia ofisi ya waziri ili tetea sana swala la wastaafu kulipwa pia Rais alisisitiza walipwe...
  15. Mung Chris

    Je, serikali imebadili rasmi tarehe ya malipo ya mishahara na je pensheni inalipwa kama walivyoahidi?

    Kati ya tarehe ambazo watumishi walikuwa nazo uhakika za malipo ya mishahara ni tarehe 23 ya kila mwezi na ikiangukia wkend basi walikuwa wanalipa kabla ya tar hiyo, je kuna kitu gani ambacho hakiko sawa maana hata serikali haija tangaza rasmi tarehe mpya ya malipo ya mishahara kuwa imebadilika...
  16. Yoda

    Wastaafu walipwe pensheni yote kwa mkupuo ndani ya mwaka mmoja baada ya kustaafu

    Kwanini wastaafu huwa wanendelea kulipwa kila mwezi pesa kidogo kidogo baada kupewa kwa mkupuo kiasi kikubwa pindi wanapostaafu badala ya kupewa pesa zao zote ndani ya muda mfupi wa kustaafu kwao? Hizi pesa za pensheni wanazopewa kila mwezi ni za kuganga njaa tu na huwa hawewezi kudunduliza...
Back
Top Bottom