Umeumiza kichwa kuanzisha biashara yako, si kwa lelemama, si kwa bahati nasibu, umekesha sana usiku kwasababu ya kufanya research, ulichunguza location, ukapima mzunguko wa wateja, ukapanga jinsi bidhaa zako zitakavyokaa, ukafikiria bei ambayo inaweza kuvutia wateja, ukajifunza mbinu bora za...