Ni ushauri wa Bure Kwa mwanaume anayetaka kubaki kwenye nafasi yake ya uanaume.
Ambao mmeamua kuleft siwashangai Wala kuwadharau uanaume ni kazi ngumu sana
Huwezi kuambiwa jikaze kimwanamke , jikaze kiume ndo NENO liko Hadi kwenye maandiko
Washkaji zangu, embu tuache utani kwenye maisha yetu. Umewahi kucheki tyre ya gari yako ukakuta imetokeza "nundu" au uvimbe fulani hivi pembeni? Wengi tunasema "ah, bado inatembea," lakini ukweli ni kwamba hilo ni BOMU na unatembea nalo!
Sasa, kwanini tyre inavimba hivi? (Hizi ndio sababu)...
Nilikutana na mwanamke msukuma, ana sura ya baba ila biyo shape duuuh! Mk*nd mkubwa sana mzuri, somebody V .
kama upo hapa nicheki pm please, SIKUSAHAU.
tuliwahi ku do juu ya deka Maeneo ya TMK maduka mawili.
Come dm omease kama utaona hii.
Ulikua unavaa miwani hivi.
Usijiulize mengi njoo...
Huyu dada, very ambitious, alidhani kuwa kwa kukubali kutumiwa kwake basi pengine atapanda ranks na kuwa mtu mkubwa zaidi ya cheo alichozawadiwa. Matokeo yake akaligeuza bunge kuwa chawa wa rais, akashiriki kubariki azimio eti la kumpongeza rais utendaji wake wakati alitakiwa amsimamie huyo...
Hamjambo wakuu!
Poleni wote kwa yote yaliyotokea. Waliopoteza wapendwa wao, waliopata majereha, waliopoteza mali iwe kwa kuibiwa au kuchomwa moto. Na zaidi Mungu awape pumziko linalowastahili waliopoteza maisha.
Upande wangu mambo yalikuwa magumu sana ukizingatia ninapoishi na karibu kabisa na...
Tukiacha unafiki mwanamke hafai kuwa Rais wa nchi sio tu Tanzania Duniani kote!
Tujiulize kwanini Marekani imegoma kabisa kutawaliwa na mwamke? Wakati ndiye baba wa democracy Duniani?
Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
katika Uislamu cheo na madaraka si kitu cha kung’ang’ania au kukipigania kwa hila. Mtume Muhammad ﷺ alitufundisha kuwa cheo ni amanah (uaminifu) na mzigo mkubwa kwa mwenye kupewa.
🔹 Dalili kutoka Hadith:
Mtume ﷺ alimwambia Abdurrahman bin Samura:
(Hadith Sahih Bukhari na Muslim)
Mtume ﷺ...
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
GT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu.
Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.
Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
Wanabodi
Hu ni mwendelezo wa ushauri kwa Balozi Humphrey Polepole,nimeisikia ile sauti ya The voices from within kuwa, Balozi Polepole atavuliwa hadhi yake ya ubalozi!, hivyo ubalozi wa Polepole ni kwaheri!。Na akiisha vuliwa ubalozi, then atashughulikiwa kikamilifu!.
Mtu huwezi kukata tawi la...
Oktoba 25 mwaka 1990 Idris Abdul Wakil alimaliza majukumu yake kama Rais wa awamu ya 4 katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Ilikuwa ni hali ya kushangaza ila Abdul Wakil akaamua kukaa zake kando.
Alikuwa na nafasi ya kumalizia mitano mingine ila haikuwezekana.
Historia ni mwalimu mzuri na...
Mke alikuwa na maumivu usawa wa tumbo pembe tangu akiwa mjamzito, baadae akajifungua mtoto anamwaka na miez4
Baada yakujifungua Hadi Sasa mtoto ana 1.4yrs Hali ya maumivu mkalii usawa wa pembeni kidgo nakitovu na juu anakua anaumia halafu panavimba
Hali ikitokea anakaa katika maumivu...
Kikwete akiachwa huko CCM mtakuja kujuta. Mna puuza wazalendo wakina Warioba na kumsililiza huyu mzeee mbinafsi atawamaliza. Kikwete anatafuta manufaa yake na familia yake tu hajali lingine.
Msishangae yule Mama Samia wa 2021-2022 yuko wapi ametekwa na team kikwete . Yeye anataka tu awaache...
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata...
Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani,
::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.