pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee aliyekuwa na maono makubwa kuhusu miundo mbinu ya barabara ni Jakaya Mrisho Kikwete, Magufuli ndiyo aliturudisha nyuma!

    Nchi yetu barabara kuu km za 1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001) 2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002) 3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4 magari yasipishane. Badala yake angalia vipaumbele vya hovyo vya Magufuli; 1. Uwanja wa ndege wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

    Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti. Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii? Sh...
  3. JamiiForums Tanzania UNAUZA MCHELE, MAHARAGE, MAHINDI AU NAFAKA NYINGINE? KUFUNGUA DUKA NA KUJAZA MAGUNIA PEKEE HAITOSHI!

    Unaweza kuwa na mtaji, sehemu nzuri ya biashara na wateja wengi, lakini kutokamilisha taratibu zinazohitajika kunaweza kuiletea biashara yako usumbufu usio wa lazima. Kabla na wakati wa kuendesha biashara ya nafaka kwa rejareja Tanzania, haya ni baadhi ya mambo muhimu ya kuzingatia: 1️⃣ Usajili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini points wakatwe madereva pekee yao wakifanya makosa katika kazi yao?

    ●Vipi rais akifanya makosa? ●Wakuu wa mikoa na viongozi wengine nani anawakata points kwenye vyeo na vyeti vyao? ●nani anawakata points askari? maana wao ndio maarufu kwa kula rushwa nchi hii bila uoga wala aibu. Na wengine kwenye mengine.kwanini iwe madereva tu? Sheria zipo; Kama □kuonywa...
  5. JamiiForums Tanzania Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Huu ni ushauri wangu kwa serikali, Yanayoendelea mahakamani ni aibu aibu aibu aibu, Tundu Lissu anawavua chupi mawakili wa serikali mchana kweupe. Ni aibu mh rais wateule wawe majaji tusiwe tunawaona mara kwa mara ni aibu
  6. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee mwanadamu anapewa tender ya Job Creation

    Anaishia kusifia "Hongera kwa kumiliki kiwanda cha "Think big start small"
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama za Interior, Tairi na Rim. Tenga bajeti ya ziada mapema ili usije ukahangaika baada ya kununua gari

    Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama zinazoweza kuja baada ya kulinunua. Unaponunua gari, ni muhimu kutenga bajeti ya ziada (Buffer Amount) kwa ajili ya kuboresha au kubadilisha baadhi ya vitu muhimu kama Tairi, Rim na Interior. Tairi na Rim Kwa hali ya barabara zetu zilizojaa...
  8. JamiiForums Tanzania Kiswahili Kigumu!: Kitu Kikiwa Chako Peke Yako, Ndio Chako, Kikiwa Chako na Wengine, Sio Chako, ni Chenu, ana Akiwa Mtu Sio Wake ni Wao!.

    Wanabodi, Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
  9. JamiiForums Tanzania FDR: Rais Pekee wa Mihula Minne

    Baada ya Rais FDR kuweka rekodi ya kuchaguliwa mihula minne; na kuiongoza Marekani kwa mafanikio makubwa sana, ukazuka mjadala mkubwa kuhusu mihula ya Urais. Ukapelekea mabadiliko ya 22 ya katiba yaliyoweka ukomo wa mihula miwili ya Urais. Franklin D. Roosevelt, anayejulikana kwa kifupi kama...
  10. JamiiForums Tanzania Xenophobia in Kenya: Baadhi ya Wakenya wameamua kuchukua jukumu la kufukuza raia wa kigeni

    Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
  11. JamiiForums Tanzania Katika ujasiriamali sio hamasa pekee inayojenga biashara, unahitaji uvumilivu na mtazamo sahihi zaidi

    Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia. So ni suala labda niseme la kubadilishana uzoefu tu, kasoro kwa wale ambao hawajajitosa kikamilifu...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanadhani bado DSM, ARS na MWZ ndio sehemu pekee zenye maisha ghali sana TZ, mnakosea, joto lisha sambaa kote, mikoani napo ni expensive

    Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm Nyumba na vyumba vya kupanga vimepanda wilayani huku, hakuna mtu mjinga ajenge nyumba ya kupangisha 30-60m+ alafu umpatie laki moja...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania, tumwombee sana Mzee Warioba. Ndo Mzee pekee ambaye amebaki kwa Maslahi ya Umma.

    Huyu mzee kwa sasa ndiye pekee amebaki akiwa na spirit ya Kiafrika na Upendo kwa nchi yake. Amekataa kugeuka kuwa jiwe la chumvi. Ipo mizee ya hovyo ambayo ilishaamua kuusaliti umma wa Watanganyika. Imekaa kuangalia matumbo yao na vizazi vyao. Mzee Warioba yeye hajaamua kushiriki huo ushetani...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  15. JamiiForums Tanzania Sehemu Pekee Akishikwa Anajihisi Ulimwengu ni wake Mwenyewe!

    Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- 40 na kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa ! Vijana mnaoishi kingono na wanawake, na wanawake mliowekwa kimada fanyeni mpango mfunge ndoa, si...
  16. JamiiForums Tanzania HUU UZI NI KWA AJILI YA GEN Z: Kama wapo humu comment hapa, isije ikawa JamiiForums ni ya wazee pekee!

    Mambo vipi Wana-JF Imekuwa kama utamaduni au dhana iliyozoeleka kwamba kule X (Twitter) na TikTok ndio kuna mijadala yenye msisimko ya vijana wa Gen Z (wale waliozaliwa kuanzia miaka ya 1997 kuelekea mbele), huku hapa JamiiForums ikionekana kama kijiwe cha wakongwe, Ma-Millennial waliokula...
  17. JamiiForums Tanzania Jengo Pekee Ambalo Halijasombwa na Mafuriko ya Nepal Limeonesha Umuhimu wa Ujenzi unaozingatia viwango na vigezo vya Kihandisi kwenye majengo ya Umma.

    Wataalamu wa uhanrdisi wa majengo wamefanya uchambuzi ni Kwa nini jengo Pekee la gorofa lilibakia limesimama bila kuangushwa na kusombwa na Mafuriko yenye Nguvu ya Nepal wakati majengo yote ya jirani yalioshwa. Jambo hili Limeonesha Umuhimu Kwa Serikali na watu binafsi kufuata vigezo na...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Tanzania ni wa Tanganyika pekee au ana mamlaka hadi Zanzibar?

    Mbona huwa sijawahi kuwaonea wakina Majaliwa na Mwigulu wakienda kutoa maelekezo, maagizo na kufanya mikutano ya kutatua changamoto za wananchi Unguja au Pumba? Hii nafasi ya waziri mkuu wa Tanzania mamlaka yake yakoje katika nchi ?
  19. JamiiForums Tanzania Karata pekee aliyo nayo Nchimbi ni kujiunga CHADEMA

    Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali. Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
  20. JamiiForums Tanzania Tukiondoa Huu Ujinga wa Kudhaminiwa na Chama cha Siasa, 2030 Akisimama Kama Mgombea Huru, Hakuna Mtu Atashindana Naye. Rais Bora ni Kutoka CCM Pekee!

    Wanabodi Kwanza nitangulize kuomba radhi kwa kusema samahani kwa shurti la udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!. Kiukweli kitu ambacho ni cha kijinga kweli kukiita ni ujinga,ni halali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…