peke yake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Neema Village, Mzungu anayebadilisha maisha ya Wakina Mama Arusha, serikali yetu inakwama wapi?

    Poleni na Majukumu, Serikali yetu kwa sasa inapitia katika kipindi kigumu cha tatizo la ajira rasmi kwa vijana na watu wazima pia. Pamoja na Yote Serikali imekuwa ikisisitiza vijana wajiajiri bila kuwawezesha ni kwa namna gani vijana waweze kujiajiri. Jijini Arusha mzungu mmoja aitwae Michael...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri January Makamba anaongoza majadiliano ya Wizara peke yake?

    Habari zenu Wana wa JF. Ukiingia katika ukurasa wa Twitter wa Mheshimiwa January Makamba Waziri wa Nishati, utabaini Jambo. Jambo hilo sio jingine bali ni yeye kualika wataalamu na wadau wa Nishati kutoka maeneo mbalimbali duniani. Wataalamu hawa wamekuwa wakija wizarani ama waziri kukutana...
  3. BLUE BALAA

    JamiiForums Tanzania Mashirika kama TTC sioni sababu kwanini lisiizidi Vodacom na Airtel au kwanini Posta lisiwe zaidi ya DHL

    Napongeza sana kushuhudia transformation inayokwenda kufanyika TANESCO kulifanya shirika la kujiendesha kibishara. Sina wasiwasi na uwezo wa MD Maharage Chande pamoja na bodi yake inayongozwa na gwiji wa ufuatiliaji wa miradi Omary Issa. Lakini pia naangalia wajumbe kama Zawadia Nanyaro alikuwa...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kagame peke yake alibaki na msimamo.

    Mwaka 2015 nchi zote za EAC zilikubaliana kuwa ifikapo mwaka 2019 nchi zote zipige marufuku uagizaji wa nguo na viatu vya mtumba kutoka nje. Sababu walisema kuwa ni fedheha watu kuvaa mitumba na ili kukuza viwanda vya ndani vya kuzalisha nguo. Na watu walipredict kuwa baada ya 10 EA itakuwa...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wazee muhimu wasife na kuicha CCM peke yake

    Wazee muhimu ninamaanisha wazee wenye akili nyingi, wenye hekima na wanaoifahamu vema Tanzania. Wazee hawa ni wale wote wenye hadhi ya Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mzee Kikwete, Mzee Warioba, Butiku, Cleopa Msuya, Malecela, Msekwa, Karume, na wengine wa aina hii. Kule Marekani na Ulaya wazee wazee...
  6. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jukumu la kutengeneza ajira lianzie kwenye ngazi ya familia

    Asiye kujua hakuthamini, lakini vile vile uchungu wa mwana aujuaye mzazi, hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anateseka au anaishia kuwa na maisha duni, kila mzazi anashughuli inayomuingizia kipato cha kulisha familia na kuendesha familia, kwa kuajiliwa au kujiajiri, Hapa nchini kwetu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe hayuko peke yake, Pongezi kwa wote

    Salamu zitakuwa zimewafikia kuwa mheshimiwa Mbowe hayuko peke yake na hatakuwa peke yake. Funzo kubwa kwa makamanda limetoka kwake wakili msomi Peter Kibatala: "Kuwe na mkakati rasmi wa mapambano ambapo tutakuwa sote na wahanga wetu katika raha na katika shida." Kama ilivyo kwa kamanda Mbowe...
  8. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Olympic Tokyo Japan: Bendera ya Tanzania imeingia peke yake

    Wakuu wenye uelewawa wa haya mambo, naona bendera ya nchi yetu ameibeba mzungu mmoja ambaye sina uhakika kama ni mwanamichezo au kiongozi wa Tanzania! Je huu ndio utaratibu mpya au ndio hivyo tumekosa watu wa kushiriki? Labda wanamichezo watafika kesho! Acha tuendelee kuwashangilia majirani zetu!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni mahubusu wote wanaruhusiwa kula chakula kutoka makwao au ni Sabaya peke yake?

    Ndugu wa Sabaya pamoja na marafiki zake na watu wa chama wanajiwekea utaratibu wa kumhudumia mtuhumiwa aliyeko mahabusu kinyume kabisa na taratibu na tunaamini Kuna usawa? Aliyeruhusu mpishano wa misosi kutoka mtaani kwenda Kisongo ni nani? Aliyeruhusu Sabaya asifungwe pingu toka gerezani hadi...
  10. Siasa Basi

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tuliyajua, Hatukuyajua lakini hilo zaidi ya tatizo

    TULIYAJUA, HATUKUYAJUA, HILI NI ZAIDI YA TATIZO. Kesi iko mahakamani, sitaki kusema yaliyomo ya kesi hiyo. Najipa haki ya kusema jambo zima kwa ujumla wake. Siku Rais Samia alipochukua ofisi nilipendekeza Mwongozo wa Kuongoza Kipindi cha Mpito wa awamu mbili, yaani kutoka ya 5 kwenda ya 6...
Back
Top Bottom