HOUSE OF GUCCI
Ni mwaka 1978 katika jiji la Milan nchini Italia, nchi ya fasheni na mitindo mbalimbali ya mavazi.
Palikuwepo familia kubwa,
Familia ya Gucci.
Ilikuwa familia tajiri,yenye nguvu na mamlaka kibiashara .Kila kiumbe hai kilichobahatika kuzaliwa kwenye familia hii, kiliishi kwenye...