Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Paschal Katambi akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi leo Machi 16, 2026 amesema kuwa ni wajibu kwa Jamii ya watanzania na Afrika na Dunia nzima kusimamia...
Serikali imeweka wazi kuwa Magereza mbalimbali nchini sio Sehemu ya Mateso huku ukiwepo ushahidi wa Maendeleo kwa Wafungwa kuhitimu Masomo ya ngazi mbalimbali na Mafunzo wakiwa ndani ya kifungo ikiwemo Wafungwa 209 waliohitimu Masomo ya Ujasiriamali katika Chuo cha Uhasibu Arusha na wafungwa 201...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema katika kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu wanaoingia nchini. Idara ya Uhamiaji imedhibiti na kufunga jumla ya Vipenyo Elfu Moja Mia Saba Sabini na Saba vilivyopo maeneo mbalimbali nchini, vilivyokua vinatumika kuingia nchini kwa njia...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema matumizi ya Akili Unde(Ai),ni jambo lisiloepukika kuliweka katika vyanzo na vichochezi vya uhalifu huku akiweka nia ya Serikali Kudhibiti uhalifu unaotokana na matumizi na maendeleo ya teknolojia.
Ametoa rai hiyo wakati wa Kikao cha...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania iko salama, akieleza kuwa uimara wa Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama umeiweka nchi salama tangu ilipopata uhuru.
Katambi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake ya kwanza kutembelea Makao...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi.
Aidha, amesema kuna utumiaji wa Akili Unde kutengeneza video...
Kweli Rais Samia hana washauri..
Katambi hana uwezo wa kuongoza wizara kama hii ambayo Igp na watumishi wa wizara hii wanatakiwa kulipoti kwake.
Mbaya zaidi mpaka sasa nchi hii haijatulia kisiasa.
Wizara kama hii ambayo ni nyeti kwa usalama wa taifa ilipaswa kuwa chini ya mwanasiasa anayejua...
Naibu waziri wa viwanda na uwekezaji (Kwa sasa) na waziri mteule wa mambo ya ndani nchi Patrobas Katambi aliwahi kusema kwa mujibu wa sheria ukiwekwa kizuizini na polisi unapaswa kupewa dhamana isiyo na masharti ,lakini Agosti 24, 2017 alizibeza mamlaka ambazo leo anazisimamia, je ataweza...
Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaidi ya hapo simkumfuatilia kwa ukaribu Tena
---
3. Paschal Katambi Patrobas - Mbunge wa Shinyanga
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Elimu ya Msingi: Alianza masomo yake katika Mwenge Primary School, ambapo alihitimu mwaka 1999 kwa kupata...
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanga na Naibu Waziri, Ofisi ya waziri Mkuu (Kazi, Vijana na watu wenye ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amesema ndani ya miaka minne ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita mapinduzi makubwa yamefanyika kwenye uwezeshaji wananchi...
TAARIFA RASMI | MCHAKATO WA KUANZISHA TAASISI YA KITAIFA YA UZALENDO NA MALEZI TANZANIA (TUMT)
Kwa mujibu wa haja ya dharura ya taifa katika kujenga msingi imara wa maadili, uzalendo wa kweli, na malezi chanya ya kizazi kijacho, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha imeanza rasmi mchakato wa...
Patrobas Katambi Naibu Waziri Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu ameomba mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Akisema waonge hoja kwa hoja Lissu awe kulia John Heche awe kushoto
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu,ameshiriki na wananchi ujenzi wa msingi wa Zahanati ya Ibanzamata,pamoja na kuchangia Sh.milioni 10.
Ameshiriki ujenzi wa msingi huo leo akiwa...
Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, amewahimiza wakazi wa jimbo lake kumpigia kura Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Akiwa katika ziara yake, Katambi alikutana na Wajumbe wa CCM wa Kata ya...
Hayo ndo majibu ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira kuhusu hatima ya kikokotoo kipya kwa wastaafu. Kuwa kafanya utafiti unaoonesha ni kikokotoo bora kuliko cha zamani. Hivyo, wastaafu wafanye utafiti ndo waulize wasilalamike tuu.
Mawaziri kama hawa hawatufai katika nchi inayotambua haki na maslahi...
Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea.
Katambi ambaye inafahamika aliingia kwenye ubunge huo kimagumashi baada ya mshindi wa kwanza kwenye kura za maoni za CCM, Stephen Masele...
Ni fedheha na aibu kubwa kwa naibu waziri ndugu Katambi kutoa majibu yale ya kudhalilisha vijana wa nchi hii Kwa swali aliloulizwa.
Kujibu kuwa vijana ambao hawajafanikiwa kupata mikopo inayotolewa na halmashauri watokako kutokana na fedha kidogo zinazokusanywa na halmashauri ama wingi wa...
Spika Tulia amemtaka Naibu waziri Katambi kujibu upya swali la Mbunge wa Chadema Mh Sophia Mwakagenda.
Katambi alisema waliokosa mikopo ni Wakenya.
Tulia amesema kauli ya Katambi imezua tafrani kwa vijana nchini hivyo amemtaka Naibu waziri kuwa Makini na kauli zake
Chanzo: Channel ten
Kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.