Habarini humu waungwana?
Kuna swala mimi linanitatiza juu ya nywira(password), Kwanini wanatusihi kuwa na nywira ngumu ikiwa Kuna uwezekano wa kuweza kudukuliwa..? Let's say mfano niweke nywira hii Kenzy1234,hii watasema ni dhaifu hivyo strong watataka iwe ya mfano huu X#@Bata52,Sasa hoja...