password

  1. Kimara: Polisi wanakagua simu kabla ya kupanda mwendokasi. Wanalazimisha utoe password

    Kutokana na maandamano yaliyofanyika Jijini Dar Es Salaam kupinga Samia kuteka na kuua watu, Polisi bado hawajapoa. Ukienda kituo cha Basi au Daladala, wanakuambia utoa password waangalie kama hauna picha za maandamano. Kama unazo wanakulazimisha uzifute. Wanalazishi hata zile picha za Watu...
  2. Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

    Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone. Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya...
  3. Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

    Kwa wote wanaomiliki wi-fi router au wanaotegemea kuwa nayo badae, ni muhimu sana kufahamu kua ukiset password ili mtu asiye na password asiweze kutumia wi-fi yako ujue umejipotezea tu mda mana bado unaweza kukuta watu wanajiunga na wifi yako kiulaini kabisa na hivyo kama umeweka kibiashara...
  4. BADILI PASSORD ZAKO SASA HIVI: Password bilioni 16 zimedukuuliwa katika uvujaji wa data uliovunja rekodi, Facebook, Google, Apple,

    Data kadhaa za ID vya kuingia hufichua mojawapo ya ukiukaji mkubwa zaidi wa data katika historia, ukiwa na jumla ya ID cha kuingia cha bilioni 16 kilichofichuliwa. Data ina uwezekano mkubwa zaidi kutoka kwa watoa taarifa mbalimbali. HaBARI hii, kulingana na matokeo ya kipekee ya Cybernews na...
  5. N

    Changamoto ya kubadili password ajira portal

    Nimekumbana na changamoto ya kubadili password yangu kwenye account yangu ya Ajira portal ambapo kila nikitaka kubadili kupitia ile njia ya forgot password inaniambia niingize email kisha na tarakimu za siri ila niki submit inaniandikia unable to change password nimejaribu kuwapigia wahusika...
  6. Jinsi ya kufungua simu uliyosahau password

    SOMO LA LEO ♌️: JINSI YA KUFUNGUA SIMU ULIYOSAHAU PASSWORD KWA KUTUMIA KOMPYUTA 💻📱 Kama umesahau password yako (Pattern, PIN, Fingerprint) usikimbilie Kariakoo unaweza kuweka sawa mwenyewe kwa kutumia kompyuta 🧰 VIFAA VINAVYOHITAJIKA 1📍Kompyuta yenye internet 2📍USB cable 3📍Simu iliyo-lock...
  7. Hashcat – Password Auditing

    Kuna hii tool hasa kwa watumiaji wa linux system Ni moja kati ya software bora sana kwenye password cracking Kama inatumia computer yenye GPU jaribu ku run test uone inavyokua rahisi ku break complicated password kulinganisha na CPU
  8. Msaada nimeisahau password ya kuingia ajira portal

    Wadau naomba maelekezo nimeisahau password ya kuingia ajira portal maelekezo tafadhali
  9. Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

    Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba. Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo? Kuna ustawi wa...
  10. Nimerudi tena Baada ya Miaka 2 kwa changamoto za kusahau password, hili tatizo JF mlitizame.

    Kwa kipindi cha muda mrefu niliacha kutumia JF almost 1year na baadae kurudi nikawa nimesahau password yangu, changamoto ilikua kubwa zaidi pake ambapo details zangu nilizofungulia account yaani email na password pia kwa wakati huo siku kwenye matumizi navyo. Kitu pekee nilichokua nacho kichwani...
  11. W

    Msaada: Nataka ku-renew password akaunti ya Yahoo email

    Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code zitatumwa kwenye namba ya simu niliotumia kusajilia account nilishindwa kwasabqbu namba niliotumia...
  12. Wewe ambaye maisha yanakutandika mjini chukua hii password

    Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku? Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani? Muulize mama umekula nini leo? Muulize hayo maswali mawili halafu uone maisha ya mama yako yalivyo huko kijijini. Halafu fanya maamuzi magumu, angalia ni...
  13. Password (nywila) imara ni muhimu ili kulinda taarifa zako katika vifaa vya kielektroniki na programu tumizi

    PASSWORD (NYWILA) IMARA NI MUHIMU ILI KULINDA TAARIFA ZAKO KATIKA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI NA PROGRAMU TUMIZI Password au Nywila imara na ya kipekee ni muhimu ili kulinda taarifa zako na programu tumizi (application) zilizopo katika vifaa vyako vya kielektroniki. Password au Nywila ni ya kwako...
  14. Wanandoa wa siku hizi wanapaswa kupeana Password za Simu au kila mtu na yake?

    Kila siku tunasikia mijadala inayoibuka kuhusu privacy kwenye mahusiano, na swali kubwa ni hili: Je, wanandoa wa kisasa wanapaswa kupeana password za simu zao au kila mtu abaki na yake? Tuko kwenye enzi ya teknolojia, ambapo simu imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya mtu binafsi – kuna wale...
  15. Mitandao ya simu iongeze umakini katika maombi ya ku recover password

    Nimeona malalamiko ya Wadau wakilalamika password zao zilibadilishwa muda mchache baada ya kuibiwa simu zao na fedha kutolewa kwenye account. Huenda mitandao ya simu hukubali maombi ya kubadilisha password kwa namna dhaifu na matapeli kutumia mwanya huo kuomba kubadilishiwa password na kuweza...
  16. O

    Msaada namna ya kubadilisha BIOS password

    Habari za mda wadau wa jf. Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen yake. Ni kwamba huwezi kuwasha wala kuzima kwa kutumia power button. Kwa mda mrefu nilikuwa...
  17. M

    Nimesahau password ya app store nofanyaje

    Wakuu nashindwa download application baadhi baada ya mim kusahau password ya app store nifanyaje ili niweze kupata password
  18. B

    KERO Ajira Portal wapo kweli ofisini? Dawati la msaada ambalo halisaidii kitu

    Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers imekuwa changamoto kuwapata. Utapiga simu muda wote zinatumika, labda wanakuwa very busy kuwahudumia...
  19. W

    Haya ndo Makosa huyafanywa wakati wa kutengeneza "Password"

    Makosa Unayofanya Unapotengeneza Neno la siri: Kutumia Jina lako au Tarehe yako ya kuzaliwa Kutumia Neno la Siri moja kwa akaunti zako zote Kutumia herufi peke yake KUMBUKA Unapounda neno la siri, hakikisha unatumia herufi kubwa na ndogo, namba, na alama za uandishi kwa usalama zaidi. Epuka...
  20. J

    Kivinjari Salama: Miongozo 5 Bora ya Kulinda Faragha Yako ya Kidijitali

    Kadiri biashara zinavyozidi kuelekea kwenye majukwaa ya kidijitali, uwepo wetu mtandaoni na shughuli zetu zimekuwa muhimu kwa kazi zetu za kila siku. Pamoja na ongezeko la uhalifu wa mtandao, kulinda taarifa kutokana na ulaghai na vitisho vya mtandaoni ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Kulinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…