Kutokana na maandamano yaliyofanyika Jijini Dar Es Salaam kupinga Samia kuteka na kuua watu, Polisi bado hawajapoa. Ukienda kituo cha Basi au Daladala, wanakuambia utoa password waangalie kama hauna picha za maandamano. Kama unazo wanakulazimisha uzifute. Wanalazishi hata zile picha za Watu...
Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya...
Kwa wote wanaomiliki wi-fi router au wanaotegemea kuwa nayo badae, ni muhimu sana kufahamu kua ukiset password ili mtu asiye na password asiweze kutumia wi-fi yako ujue umejipotezea tu mda mana bado unaweza kukuta watu wanajiunga na wifi yako kiulaini kabisa na hivyo kama umeweka kibiashara...
Data kadhaa za ID vya kuingia hufichua mojawapo ya ukiukaji mkubwa zaidi wa data katika historia, ukiwa na jumla ya ID cha kuingia cha bilioni 16 kilichofichuliwa. Data ina uwezekano mkubwa zaidi kutoka kwa watoa taarifa mbalimbali.
HaBARI hii, kulingana na matokeo ya kipekee ya Cybernews na...
Nimekumbana na changamoto ya kubadili password yangu kwenye account yangu ya Ajira portal ambapo kila nikitaka kubadili kupitia ile njia ya forgot password inaniambia niingize email kisha na tarakimu za siri ila niki submit inaniandikia unable to change password nimejaribu kuwapigia wahusika...
SOMO LA LEO ♌️: JINSI YA KUFUNGUA SIMU ULIYOSAHAU PASSWORD KWA KUTUMIA KOMPYUTA 💻📱
Kama umesahau password yako (Pattern, PIN, Fingerprint) usikimbilie Kariakoo unaweza kuweka sawa mwenyewe kwa kutumia kompyuta
🧰 VIFAA VINAVYOHITAJIKA
1📍Kompyuta yenye internet
2📍USB cable
3📍Simu iliyo-lock...
Kuna hii tool hasa kwa watumiaji wa linux system
Ni moja kati ya software bora sana kwenye password cracking
Kama inatumia computer yenye GPU jaribu ku run test uone inavyokua rahisi ku break complicated password kulinganisha na CPU
Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba.
Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo?
Kuna ustawi wa...
Kwa kipindi cha muda mrefu niliacha kutumia JF almost 1year na baadae kurudi nikawa nimesahau password yangu, changamoto ilikua kubwa zaidi pake ambapo details zangu nilizofungulia account yaani email na password pia kwa wakati huo siku kwenye matumizi navyo.
Kitu pekee nilichokua nacho kichwani...
Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code zitatumwa kwenye namba ya simu niliotumia kusajilia account nilishindwa kwasabqbu namba niliotumia...
Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku?
Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani?
Muulize mama umekula nini leo?
Muulize hayo maswali mawili halafu uone maisha ya mama yako yalivyo huko kijijini.
Halafu fanya maamuzi magumu, angalia ni...
PASSWORD (NYWILA) IMARA NI MUHIMU ILI KULINDA TAARIFA ZAKO KATIKA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI NA PROGRAMU TUMIZI
Password au Nywila imara na ya kipekee ni muhimu ili kulinda taarifa zako na programu tumizi (application) zilizopo katika vifaa vyako vya kielektroniki.
Password au Nywila ni ya kwako...
Kila siku tunasikia mijadala inayoibuka kuhusu privacy kwenye mahusiano, na swali kubwa ni hili: Je, wanandoa wa kisasa wanapaswa kupeana password za simu zao au kila mtu abaki na yake? Tuko kwenye enzi ya teknolojia, ambapo simu imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya mtu binafsi – kuna wale...
Nimeona malalamiko ya Wadau wakilalamika password zao zilibadilishwa muda mchache baada ya kuibiwa simu zao na fedha kutolewa kwenye account. Huenda mitandao ya simu hukubali maombi ya kubadilisha password kwa namna dhaifu na matapeli kutumia mwanya huo kuomba kubadilishiwa password na kuweza...
Habari za mda wadau wa jf.
Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen yake. Ni kwamba huwezi kuwasha wala kuzima kwa kutumia power button.
Kwa mda mrefu nilikuwa...
Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers imekuwa changamoto kuwapata.
Utapiga simu muda wote zinatumika, labda wanakuwa very busy kuwahudumia...
Makosa Unayofanya Unapotengeneza Neno la siri:
Kutumia Jina lako au Tarehe yako ya kuzaliwa
Kutumia Neno la Siri moja kwa akaunti zako zote
Kutumia herufi peke yake
KUMBUKA
Unapounda neno la siri, hakikisha unatumia herufi kubwa na ndogo, namba, na alama za uandishi kwa usalama zaidi.
Epuka...
Kadiri biashara zinavyozidi kuelekea kwenye majukwaa ya kidijitali, uwepo wetu mtandaoni na shughuli zetu zimekuwa muhimu kwa kazi zetu za kila siku. Pamoja na ongezeko la uhalifu wa mtandao, kulinda taarifa kutokana na ulaghai na vitisho vya mtandaoni ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Kulinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.