NATUFUTA VITZ, PASSO AU STARLET, BUDGET TSH4 MIL

kakamgeni

Senior Member
Joined
Feb 1, 2018
Messages
167
Points
250

kakamgeni

Senior Member
Joined Feb 1, 2018
167 250
Habari zenu wananzengo, kama tangazo linavyosomeka hapo juu, natafuta gari ya kununua iwe TOYOTA Vitz old model, Passo Piston 4 au Starlet. Namba Ianzie B,C au D Iwe Kwenye hali nzuri nikiwa na maana Full Air Condition na Engine isiwe cherehani au inayopiga manyanga.

Kwa walio serious wanicheki kwa namba : 0620 33 15 59
 

Forum statistics

Threads 1,392,715
Members 528,684
Posts 34,116,026
Top