pascal mayalla

  1. JamiiForums Tanzania Sielewi na naomba mnitofautishie

    Katika kutolewa tongotongo juu ya meditation nikawa very eager and interested to practice, lakini nikakutana na vitu viwili ,AP na Lucid dreamer. katika fuatilia threads nikagundua AP ni advanced and sometime is danger ila Lucid ni safe and tranquil to practice. Sasa how naona process ni same...
  2. JamiiForums Tanzania Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

    Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?" Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili...
  3. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla apata ajali

    Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani Mkoani Dodoma. Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…