pascal mayalla

  1. Heparin

    Maoni ya Pascal Mayala kuhusu Mwigulu yawaamsha TCRA, Jambo TV yalimwa barua ya onyo kali, kuwa chini ya uangalizi kwa Miezi 6

    Anaandika Aloyce Nyanda: Pole mkurugunzi wa jambo Tv online ndugu John Marwa kuwa Makini zaidi huu ni mtego wa mwisho Taarifa nilizopata toka vyanzo vyangu leo tarehe 5 ni kwamba kamati ya muudhui ya TCRA imewapa ONYO KALI JAMBO TV, kwa mujibu wa Kanuni ya 21 (2) (3) (a) ya Kanuni za maudhui...
  2. 888I

    Msimamo Wangu kuhusu Pascal Mayalla

    Wana-JF na Wanahabari wenzangu, Leo nimeguswa kutoa neno baada ya kuona barua ya Bodi ya Ithibati (JAB) ya tarehe 03 Machi 2026, ikitoa onyo kwa mwandishi mwandamizi Pascal Mayalla na mwenzake Wilberforce Ngoto. Kama mwanahabari mdogo kwa Senior Mayalla, siwezi kukaa kimya wakati misingi ya...
  3. Sifi Leo

    Pascal Mayalla na mwenzake waendeleza ligi dhidi ya JAB, Asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila uhuru wake wa kutoa maoni usiingiliwe

    Ngoma bado NZITO, ahahahaa Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee! Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe. Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Pascal Mayalla hapo lazima wamnase. Kwa sababu hakuna uthibitisho wa kuchambua mtu hisia na mihemko yake

    Hamjambo wakulungwa! 1. Robert ninapoandika maandiko na makala zangu. Mwanasaikolojia atakuwa na uwezo wa kuchambua Makala na content niliyoandika lakini hataweza kuchambua hisia, mtazamo na kilichopo moyoni mwangu. 2. Mfano, wasomaji wengi wa Makala zangu huniona kama mwanaume mchukia...
  5. G

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amua sasa kusimama upande wa haki

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
  6. M

    Kwa nini Pascal Mayalla wa JF hajawahi jushinda kesi yoyote mahakama za Tanzania pamoja na kunasibu ni wakili msomi?

    Kama ni yupo Competent kwa nini hajawahi kutoboa hata mara moko. Zaidi ya kuja kujaza makala ndefu ambazo hazina kichwa wala miguu. Maana kadili anavyo itetea CCM ndio inazidi kuchukiwa. What is wrong Paskary?
  7. jannelle

    Leo ndio nimemuona Paschal Mayala hapa Dodoma, kumbe Grand Pa kabisa

    Namsikia sana humu bt kumbe ni mtu mzima tu, sasahivi kabla sija comment chochote humu nitaanza na shkamoo😀, weeh wampe tu Teuzi anyways ilikuwa poa kumuona, japo nae hajanijua, cheers uncle
  8. Poppy Hatonn

    Pascal Mayalla yuko wapi?

    Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea? Hawa watu wanasema wanataka kuandamana ni kweli wanataka kuikomboa nchi au wanataka kurudisha nyuma maendeleo na kutupeleka kwenye Stone Age ?
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    Pascal Mayalla kachanganyikiwa?

    Wakuu, maandiko ya Pascal Mayalla hivi karibuni yanafanya nimtilie shaka, ni kama mtu aliyetengwa na anajaribu kujisogeza karibu na waliomtenga lakini wapi. Napendekeza asaidiwe haraka iwezekanavyo. P.
  10. B

    Naona 'Kenge' Wameanza Kujitambua

    Habari wana jukwaa. Ni matarajio yangu kuwa mnaendelea vyema. Leo katika kufuatilia kwangu kile kinachoendelea kwenye harakati za kuwapata wabunge na madiwani ndani ya chama tawala, nimefurahishwa na baadhi ya wananchi wa baadhi ya maeneo hapa kwa jinsi wanavyoonesha 'reaction' kwa waliokuwa...
  11. S

    Eeeh! Kumbe ndiyo maana mwanabodi Pascal Mayalla hapati uteuzi!!!!?

    Jamani jamiiforum ni kisima cha maarifa. Japokuwa mm hutoa comments za mizaa kwa wingi lkn kuna vitu naviokota humu. Ktk moja ya nyuzi zinazoongelea kesi ya uhaini ya bw. Lisu kuna mdau katoa comment inayoeldzea kisa cha mzee Mayalla, babake Pascal Mayalla kuwa ni miongoni mwa watu...
  12. Richard

    Pascal Mayalla huu ni wakati wako wa kutoa neno wafikiraje mkutano wa Askofu Gwajima na waandishi wa habari?

    Nimependa Press Conference ya Askofu Gwajima ni fupi na inojitosheleza. Kaongelea masuala makuu matatu. 1. Uteuzi wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwamba ni lazima wathibitishwe na kamati ya bunge ya Ulinzi na Usalama. lakini "crucially", ni kwamba ni lazima utenguzi wao pia ni lazima...
  13. D

    PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

    Mwandishi nguli, Paschal Mayala akielezea aliyopitia baada ya kumuuliza swali Rais Magufuli lenye sehemu mbili, swali hilo lilihoji mamlaka aliyotumia Rais Magufuli ya kukataza mihimili mingine ya Serikali kusafiri na kukataza mikutano ya kisiasa ilhali mikusanyiko na uhuru wa kutoa maoni...
  14. britanicca

    Pascal Mayalla: Swali nililomuuliza Magufuli liliniletea shida sana kwenye shughuli zangu, sikutekwa kwa kuwa nilikuwa Kabila sawa na Magufuli

    Kayasema haya kupitia video ya mahojiano kuhusu swali alilomuuliza Magufuli la alipata wapi mamlaka ya kuzuia Bunge live, na kuzuia mikutano ya hadharani, Kwa kifupi 1. Alinyang’anywa press card ya kuendelea Kama muandishi wa Habari 2. Alizuiliwa kuendelea na shughuli zake za kutanganza na...
  15. B

    Tuna aina ya viongozi ambao Hawawezi kuongea na wananchi angalau hata kwa nusu saa pasipo kusoma notisi walizoandaliwa!

    Asalam Aleykum wana jukwaa. Leo nimeona niongelee hili suala la baadhi ya viongozi ambao kwa upande wangu nawaona kama hawana uwezo na wengi wana nafasi walizo nazo huenda kutokana na kubebwa na mfumo au kikundi cha watu au mtu fulani. Hivi unakuwaje kiongozi mkubwa halafu unachoweza kuongea...
  16. B

    Mfumo wetu ujifunze kuwa na mbadala ili kuzuia ya Libya na kwingineko kwani ni vigumu kuzuia Mabadiliko

    Asalam Aleykum wana JF. Ama baada ya salamu hizo, niende kwenye hoja moja kwa moja. Ndugu zangu, upo usemi usemao "Duniani, kitu pekee ambacho hakibadiliki, ni mabadiliko!". Mabadiliko hayakwepeki kwa hali na mali. Hivyo ni vizuri mara zote kujiandaa kukabiliana na mabadiliko katika maisha...
  17. T

    Pascal Mayalla na the "Voice From Within" ila ni "The Speaker From the ''within''

    Nikimalizia Johnmtembezi hapa katika vienga vya kutunga sheria, ili baadae tuwahi majukumu. Huyu jamaa na sauti zake za ndani hasa za tahadhari sisichukuliwe kirahisi. Malaika wananamna nyingi na hujui huwa wanakaa na akina nani. Yeye aweza kuwa mmoja tu wa anayetumiwa na YEYE kwa wale From...
  18. B

    Huu utatu wa Lissu, Heche na Lema hautaiacha CCM salama

    Asalam Aleykum, Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristu, Mwanakondoo Ameshinda, Bwana ni Mwema. Ama baada ya salamu hizo, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu. Baada ya uchaguzi wa CHADEMA kukamilika, wale waona mbali lazima walijua kile ambacho kitaipata CCM. Hawa jamaa watatu ni hatari...
  19. T

    Pascal Mayalla kuna Salamu zako huku

  20. B

    Hii slogan ya kazi na utu haitatufikisha popote

    Hii kaulimbiu imekaa kipigaji sana. Haitatufikisha popote kama Taifa. Zaidi zaidi, tutarajie wachache walioko madarakani kutajirika wao pamoja na washirika wao ilhali wengi wa raia wakiishia kwenye umaskini uliotopea. Kazi ya kuendeleza Taifa, si lelemama. Kile anachokifanya Rais Capt...
Back
Top Bottom