My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!!
Aisee kuna wadau au jamaa zetu au watu wetu wa karibu au wafanyakazi wenzetu,mkiwa pamoja ni watu wa maana tu...