pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa bei za Dhahabu na Mahindi duniani; Mawaziri Biteko na Bashe na Gavana BoT mmejipangaje?

    Amani iwe nanyi, Habari kuu kwa sasa duniani ni kupanda kwa bidhaa adimu kutokana na vita vinavyoendelea vya Russia v Ukraine. Bidhaa adimu kama mafuta na Gesi zinazidi kupanda kwa kiwango cha kutisha na Mataifa yenye mafuta na Gesi Afrika yameanza kukamatia fursa kuongeza mapato yake kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kushuka kwa influence ya Marekani kwenye muziki mzuri pamoja na movie

    Habari wana JF.. katika kipindi cha hivi karibuni kama miaka 5 au 6 nyuma kwa wale wafatiliaji wa entertainment hizi mbili muhimu kwa nchi ya marekani nazungumzia muziki na movie wamenotice kua kuna upungufu kidogo kwenye influence ya hivi vitu kwa sasa. Kwanini???? TUKIANZA NA MUZIKI, Baada...
  3. JamiiForums Tanzania GSM pamoja na Kupigiwa Magoti na TFF dhaifu ya Rais Karia ili mrudi na mnarudi kweli, jueni kuwa Simba SC hatutovaa Nembo yenu

    Mtingisheni huyo huyo Rais wa TFF Wallace Karia ( ambaye nilikuwa namheshimu ) lakini sasa nimeanza Kumdharau ila siyo Sisi Werevu SC (Simba SC) kwani hakuna mtakachokipata Kwetu. Tunajua kuwa muda wowote GSM mnarejea kuendelea kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League baada ya Kupigiwa Magoti...
  4. JamiiForums Tanzania Pamoja na kupitia wakati mgumu CHADEMA inazidi kuimarika mioyoni mwa Watanzania

    CHADEMA ipo mioyoni mwa watanzania. CHADEMA inapitia magumu ya kipesa na hata ya kukandamizwa na wenye dola. Lakini inaimalika kila siku, na uzuri inaimalika ndani ya mioyo ya watanzania. Watanzania wana imani na chama makini chenye nia ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kuamini haya yanatokea, why kill innocent people? Mungu awe pamoja na wote wanaoadhirika na vita hii

    Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona. Mungu awe pamoja na wote Ukraine/Russia na wengine watakaoadhirika na vita hii. Vyombo vinavyosukia pia...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wahudumu zaidi ya elfu mbili wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wapiga picha ya pamoja ya ukumbusho

    Wafanyakazi na wanaojitolea zaidi ya elfu mbili wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wamepiga picha ya pamoja ya ukumbusho tarehe 21 mwezi huu katika Uwanja wa Michezo wa Taifa mjini Beijing, China baada ya michezo hiyo kumalizika. Waliosimama kwenye barafu ni wahudumu...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Bashungwa "anatosha" pale TAMISEMI? Pamoja na Rais kutoridhishwa na mambo ya Mkoa wa Mara, bado hajachukua hatua

    Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum. Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI...
  8. JamiiForums Tanzania Tanganyika na Zanzibar kutekeleza kwa Pamoja Anwani za Makazi

    TANZANIA BARA, ZANZIBAR KUTEKELEZA KWA PAMOJA ANWANI ZA MAKAZI  Utekelezaji Tanzania Bara wafikia 3% na Zanzibar 7%  Ifikapo Mwezi Mei, 2022 utekelezaji unahitajika ufike 100%  Anwani kupatikana kwenye programu tumizi maalum ya TEHAMA ya NaPA  Kutekelezwa kwa Shilingi Bilioni 28...
  9. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa tawi la ACT wazalendo Tandale pamoja na wanachama wote watangaza kujitoa katika chama hicho

    Mwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja baada ya kufanya tathimini ya mwenendo wa viongozi wakuu wa Chama hicho
  10. JamiiForums Tanzania Je, upo tayari kupima VVU na mchumba, mchepuko au mkeo na kupokea majibu pamoja?

    Habarini wadau, Swala la kupima limekuwa swala gumu sana mana vijana wanauza mechi, au kuteleza sana pasipo sababu za msingi pia kujisahau sasa ukiambiwa upime na majibu mpewe kwa pamoja vipi wadau? Wa kimasihara na wanunua dada poa na wale wa massage wakushusha mlima vipi mnasalimika? Au...
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwekezaji tunaeweza fanya biashara pamoja kwenye idea yangu ya bidhaa 6 awepo Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavosema wakuu Nahitaji mtu anaweza akawekeza Kwenye hili wazo la biashara.WAZO LENYEWE LIPO HIVI👇👇👇👇👇👇👇 Lengo kubwa nikuwasaidia wauza migahawa kuendesha biashara zao hata kama hawana mtaji na lakini pia kutanua biashara zao.Ipo hivi mama ntilie anavoamka asubuhi atataka kununua...
  12. JamiiForums Tanzania Uliza Chochote Kuhusu Magari ya Mitsubishis Fuso Canter Pamoja na Spare zake

    Kama unatafuta Mitsubishi fuso au Canter gari madogo , pamoja na Spare zake kutoka Japana wasiliana nasi kupitiana namba hii chini pia Spare za mtumba zenye ubora zipo aina ya Fuso na Canter utapata . Tuambie aina ya Spare unayotaka au Gari gani unataka nikupe bei serous buyers wasiliana...
  13. J

    JamiiForums Tanzania WAZIRI BASHE: Tunaanzisha vituo vya huduma ya pamoja

    "Tunaanzisha vituo vya huduma ya pamoja katika maeneo ya Nyanda za juu kusini, katika mpaka wa Namanga pamoja na Dar es Salaam. Uanzishwaji wa vituo hivi unalenga vituo hivi unalenga katika kuongeza thamani ya bidhaa zetu za Tanzania na kuzipa hadhi katika masoko ya kimataifa ikiwa ni pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Tumsaidieni Rais Samia kufikia malengo ya pamoja; Kumvunja moyo na kumchanganya kwa unafiki na roho mbaya sio sawa

    Ndugu zangu, ili tufanikiwe kwenye jambo lolote kama taifa, ni lazima tuwe na ‘collective effort’ kuyaendea mafanikio hayo. Hata tuwe na Rais mwema na muadilifu kama Malaika, hatuwezi kuwa na taifa lenye uadilifu na mafanikio ya maana ikiwa tutafikiri kuwa yeye pekee ndio mwenye jukumu la...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kujitutumua kwa nguvu zote. Watanzania Bara hawana mpango na Act Wazalendo na walishaitoa mioyoni kabisa

    Kinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu Maalim Seif. Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Udhaifu Wote wa Simba, Watachukua Kombe la Shirikisho

    Naomba mtunze hii kumbukumbu, pamoja na udhaifu tunaouona kwa timu ya Simba, hawa ndio mabingwa wa kombe la shirikisho 2022. Tunza hii..
  17. JamiiForums Tanzania Pamoja na kupanda bei, nyama ndiyo bidhaa inayonunuliwa zaidi

    Habari wana jamvi katika utafiti wangu bao siyo rasmi nyama imeendelea kuwa ni bidhaa inayonunuliwa kwa wingi. Tafiti inaonesha kuwa matumizi ya mboga ya nyama yamezidi kwa sababu ni mboga ambayo maandalizi yake hayana gharama kubwa. Watu wenye kipato cha wanaweza wakanunua nyama robo kilo na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja na umalaya wangu hili nimelivuka

    Wife anafanya kazi kwenye taasisi flani, kipindi wife akawa amejifungua wageni nyumbani wakawa wanakuja, sitasahau jpli moja nimeshinda nyumbani kuna ndugu zangu walikua wanakuja kumjulia Hali wife na mtoto. Before ndugu zangu hawajafika walikuja wafanyakazi wenzake na wife so ikabidi wife...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…