pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Pamoja na kukaa rumande siku 20. Kamanda wa CHADEMA yupo imara. CCM imechokwa CCM imechokwa

    Ushujaa wa hali ya juu👇 Mahakama ya Wilaya ya Geita imemwachia kwa dhamana Mwenyekiti wa CHADEMA Geita Vijijini, Neema Chozaile, baada ya kushikiliwa mahabusu kwa zaidi ya siku 20. Chozaile anakabiliwa na shtaka la kula njama za kumuua askari polisi, shauri ambalo linaendelea kusikilizwa...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda 2027 AFCON Panic: No Namboole, No PAMOJA – Prime Minister Nabbanja Warns

    Ugandan Prime Minister, Robinah Nabbanja, has demanded immediate answers regarding the delayed renovations at Namboole National Stadium, warning: “No Namboole, No AFCON.” With AFCON 2027 preparations reportedly stalling in Uganda, the Prime Minister is not hiding her frustration. Fearing that...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Muunganiko wa vita kubwa mbili,Urusi v Ukraine na Iran v USA pamoja na Israel,ni Wazi Sasa tuko kwenye vita kuu ya tatu ya Dunia

    Wanajamvi,vita kubwa mbili tofauti zinazohusisha ma Supapawa wa asili,hivi Sasa zinapiganwa hapa Dunia. Vita ya kwanza ni Urusi dhidi ya Ukraine. Vita ya pili ni Iran dhidi ya USA pamoja na Israel. Vita hizi mbili zimeigawa Dunia mara mbili yaani Urusi inapigana na Ukraine,ambapo Ukraine...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanamke mwenye miaka 34 sina mtoto na sijawahi kuolewa Naishi Dodoma, nimeajiriwa Elimu yangu ni ngazi ya shahada Dini yangu ni Mkristo Mwili wangu ni kawaida Afya yangu ni njema Mume wangu awe na umri kuanzia 34 hadi 45,asiwe mume wa mtu nahitaji wa kwangu Dini yake awe mkristo Mwili...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mdada wa aina hii asikukubali tu kwa hali ya kawaida uliyonayo mjenge pamoja maisha? Kwanini sisi wapambanaji wa chini ni ngumu kuwapata?

    Kwanini dharau zinakuwa nyingi kutoka kwa wadada wa aina hii? kuna shida gani tukajenga wote maisha tokea chini? Kwani ni lazima unikute na gari tayari? Hatutaki wa aina yenu wa telegram, tunataka mkiwa warembo mtukabalie na tutawafanyia makubwa mambo yakiwa makubwa.
  6. JamiiForums Tanzania Watu wanajihusisha na mambo yao; Ni wewe tu unawawazia

    Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo. Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  8. JamiiForums Tanzania Usiwe mchoyo bwana, ebu muite MOD yoyote umnunulie hata chupa tatu mmalizie wikiendi pamoja😆

    Bwana muheshimia mod wa JF almaarufu kama 255Fixer niko hapa velvet nusu kreti ni yako mkuu
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi kukamilika hatuwezi kukaa vyama vyote tukaunda serikali pamoja?

    Habari Nashauri baada ya uchaguzi inawezekana kabisa tukakaa pamoja wale walioshinda na vyama vyote vya upinzani tukaunda serikali na serikali ikawa na viongozi kutoka kwenye chama chochote ili mradi ana uwezo mzuri wa kufanya kazi sio lazima waziri atoke ccm inawezekana akatoka chauma au act...
  10. O

    JamiiForums Tanzania MSAADA JUU YA KUAPLY LESENI YA CLINIC MEDICINE PAMOJA NA AVN Number

    👉Habari tunafanya application za Maombi ya leseni za Afya Clinical medicine Hprs, Pamoja na Avn number, 👉Pia Application za Vyuo 👉 Application za Maombi ya Mkopo WA elimu ya juu 👉 Application za vyeti vya kuzaliwa Rita pamoja na UHakiki WA vyeti Contacts 0622569980
  11. JamiiForums Tanzania Polisi: Changamoto hazitatuliwi kwa kurushiana Mawe, kufanya Vurugu bali kwa kukaaa pamoja, kuongea na kusahihisha kama Watanzania

    Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Alphonce Misime akieleza hali ya Ulinzi na Usalama katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), amezumgumzia Amani ila hakuzungumzia haki. Kasema Baraka ambazo ametuwezesha Mwenyezi Mungu Pumzi inatuwezesha kufanya shughuli mbalimbali za...
  12. JamiiForums Tanzania Wakili Manyota: Wanaoishi pamoja zaidi ya miaka miwili wanaweza kutambulika kisheria kama wanandoa

    Wakili Richard Manyota amesema kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, watu wanaoishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili na kutambulika na jamii kama wanandoa wanaweza kutambuliwa kisheria kuwa ni wanandoa hata kama hawajafunga ndoa rasmi. Amesema sheria inatambua aina tatu za ndoa ambazo...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Pamoja na changamoto kubwa ya uongozi tuliyonayo lakini nimegundua nimegundua wananchi wengi nao ni Changamoto baada ya kuung'oa mfumo ovu kazi bado

    Ndugu zangu, mara nyingi tumekuwa tukilaumu uongozi kwa matatizo mengi yanayoikabili nchi yetu. Ni kweli, kuna changamoto kubwa za kiuongozi. Lakini kadri ninavyoangalia kwa undani, nimegundua jambo moja muhimu: wananchi wenyewe ni sehemu ya changamoto hizo. Tukumbuke, viongozi hawaanguki...
  14. JamiiForums Tanzania Pamoja na vita maisha ya Ukraine yaendelea kawaida na wanakula bata zaidi ya Mwanamatumbi

    Juzi nilienda lviv japo ilikuwa naaminishwa kuwa wanaume wakiingia hawaruhusiwi kutoka, Lakin nimeingia nikatoka kawaida watu shughuli zao zinaendelea kawaida tu Ila maeneo ya Mashariki huko dnipro ! Khakive ndo kuna shida mizinga wanaisikia kawaida tumeruka music na mke wangu na familia then...
  15. JamiiForums Tanzania Pamoja tusonge mbele - Saba Saba tunatoka 7/7

    🇹🇿 #MariaSpaces ✍🏿 🔥💪🏽7/7 loading So proud of Gen Z Tz 🇹🇿 organizing and mobilizing themselves for the mega protest! The govt ‘s effort to spin this as some chaos is nothing but pure LIES! #KeepEyesOnTanzania We will document EVERYTHING Msiogope kabisa maandamano ya amani ni halali na iko...
  16. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo watu wenye umri wa miaka 30 na kuendelea wanafanya na vijana wa kizazi cha Gen Z wanaona ni ya kushangaza ni pamoja na?

    - Kupiga simu badala ya kutuma ujumbe.Gen z wanapendelea kutuma ujumbe kupiga simu wanaona ni kuingilia uhuru wao binafsi. Mambo gani mengine yakushangaza funguka?
  17. H

    JamiiForums Tanzania UTEKAJI: Ujasiri wa Bodaboda Umeokoa Uhai wa DJumbe, Funzo: Ujasiri Wetu Wote kwa Pamoja Utaokoa Wengi. Bodaboda Wapewe Tuzo.

    Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba kundi la watekaji lililoongozwa na mzanzibari, lilimteka msaidizi wa Lisu bwana DJumbe akiwa anaingia nyumbani kwake usiku saa 4. Baada ya Jumbe kupiga kelele, bodaboda wakaanza kulifuata gari la watekaji kwa nyuma. Mashetani hawa watekaji walivyoona...
  18. JamiiForums Tanzania VIDEO: Allan Macha (rafiki wa David Djumbe) " David Djumbe alitekwa pamoja na gari yangu".

    Allan Macha (Rafiki wa David Djumbe) aelezea mkasa halisi wa tukio la kutekwa msaidi wa Lissu , David Djumbe.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia kama ana uchungu na Watanganyika kwanini hamchukulii hatua Afande Mafwele pamoja na tuhuma zote hizi?

    Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar. Alafu tunaumizwa sana. Maana utekaji umekuwa ukiumiza amani ya mioyo ya watu. Angalia tukio la Sativa. Kwenda kutupwa porini na...
  20. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuja Tanzania uso wa Rio Fernand hauna Tabasamu

    Guys inaonekana kalazimishwa kuja TZ.body language imekataa kabisa aha hanha ila sisi ndo tunashoboka hatari. Ukimwangalia yaani kama haelewi kinachoendelea endelea anabaki kushangaa shangaa tu.na madrama yenu. .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…