kitonsa
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 1,211
- 2,636
Leo nilikuwa kwenye kampeni fulani Sinza, pale nyuma ya hospitali ya Sinza Palestina, nikapita njia nyuma na hospitali nikakuta kuna kibao kimeandikwa "USIPITE HAPA"
Kwa kuwa najua kusoma nikarudi nyuma, ila niliona kuna WANAJESHI
Swali langu ile njia kwa nini imefungwa?
NB: Nasikia ukipita pale unarushwa kichurachura mpaka BASI.
Kwa kuwa najua kusoma nikarudi nyuma, ila niliona kuna WANAJESHI
Swali langu ile njia kwa nini imefungwa?
NB: Nasikia ukipita pale unarushwa kichurachura mpaka BASI.