palestina

  1. Huihui2

    Israel inatambulika kwenye Biblia na Quran, Palestina hatajwi popote

    Uchambuzi wa maandiko matakatifu ya Biblia na Quran unaonyesha kuwa neno Israel lina mizizi ya kina na ya wazi katika vitabu vyote viwili, huku neno Palestina likikosekana kama jina la nchi au taifa ndani ya maandiko hayo ya asili. Katika Biblia, neno Israel linatokea zaidi ya mara 2,500. Jina...
  2. Roving Journalist

    Manispaa ya Ubungo yaomba radhi kwa mishahara kuchelewa katika Hospitali ya Sinza Palestina

    TAARIFA YA UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA UCHELEWESHAJI WA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA MIKATABA KUPITIA MTANDAO WA JAMII FORUM TAREHE 08/03/2026 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kuufahamisha umma kuhusu malalamiko yaliyowasilishwa na watumishi wa mikataba wa hospitali ya Sinza...
  3. A

    KERO Responded Watumishi wa Mkataba Hospitali ya Sinza Palestina tunacheleweshewa mishahara, kila tukiuliza wanasema “Next week”

    Mimi ni mtumishi wa mkataba na hudumu katika Kituo cha Afya cha Sinza Hospital (maarufu kwa jina la Hospitali ya Sinza Palestina) kilichopo Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam. Kero yangu ni kwamba Watumishi kuanzia Wauguzi wasaidizi (nurse), Madaktari wote wa Mkataba tunakumbana na changamoto ya...
  4. Mhaya

    Kobazi Wanashangiliaga Ujinga, Palestina alipoteza Iran nae Kapoteza

    Moja ya vitu vinavyoniuzi ni kuona wavaa Kobazi wakiwa wanashangilia pale vita vinapoanza. Mfano Palestina alipoanza kufanya mashambulizi pale Israel. Wavaa kobazi walianza vifijo na ndelemo, wakisema Israel lazima apotee. Mambo yakageuka Israel ikaanza kugawa dozi haswa. Wavaa kobazi wakaanza...
  5. O

    Mamlaka ya Palestina imelaani mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi za Kiarabu

    Palestinian Authority imelaani mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi za Kiarabu, ikisema hatua hiyo ni ukiukaji wa mamlaka ya nchi husika, inahatarisha usalama wa raia, na inaweza kuongeza zaidi mzozo na kuyumbisha utulivu wa Mashariki ya Kati. Mamlaka hiyo imetoa wito wa kujizuia na kusisitiza...
  6. Sir John Deere

    Hamas watakuwa Wapumbavu kama watakubali mpango wa Donald Trump kumaliza mgogoro wa Israel na Palestina

    Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel. Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair. Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka...
  7. Mhaya

    Waislamu waziba barabara Canada wakishinikiza Palestina iachwe huru, watu wahoji kwanini wasiende kuandamana huko uarabuni

    Nchi nyingi za Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zikikariwa na jamii ya watu wa Dini ya kikristo, Nazungumzia Amerika Kaskazini, Amerika Kusini na Ulaya. Lakini hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la waarabu kutoka Mashariki ya Kati na Waafrika ambao upeleka tamaduni zao katika nchi hizo na...
  8. Mafyangula

    Zaidi ya waandamanaji 100,000 waandamana kuiunga mkono Palestina

    Hivi ndivyo zaidi ya waandamanaji 100,000 wanaounga mkono Palestina walivyojaa mitaa ya Berlin jana Septemba 27, wakilaani uungaji mkono wa Ujerumani kwa vita vinavyoendelea vya Israel dhidi ya Gaza na kutaka kusitishwa mara moja kwa mauzo ya silaha na kuungwa mkono na jeshi. ==============...
  9. Ritz

    Netanyahu; kutambuliwa kwa Palestina na Uingereza 'tuzo kwa Hamas

    Wanaukumbi. Netanayahu anaanza kutapatatapa na kulia lia. Kama kawaida yake anataka kuonewa huruma washirika wake wakubwa. Uingereza, Canada, Australia, Ufaransa, ambao walikuwa wanampa silaha na pesa kwenda kupigana na Hamas wamechoka sasa kuona misaada yao inaenda kuuwa watoto na raia...
  10. Dalton elijah

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa kulitambua rasmi taifa la Palestina

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa Uingereza kulitambua rasmi taifa la Palestina zaidi ya miaka 100 baada ya Azimio la Balfour kuunga mkono "kuanzishwa kwa makazi ya kitaifa ya Wayahudi nchini Palestina", na miaka 77 baada ya kuundwa kwa taifa la Israel chini ya Mamlaka...
  11. Ritz

    Belgium, kutambua taifa la Palestina katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, kuiwekea vikwazo Israel

    Wanaukumbi. Ubelgiji itaitambua taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa baadaye mwezi huu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji Maxime Prevot alitangaza Jumanne, akiongeza kwamba vikwazo vitawekwa kwa serikali ya Israeli. "Palestina itatambuliwa na Ubelgiji katika kikao cha...
  12. ELI COHEN

    Kituu pekee cha kukikomboa kutoka palestina na pawe huru ni hamas, muslim brotherhood, IRGC na uislamu wa itikadi ya msimamo mkali.

    Wala gaza sio wahanga wa uyahudi. Wala gaza sio wahanga wa u-magharibi. Bali gaza ni wahanga wa kufanyika midoli ya jihadi uchwala. Masikini kwa bahati mbaya hawatakaa hawaelewe kwa maana tangu utotoni wamefundishwa kumchukia mbwa wa jirani wakati wa nyumbani kwake ndio anakula kuku wake.
  13. Echolima1

    Viongozi wa Palestina wapiga marufuku kuingia Marekani

    BREAKING: Viongozi wa Palestina WAPIGWA MARUFUKU kuingia Marekani. Katibu wa Jimbo Rubio anazuia visa vyao kwa sababu ya uhusiano wao wa kigaidi na "kulipa-Fadhila kwa Magaidi" pesa za damu. Marekani HAITAWAPA thawabu wale wanaotukuza mauaji.
  14. Webabu

    Umati mkubwa wa wacheza muziki London wagombea bendera ya Palestina kabla kujirusha rusha

    Imekuwa ni mtindo mpya unaoenea kwa kasi duniani baada ya watu kuona ukweli wa wanachopigania wapalestina wakiongozwa na Hamas.Matamasha ya muziki yamekuwa yakianza kwa kampeni ya Palestina huru. Hivyo ndivyo ilivyotokea hapo juzi nchini Uiengereza wakati umati mkubwa uliokuwa ukitumbuizwa na...
  15. Ritz

    Baada washirika wake UK, Germany, Italy, Australia, Canada kumwambia Netanyahu usipomaliza vita Sept tutalitambua taifa la Palestina akubali kumaliza

    Wanaukumbi. Baada ya washirika wake wa Ulaya, Uingereza, Ujerumani. Ufaransa. Canada, kuwaambia Israel kuwa watalitambua taifa la Palestina Netanyahu kaufyata na majigambo yake kuwa atapambana na Hamas hata kama watakuwa peke yao sasa amekubali kumaliza vita vya Gaza. Waziri Mkuu wa Israel...
  16. mcTobby

    Mfahamu Robert Ames. Afisa wa CIA aliyewakutanisha Yitzhak rabin P.M wa Israeli na Yasser Arafat wa palestina

    Ilikuwa ni siku ya jumatatu ya mwezi wa 9 mwaka 1983. Siku ambayo anga lilikuwa angavu na bluu ikimaanisha hali ya joto kiasi ndani ya makao makuu ya nchi ya marekani Washington d.c. Hakika siku na tarehe hii ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na watu wengi na sio tu wamarekani bali...
  17. The Zanzibar Echo

    Ureno kutafakari ikiwa itaitambua Palestina kama taifa huru

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Ureno Luis Montenegro imetangaza Alhamisi kuwa itatathmini iwapo itaitambua Palestina kama taifa huru wakati wa hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa mwezi Septemba mwaka huu. Ufaransa, Uingereza na Canada ni mataifa ya hivi karibuni zaidi yaliyotangaza azma hiyo, hatua...
  18. Webabu

    Palestina imeshatambuliwa na mataifa 147 zamani na haijasaidia chochote.Huu utambuzi wa nchi za Ulaya na Canada ni ujanja mwengine basi, wa maangamizi

    Tangu wiki hii kuanza na Ufaransa kutoa tamko la kuja kuitambua Palestina mwezi Septemba imekuwa ni habari kubwa bila sababu. Mataifa mengine matatu ambayo ni UK na Canada nayo yametia nia hiyo muda huo ambao kwa mwendo wa vifo vya njaa wapalestina watakuwa wamebaki wachache sana. Habari hizo...
  19. R

    Canada kuitambua Taifa la Palestina Mwezi Septemba

    Canada imetangaza kuwa inapanga kuitambua rasmi Palestina kama taifa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba, alieleza Waziri Mkuu Mark Carney, hatua inayoongeza shinikizo kwa Israel wakati njaa ikizidi kuenea Gaza Tangazo hili linakuja baada ya Ufaransa kusema wiki iliyopita kuwa...
  20. Webabu

    Ufaransa ili kuitambua Palestina yazitaka nchi za kiarabu kuwalaani Hamas, Na kwa ujinga wao watafanya

    Tabia za wafaransa daima ni kuwatega binadamu wenzao watende ambacho ni kwa faida zao kwa kwango cha kuwadhalilisha bila kujali ubaya wake. Hata majaribio ya chanjo za corona walitaka zifanywe kwa waafrkia wenye rangi nyeusi. Sasa waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot amesema...
Back
Top Bottom