option

In finance, the style or family of an option is the class into which the option falls, usually defined by the dates on which the option may be exercised. The vast majority of options are either European or American (style) options. These options—as well as others where the payoff is calculated similarly—are referred to as "vanilla options". Options where the payoff is calculated differently are categorized as "exotic options". Exotic options can pose challenging problems in valuation and hedging.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Uhamiaji wameondoa uwezekano wa kuangalia ombi la passport kwenye website yao?

    Kuna option ilikuwepo kwenye website ya uhamiaji wakati mtu akiwa ameomba passport anaweza fatilia kuona ombi lake limefikia wapi, lakini kwa sasa kwenye website hiyo ya uhamiaji wameitoa hiyo option, so imekua vigumu mtu kujua ombi la passport limefikia wapi.
  2. M

    Nini kinaendelea Facebook mpaka wameondoa option ya kutafuta post na vipengele vya kuchuja ?

    Kwa sasa uki 'search' facebook matokeo yanakuja kwa mchanganyiko wa post, picha na video bila mpangilio maalum. Hakuna sehemu ya kuchagua uone post peke yake Hakuna sehemu ya kuchuja posti mpya, kwa mwaka, ulizoziona, n.k.
  3. Y

    KERO CT scan na MRI kwanini mgonjwa hapewi option ya kuchagua?

    Habari Wana JF Kunaswala Moja ambalo naona kama halipo sawa. Ukifwatilia kiundani tofauti ya vipimo hivi vya X ray,CT scan na MRI unagundua kua MRI nikizuri nahakina mazara sababu kinatumia sumaku ila X ray na CT vinatumia mionzi ambayo inapelekea Baadhi ya sell kufa ndiomaana hata ufanywaji...
  4. Hharyson

    MTEJA AMETUPIGIA NA KUWA ANAHITAJI NYUMBA KUBWA (6BEDROOMS)NA YENYE MUONEKANO WA KISASA AMBAO SI SIMPLE SISI TUMEMPA HIZI OPTION 3 WEW UMEPENDA IPI ?

    6BEDROOMS SEBULE KUBWA NA NDOGO JIKO 2 (WET KITCHEN AND DRY KITCHEN) DINING WITH PATIO MASTER WITH PATIO TUPIGIE KWA HUDUMA NZURI 0624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  5. F

    GE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais ndiye the best option kwa wapinzani

    Hii ni kwa sababu: 1. ataweza kufanya mabadiliko yanayopaswa kwa sababu ni ngwe yake ya mwisho. Mwingine yeyote atasita kufanya mabadiliko yeyote kwa sababu atataka na yeye amalize ngwe mbili. 2. Katiba Mpya ni kipolo chake ambacho angependa kukimalisha kabla haya ondoka. 3. Ngwe ya mwisho ni...
  6. DR HAYA LAND

    By age 30, you should either have a supportive woman by your side or no woman at all. There is no third option

    By age 30, you should either have a supportive woman by your side or no woman at all. There is no third option. By 30, it’s either a woman who amplifies your mission,… Or complete solitude until you’re untouchable. There’s no room for distractions when you’re building an empire. Only Weak men...
  7. Mad Max

    Mazda wamezindua 3rd generation CX-5: Ina option ya Hybrid na Hakuna buttons kwenye cockpit!

    Hatimaye Mazda wamezindua 3rd gen ya SUV yake pendwa duniani, CX-5 Itakayoanzwa kuuzwa mwaka 2026. Mazda CX-5 itakuja na option ya 2.5L engine Petrol na 2.5L Skyactiv-Z engine Hybrid itatoka kuanzia 2027 na option ya Diesel mtaendelea kusubiria. Kwa muonekano wa nje imeongezeka ukubwa kutoka...
  8. kijana wa leo

    Mzungu wa SportyBet kajichanganya na hii Option ya 1UP

    Naona Mzungu kaamua kutupoza na machungu, kaamua kuweka option ya 1up, wahini mapema kabla hajatoa hii option....odds zipo mlima sasa tushindwe wenyewe.
  9. Hharyson

    Nyumba ya Kisasa ya Contemporary: Mvuto wa Decor bora, tatizo ni Gharama!

    PROJECT COMPLETED KAMA UNAHITAJI KUJENGEWA/DESIGN CALL US +255624004640
  10. Zemanda

    Mwanamke kutaka mwanaume a'provide kwao ni lazima ila kumheshimu na kumtii mwanaume ni option

    Ukitazama kwenye mahusiano ya watu wengi utagundua kuwa wanawake hudhania kumtii mwanaume,kusikiliza maagizo yake na kuyafanyia utekelezaji bila kuhoji maswali yasiyo ya lazima,kuwa msikilizaji mzuri na sio mzinguaji au mpinzani, kuwa mshirika na sio hasimu, hivi vyote kwao hudhania ni option...
  11. Technophilic Pool

    Kwanini ukiweka Line ya halotel Option ya tethering inatoweka?? Yaan huwezi kushare data kwa wireless

    Watalaam Simu nayotumia ni iphon 11 Mnisaidie
  12. Mr Beach Boy

    Nina hizi option tatu kwenye safari ya maisha yangu.

    Kwa haraka haraka 01.Nimepata mtalaamu(mganga) wa kunipa utajiri wa masharti ya kuchinja kondoo 4 kila mwaka 02.Nimepata mtalaamu wa uhakika wa kunisaidia kuoa jini.(Jina litanipa utajiri) 03.nimepata agent wa uhakika wa kunitafutia kazi unskilled job Canada Dubai na Qatar.. Nipo njia panda...
  13. Hyrax

    Hivi upitapo kwenye magumu na Mungu akakupa Option hizi mbili uchague moja utaenda na ipi?

    Option 1: Akuache uwe hai ila uteseke? Option 2; Achukue uhai ukapumzike? Mimi ntaenda na option ya pili, wewe je?
  14. Introver

    Je Biashara ya pocket option Trading ni halali kwa Tanzania?

    Habari zenu wakuu. Nilikua na mpango wa kuanza biashara ya pocket option trading. Ila kabla ya kuanza ningependa kujua kama sheria za hapa Tanzania zinaruhusu
  15. Lord Denning

    Ningekuwa Mwenyekiti wa CCM, Mapendekezo ya Lissu kuhusu mchakato wa Katiba ningeyakubali wakati huu na kuyafanyia kazi haraka!

    Kuna msemo unaosema no one knows tomorrow! Lissu kaja na mapendekezo mazuri sana kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba kuelekea Uchaguzi Mkuu. Mapendekezo ya Lissu ni Bunge kuongezewa muda, uchaguzi kupelekwa mbele alafu reforms za Katiba kufanyika ndipo twende kwenye uchaguzi. Kama...
  16. Damaso

    Mwanaume panua options zako, never have a single option

    Katika jamii nyingi, suala la mwanaume kuwa na wapenzi wengi limekuwa likijadiliwa kwa mitazamo tofauti. Wakati wengine wanaliita kuwa ni tabia mbaya, kuna ambao wanahisi kuwa ni njia ya mwanaume kupata uzoefu na kuchagua mpenzi bora atakayemfaa kwa maisha ya ndoa. Kwa mtazamo huu, mwanaume...
  17. Bodhichitta

    Mitandao ya simu na benki, wekeni option (chaguo) kwenye menu zenu mtu kukubali mkopo kutoka kwa mtu mwingine

    Aslaam, Kuna jamaa hapa amepigwa tukio na mtu wake wakaribu. Alimkopesha ela ila alimtumia kupitia mtandao wa simu. Jamaa baada ya muda saana amemgeuka, amemwambia hajawahi kukopa ela kutoka kwake. Na sms ya Muamala anayo, alijaribu kumfoadia ile sms ya ela ambayo alimtumia Jamaa akajibu...
  18. FK21

    Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

    Just imagine umekaana na mshikaji miaka mi 4 Mmetambulishana Kwa familia Ujanja wote mshikaji anakufundisha akijua kabisa wewe sio mzuri ila kaamua kukuheshimu tu hakufanyiii usenge Ghafla unapagawa na msela mwenye Subaru unaongoka Kwa aliye vumilia ubaya wako Kwa dharau na kebehi Unazani...
  19. Brojust

    Hivi nyie wanawake, hakunaga option nyingine zaidi ya madera

    Habari la jioni dada zangu wapendwa. Mada hii inawahusu wanawake ambao asubuhi mchana jioni madera tu. Unakuta mtu siku nzima anashinda na dera halafu ndani amevaa ribukta la man united au Yanga. Halafu hayo yote sijawahi ona masaki wala ostabay utakuta ni huku kwetu Buguruni, Mbagala na...
  20. Samia atosha tukutane2030

    98% ya wanawake wanaweza kuwa makahaba kama option ya mwisho kujipatia kipato. Kwahiyo hakuna mwanamke aliyetulia. Dhiki hazijampata huyo

    2% tu ya wanaume wakipigwa na maisha huwaza kuuza sehemu zao za siri kujipatia kipato huku wanawake zaidi ya 98% wakipigwa na maisha ipasavyo wako tayari kuuza sehemu zao za siri ili kupata kipato na kutatua shida zao . Mwanaume jitahidi umpe mke wako mahitaji yake muhimu na tuhela kidogo ili...
Back
Top Bottom