online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni online platforms gani zinaweza kutusaidia kupata wawekezaji kutoka nje ?

    Ndugu zangu heri ya mwaka, Leo nina ombi moja, maana najua humu kuna watu wanajua mambo mengi na wana exposure kubwa za kimataifa. Naomba kwa mwenye idea anisaidie, je ni online platform gani ambayo nikiwekeza muda na hata pesa (kama ni ya kulipia) naweza kupata wawekezaji katika sekta...
  2. JamiiForums Tanzania Misaada namna ya kupata app ya loan online

    Hatari Wana jukwaa Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu. Ninahitaji kuwa na app ya kukopesha pesa mtandaoni lakini sijui ninaipataje, ninafahamu hum Kuna wataalamu WA Kila kitu. Hivyo ninaomba msaada wenu wakuuu kuhusu njia za kutengeneza hiyo app au gharama zake mpaka niwe na app...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi bora ya kufanya malipo ya kununua bidhaa online? debit au prepaid card?

    Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
  4. JamiiForums Tanzania Kama uko online muda huu tuongee chchte nitakujibu

    Nawasubiria wakuu😆
  5. JamiiForums Tanzania Waliokuwa wanatisha kuandamana bado wapo online wanachat, wamewasaliti M029

    Si ajabu kwan mara kadhaa watu wenye akili walionya kuhusu hawa wanaoanzisha maadamano kwamba wenyewe hawatokagi na kwel tumeshuhudia bado wako online mpaka sasa wengine hawataki kuoga asubui hivo basi ewe mtanzania kamwe usifuate mkumbo wa hawa wanaharakati wenye visukari
  6. JamiiForums Tanzania Fanikisha biashara yako kwa online Marketing

    Kama unataka kuvutia wateja wapya na kuongeza engagement ya biashara yako, basi wewe ni mtu niliyemtafuta. Mimi ni mtaalamu wa online marketing, nikiendesha campaigns zenye data-driven strategies, SEO/SEM, na social media optimization. Kwa kutumia vifaa vyenye weledi kama laptop ya kisasa...
  7. JamiiForums Tanzania Online business

    Lead generation is hard, Offer creation is hard, Sales and closing is hard, Showing up on social media daily is hard. Do you know what is harder? Not leveraging on Facebook and Instagram ads.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza kipato kipitia kazi za online, nakuomba nijifunze kutoka kwako

    habari wakuu poleni na mjukumu. Ndugu zangu naombeni msaada kwa wale mnao tumia MB kama chanzo cha mapato. Hapa namaanisha yani wewe ukisha kuwa na MB basi tayari tonge limesha enda kinywani. Naomba unifundishe nipo tayari kujifunza kuwekeza muda nguvu na akili kujifunza. naombeni msaada...
  9. JamiiForums Tanzania Advance Your Career: Online Microsoft Office & Programming Courses – Certificate Included 💻

    Dear Professionals and Learners, In today’s competitive job market, strong computer skills are essential for career growth and business efficiency. DarITcare Training Centre (DTC) offers structured online courses designed to equip you with practical skills in office productivity and programming...
  10. JamiiForums Tanzania NIDA wachague moja kati ya kuruhusu kuona namba mtandaoni (online) au waondoe kabisa huduma hiyo isiwepo kabisa

    Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao. Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni RITA (cheti cha kuzaliwa) lakini siku hizi namba moja kwa usumbufu ni NIDA. Niliwahi kuandika humu...
  11. JamiiForums Tanzania Pamoja na kufungiwa, Watu elfu 12 tupo online usiku huu Jamiiforums

    Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais. Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa. Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
  12. JamiiForums Tanzania Ukiongalia idadi ya Guests ambao wapo online , ni kubwa sana leo licha ya watu kutumia VPN

    Muda mwingine serikalini kuna watu wanashangaza hawaoni kuwa wameipa Promo JF ya bure Ebu tazamane maudhurio yalivyo Makubwa Leo muone wenyewe.
  13. JamiiForums Tanzania Unaagiza bidhaa online wanachokileta

  14. JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma pesa online nikiwa Pakistan kuja nyumban Tanzania?

    Habar za majukumu ndugu zangu,kuna jamaa tunahitaji kufanya biashara ya yeye kununua bidhaa hapa Tanzania na mimi kumtumia kwenda Pakistan, sasa yupo mbali sana na bank maana njia nyepesi ingekuwa ni western union au money gram kwahiyo hatoweza kuwa anaenda huko mara Kwa mara kutuma pesa. Je...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Movies na mipira, pitieni Canal+ online mpate kuburudika

    Unachohitaji ni Internet ya uhakika: Kwa watumiaji wa android au smart TV, ingia PlayStore, download Lokke. Ukimaliza, ifungue. Kwenye search, andika vavoo.to Baada ya hapo, channels kibao zitakuja, endelea kumove. Unaweza kuwa unapitia kwenye sub menu.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa elimu online hapa Tanzania

    Naomba kujua vyuo vikuu vinavyotoa elimu online hapa Tanzania tofauti na Open University
  17. D

    JamiiForums Tanzania KERO SGR watu wamechezea network Uwezi Lipia online

    I will be short Iko Hivi ume login , then ukiselect seat . System aikupeleki next . This means kuna watu wamegeuza business wanauza ticket ukiwapigia . In short Uwezi lipia seat . Maana ufiki Kwenye control number . Mama Anaupiga mwingi sana . Useless county . Barabara Mbovu . System...
  18. JamiiForums Tanzania Online dating ni kwa ajili ya wenye muonekano mzuri na stylish life.

    Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu. Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga. Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal...
  19. JamiiForums Tanzania Ukiona simu ya mwanaume mwenye ndoa iko online saa nane usiku usitume message. Huyo ni mkewe anafanya patrol

    Niongezee volume Ama imetosha Nimetokaa kusuluhisha kesi kama hii, sijui wameondoka waturidhishe ama kitaendelea kuumana huko. Mungu awalinde wanandoa wote loh.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya bidhaa online ni wizi mtupu sisimizi anauzwa kwa bei ya tembo je hii ni biashara au utapeli?

    Naomba tu kusikia kwenu wadau! Kuna bidhaa huko Mtandaoni hasa Instagram Zile za "FREE shipping/Transport Pay on delivery" Zinakuwa na picha ya bidhaa, video n.k zikionesha ubonyeze kitufe ili kupata oda! Bidhaa nyingi za namna hiyo zipo hapa hapa Tanzania kariakoo na Sinza! Mfano wa bei...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…