ongezeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ninafurahishwa na ongezeko la mamilionea kupitia kilimo

    Wakulima wa vitunguu, mpunga, mahindi na mazao mengine kwa sasa wanazidi kuchanja mbuga kwenye mbio za utajiri. Ndani ya miaka mitatu kilimo kimezalisha mamilionea wengi. Siku hizi ni kawaida ukapita sehemu ukakuta Petrol station au hotel ya kitalii ukaambiwa ni ya mkulima fulani. Kwa miaka...
  2. JamiiForums Tanzania Sera za Kilimo za Samia zawezesha Ongezeko la Matumizi ya Mbolea kwa asilimia 211% Kutoka Tani 264,000(2021/22) Hadi Tani 1.2 Milioni(2025/26).

    My Take Mkifanikiwa kumvuta Dangote ajenge kiwanda Cha mbolea itakuwa ni big deal sana. Dangote anajenga kiwanda Kikubwa Ethiopia wakati Tanzania ndio food busket wa Africa. https://www.instagram.com/reel/Dbuph__AjA6/?igsh=MTBubnU5NWVpbW9rbg==
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano?

    Mdau hivi kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano ?
  4. I

    JamiiForums Tanzania KERO Wajasiriamali wadogo wa manispaa ya Musoma tunatoa wito serikali kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa siku

    Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ongezeko kubwa la ushuru wa kibali cha kusafisha mazao ya uvuvi, linatuumiza wafanyabiashara

    Tunapaza sauti yetu kwa heshima kuhusu ongezeko kubwa la ushuru wa kibali cha kusafisha mazao ya uvuvi kutoka kilo 50 hadi kilo 75. Uamuzi huu umetuletea changamoto kubwa sana sisi wafanyabiashara wa mazao ya uvuvi, hasa wafanyabiashara wadogo ambao tunahangaika kutafuta riziki. Ongezeko hili...
  6. JamiiForums Tanzania Ushuru kwenye magari, Serikali inapaswa kuangalia upya

    Huu Ushuru Sirikali iuangalie Tena Purchasing Power Ya magari is going to be affected aisee. Imagine Toyota RUSH Nje inauzwa $6500 Kama 16.9M Hivi Pesa ya Tunguu. Halafu Tiarahei naona ushuru wanataka 15.8M Bila kupepesa Jicho mpaka hapo ni 32.7M, Ukitia na bandari charges zile walizoleta 35M...
  7. JamiiForums Tanzania PICHA: TRA INATOA POST ZA TIPS ZA ONGEZEKO LA KODI KWA ENGLISH WHY ? WALIPA KODI WENGI NI WASWAHILI

    Cha kushangaza hizi Tips za ongezeko la Kodi mnatoa kwa Kingereza lakini habari zingine zote mnatoa kwa Kiswahili , hii sio sawa !!! Mnahudumia walipa kodi wote Waswahili na hao wa Kingereza
  8. JamiiForums Tanzania Ipi imekuwa sababu ya ongezeko la ununuaji wa midoli ya maumbo ya ngono na buttplugs hapa Tanzania?

    Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo hatukuwahi kutarajia Watanzania tutaingiamo ila kwa bahati mbaya tayari tumo. Wanawake wanatumia hadi buttplugs zenye vibrator (ice breaker), vibrator device vya kutekenya (uke) na midoli ya mfano wa uume mkubwa. Sasa najiuliza ni kwamba watu hawaridhiki kingono...
  9. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ongezeko la Excise Duty kwenye magari ni changamoto mpya kwa Wananchi

    Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti ya mwaka mpya ambayo imejumuisha ongezeko la kodi ya excise duty kwa magari, ambapo baadhi ya magari yameongezewa kwa asilimia 10 na mengine kwa asilimia 5 kulingana na umri wa gari. Sisi wafanyabiashara tunaelewa kuwa kodi ni wajibu wetu na hatupingi kulipa...
  10. JamiiForums Tanzania Kumekuwa na ongezeko kubwa la kansa ya etugru (anal cancer) duniani

    Ongezeko hili linadhaniwa ni kwa sababu kwa kuongezeka kwa vitendo vya ongezeko la ngono kwa njia ya tugru. Infection ya HPV inaweza kuathiri etugru kwa kiwango kikubwa sana kupelekea cancer ambayo kutibika inakuwa mbinde. Kuwekeni makini sana
  11. JamiiForums Tanzania The power of property appreciation (Nguvu ya ongezeko la thamani ya mali isiyohamishika)

    INTRO Property appreciation ni ongezeko la thamani ya mali (land au building) kadri muda unavyopita kutokana na factors mbalimbali kama location, demand, infrastructure development, na economic growth. Property appreciation matters in real estate ni pale ambapo utaifanya kwa macho ya uwekezaji...
  12. JamiiForums Tanzania Ripoti: Akili Unde (AI) yachochea ongezeko la ukatili mtandaoni dhidi ya Wanawake Duniani

    Ripoti ya The Economist Intelligence Unit (EIU) kwa kushirikiana na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UN Women na UNFPA inasema kuwa ukatili unaochochewa na teknolojia na mifumo ya Akili Unde (AI) umekuwa dharura kubwa ya kimataifa, ambapo kati ya asilimia 16 hadi 58 ya wanawake duniani...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar isichukulie kama fursa ongezeko la wanaokimbilia nchini humo kutafuta matibabu?

    Badala ya nchi ya Zanzibar kukataza watu wa nchi nyingine kama Tanganyika na Kenya kutibiwa nchini Zanzibar mimi ningewashauri viongozi wa nchi hii kuchkulia jambo hilo kama fursa ya kiuchumi ya kuingiza fedha za kigeni.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inapendekeza kusamehe kodi ya Ongezeko la Thamani kwenye vifaa vya kuchajia magari ya kutumia umeme

    Serikali imependekeza hatua kadhaa za kodi kwa mwaka wa fedha 2026/27 ili kuchochea matumizi ya nishati ya umeme na gesi asilia nchini. Hatua hizo ni pamoja na kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vya vituo vya kuchaji magari ya umeme vinavyoingizwa nchini, kupunguza ushuru...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa sana la chuki kutoka kwa wananchi kwenda kwa viongozi wao

    Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi. Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
  16. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira ni janga katika ongezeko la mafundi wasiokuwa na ujuzi timilifu

    Kwa hili ntapata kuzungumzia katika nafasi yangu ya fundi ujenzi (UASHI).... Aisee mafundi wengi miyeyusho sana twende kwenye komenti...
  17. JamiiForums Tanzania Ongezeko na video za shughuli za wadada kushereheshwa na mashoga sio ishu ya bahati mbaya, ni mpango mzima wa kudhalilisha uanaume halisia.

    Kumbuka zile shughuli zinafanywa na masingo maza, michepuko ya watu, wadada wanaojiuza, wadada wasio na kazi, etc na watu wa aina hii adui namba moja wao ni mwanaume kutokana na kila mmoja aliathrika vp na mwanaume katika pita pita zake. Sasa ikitokea kuna mashoga wanawafahamu wanahakikisha...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Ma-cartel wamejimilikisha uchumi wa nchi yetu, kampuni moja ina ubia na watu walioko serikalini ilipewa tenda kuagiza mafuta na kusimamia bei

    Akizungumza na Vyombo vy habari leo Aprili 6, 2026 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokraisa na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema kuna ma- caretel (Kundi la wafanyabiashara) ambao wanajimilikisha uchumi wa Tanzania, akidai kuna taarifa wanazofuatilia kuwepo kwa kampuni moja yenye ukaribu...
  19. JamiiForums Tanzania Elimu ya kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa wafanyabiashara

    ELIMU YA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI (VAT) KWA WAFANYABIASHARA https://hiltonhotelrental.com/register?pId=KOHLYC ~Wamiliki wengi wa biashara ndogo husikia kuhusu VAT lakini hawaelewi kikamilifu jinsi inavyofanya kazi. Kuelewa kodi hii ni muhimu kwa sababu inaathiri upangaji wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kushinda mamlaka ya nchi hizi 6 ni kuishindia amani ya dunia kwa ongezeko hadi la asilimia 85.

    1: Uturuki 🇹🇷 2: China 🇨🇳 3: Russia 🇷🇺 4: Iran 🇮🇷 5: Qatar 🇶🇦 6: Pakistan 🇵🇰 Hawa ndio baba wa syndicates za ugaidi, kupandikiza madikteta katika nchi masikini, uundaji wa vikundi vya kuharibu amani katika nchi, kuchonganisha jamii ili wajichukulie rasilimali na mambo mengine mengi ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…